Hii kali

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
496
cheka kidogo basi uanze week-end yako kwa furaha na uongeze siku za kuishi.


image002.jpg
 
Huyo mama nadhani hana mtoto wa kike, kwa hiyo amechanganyikiwa kwa hamu au hana mtoto kabisa...LOL:blabla::blabla:
 
Halafu na hizo specs machoni kama mmama m2 mzima hivi anasoma akiwa amezisha karibu na pua, teh! Pipo mna mambo! So sm1 tuk hz/ha tym akaanza mvalisha kimoja baada ya kingine mpaka kiumbe katoka chicha, teh
 
Halafu na hizo specs machoni kama mmama m2 mzima hivi anasoma akiwa amezishusha karibu na pua, teh! Pipo mna mambo! So sm1 tuk hz/ha tym akaanza mvalisha kimoja baada ya kingine mpaka kiumbe katoka chicha, teh
 
Kapendeza sana ukant blv du kama wale wa mama wakwenye majukwaa wakiwa wanatetea gender balance!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom