Hapo Mabonneng pana balaa kwenye design huko kwingine hakuna kitu pana simu Ina picha za hapo ningetuma week end inaanzia J3 mpaka J3..Huko ziko nyingi
Mpumalanga
Blomfontain
Gauteng nk
🤣🤣🤣 Ila wewe🙌😀😀😀 no michepuko.. Mungu hapendi
Johannesburg City center hao wasanii lazima wafike hapo wakishuka SA zile za Cape ni nzuri pia zipo Waterfront view.Iko karibu na Cape au Durban?
Yeah, naamini na ikawe hivyo japo nami piaMimi future pastor 💪🏿
Mkuu unataka kwenda peponi😀😀😀 no michepuko.. Mungu hapendi
Imetulia sana, ubunifu mwanana kabisa. Kuhusu kujenga guests House pembeni ngoja tumuulize mzabzab ana maoni gani.Wajenzi na wazee wa fursa. Ramani hii hapa.. Simple design but very unique
Hii joint inafaa nje kidogo ya mji mahali palipotulia na penye parking ya kutosha
Swali la Kizushi: Je kuna haja ya kujenga gesti hausi pembeni kidogo!?😂View attachment 3308666
Kama ni zambi ya kudinyana mbona wakulugwa huifanya hata stand ya daladala tena hadharani kabisa....Ila wasifanye zambi Mungu hapendi
Jeep pana ulinzi hatari maduka makubwa yapo hapo Shoprite,Macdonald,KFC na ndugu zake yalikua maeneo machafu mzungu akayanunua Marengo zaidi ya 100 akafanya ukarabati wa kufuru kakodisha hapo Security wa kutosha hata bar za hapo zipo poa sana..Hill brow !?🥺🥺🥺😭