Sijaoa ndio ila kuna za mila, kuna baadhi ya makanisa madogo nayo ndoa hawatangazi, unaenda unafunga tu.
Nna ndugu yangu aliwahi fanya hivyo, katoka nyumbani jumapili anaenda kanisani kwenye haya makanisa ya kilokole kumbe yuko na mipango yake ya kufunga ndoa na akaitimiza.