Makonda: Marufuku kudai nyongeza ya mshahara! Nashangaa watu wanapita na mabango, mie ningewachapa

Bora awaambie ukweli, wanadai mishahara huku kazi hawafanyi.

Ni mwendo wa hapa kazi tu, kuna lipi la kushangaza kwa alichoongea!?

Na akitoa mfano, nyie lazima muukuze.

Mtajiju na muache kulalamika juu ya kuzungushwa kwenye ofisi za mji huo, huku akifata njia kuwanyoosha mnamsema.

Makonda oyeeeeeeeeeee
 
Si mlisema kuwa hamtaandika habari zake Paul Makonda?? Sasa imekuwaje hadi mnaanza kumtafuta kijana wa watu? Au zilikuwa hasira tu. Makonda noma, mtake msitake, mtamuandika tu!

Hivi umeona nembo kwamba wale ni TBC??
 
Bora awaambie ukweli, wanadai mishahara huku kazi hawafanyi.

Ni mwendo wa hapa kazi tu, kuna lipi la kushangaza kwa alichoongea!?

Na akitoa mfano, nyie lazima muukuze.

Mtajiju na muache kulalamika juu ya kuzungushwa kwenye ofisi za mji huo, huku akifata njia kuwanyoosha mnamsema.

Makonda oyeeeeeeeeeee

Chonde chonde lumumba,mnaua bongo za vijana!
Sio kwa comment hii aiseee!Akili ukitia mfukoni mwishowe zinang'ang'ania huko huko mfukoni!
 
Si mlisema kuwa hamtaandika habari zake Paul Makonda?? Sasa imekuwaje hadi mnaanza kumtafuta kijana wa watu? Au zilikuwa hasira tu. Makonda noma, mtake msitake, mtamuandika tu!
Akina nani walisema?Au unayemquote ni mwandishi wa habari?Tusaidie chombo gani anafanyia?
 
Mbona iyo hta rais alishasema kwamba asiyefanya kazi na asile! Je Makonda angesema ivo msinge anzisha thredi pia?
 
Back
Top Bottom