Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 5,879
- 10,394
Makutano ya wazee wa moja moto moja baridi
Napendekeza guest ijengwe ili kuwastili watenda dhambi...😂😂😂Kama ni zambi ya kudinyana mbona wakulugwa huifanya hata stand ya daladala tena hadharani kabisa....
Yesu alisema... "kila amtazamaye mwanamke na kumtamani tiyari keshamdinya moyoni mwake..."
Kwa hiyo kwa mujibu wa Yesu zambi ya kumdinya demu hufanyika popote pale...
Napendekeza guest ijengwe ili kuwastili watenda dhambi...
Kwa wale wasiopenda kutenda zambi basi wang'oe macho yao hapo watakuwa hawatendi dhambi kwa sababu hawaoni tena misambwada ya mademu 😂
Tunasubiri mzee wa mbususu mzabzab afungue pazia la maoni.Kuna ulizo la gesti house halijajibiwa😀
I have bad experiences about Hill browJeep pana ulinzi hatari maduka makubwa yapo hapo Shoprite,Macdonald,KFC na ndugu zake yalikua maeneo machafu mzungu akayanunua Marengo zaidi ya 100 akafanya ukarabati wa kufuru kakodisha hapo Security wa kutosha hata bar za hapo zipo poa sana..
Hizi za hivi hazifai huku bongo. Watu wanatafuta maeneo unaweza kukaa kwenye kona ukajichimbia usionekane. Sasa hii mnakaa kama mko darasani nani atakaa hapo.Wajenzi na wazee wa fursa. Ramani hii hapa.. Simple design but very unique
Hii joint inafaa nje kidogo ya mji mahali palipotulia na penye parking ya kutosha
Swali la Kizushi: Je kuna haja ya kujenga gesti hausi pembeni kidogo!?😂View attachment 3308666
😁😁 kontena ilo ...unacho takiwa ni kununu kontena tu na mafundi vyuma na fundi seremalaWajenzi na wazee wa fursa. Ramani hii hapa.. Simple design but very unique
Hii joint inafaa nje kidogo ya mji mahali palipotulia na penye parking ya kutosha
Swali la Kizushi: Je kuna haja ya kujenga gesti hausi pembeni kidogo!?😂View attachment 3308666
Karibu Bedford view huko naweza kuwepo SA mwaka mzima na sijapita.I have bad experiences about Hill brow
Kwa Pisi hizi utaferi anza na walipa kodi wakubwa..Natamani kuiokoa dunia lakini sijui nianzie wapi. Ila nikifanikiwa nitaanza na wanzizi😂
🤣🤣🤣 Hapo hapana bhana....anza na wachawi mkuu....hutaki tugeuze eyes like 🥴Natamani kuiokoa dunia lakini sijui nianzie wapi. Ila nikifanikiwa nitaanza na wanzizi😂
OK ukiwa na Safari ya SA tuwasiliane mapema muda mwingi nakua Arusha ila kila mwezi nashukaNimepumzika kidogo kusafiri ila after July nitaanza mishe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭Wachawiiiiii... Once upon a time..😂😂😂
Sio kidogo kaka..Mwana. Kale kaugonjwa kamekaa pabaya😂
The joint