Hii kali

Hii inanikumbusha maeneo fulani Bagamoyo...jamaa alimtongoza mwanamke akakubali, demu alipoomba kwanza akajisaidie kabala ya 'kuachia jimbo', alizama ****** na kukaa kwa mda, jamaa alisubiri weeeee mpaka kachoka akaamua kwenda kumuangalia...akagonga mlango wa choo kimya, akagonga tena kimya...mwisho akafungua kwa nguvu na kukutana na taswira kama hiyo hapo juu...halafu ilikuwa usiku basi...!!!!
 
huyo ni Sheik Yahaya wa husein in another atire. Kula ndafu :.:.........
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom