Vp mvua ikinyesha tena ga upepo watu wana hama au wanaloa tu
Hapo mchawi mvua na kama ni njombe huko baridi balaaWajenzi na wazee wa fursa. Ramani hii hapa.. Simple design but very unique
Hii joint inafaa nje kidogo ya mji mahali palipotulia na penye parking ya kutosha
Swali la Kizushi: Je kuna haja ya kujenga gesti hausi pembeni kidogo!?😂View attachment 3308666
Haswaa,Swali la Kizushi: Je kuna haja ya kujenga gesti hausi pembeni kidogo!?😂
Utamu wa mtindo usha poteaTurubai.. Problem solved😀
Hata msimu wa mvua haifaiHiii design Njombe Haifai kabisa
Hii ipo Mabonneng ,Johannesburg commissioners Street.
Ziko sawa hizo ila gest pembeni lazima.Wajenzi na wazee wa fursa. Ramani hii hapa.. Simple design but very unique
Hii joint inafaa nje kidogo ya mji mahali palipotulia na penye parking ya kutosha
Swali la Kizushi: Je kuna haja ya kujenga gesti hausi pembeni kidogo!?😂View attachment 3308666
🤣🤣🤣Ni muhimu sana kwa wakware...japo unywaji tu ni starehe toshaKuna ulizo la gesti house halijajibiwa😀
Juu waweke paa la kiooKuna design za kuvutia