kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 578
- 1,107
😂😂😂😂 umewaza nini mkuu?Hii ni sawa na Biashara,
Biashara ni kuchanganyikiwa,
ukiwa na Pesa unataka uwe na mzigo,
Na ukiwa na mzigo unataka uwe na Pesa.
Hahahaha mama yangu mzazi pia anasemaga biashara ni kuchanganyikiwa😅😅😅 kumbe huwa anamaanisha hiviHii ni sawa na Biashara,
Biashara ni kuchanganyikiwa,
ukiwa na Pesa unataka uwe na mzigo,
Na ukiwa na mzigo unataka uwe na Pesa.
Hata huyo middle man nae anafaidika,Both team to score, ila mwisho wa siku alie shika pesa ndio mjanja.
Cha mlevi huliwa na mgema.
Both team to scoreHata huyo middle man nae anafaidika,
Anakula mizigo miwili kwa gharama zao.