Hii jamani ni kweli; Kuna watu bandarini wanalipwa Tsh. 18,000/=

Huyo akifanya kazi siku zote 30 anapata shs 560,000 ambacho nikiwango kuliko mtumishi wa serikali anayeanza kazi

Ndio akili zenu zinapoishia, maana mnawaza vyeo na vyeti kuliko performance na load. Sasa hesabu ndogo tu imekushinda...yaani 18,000 x 30 lakini unataka uwe mhasibu ulipwe mshahara mkubwa.

18,000 x30 = 540,000

Kwahiyo tsh.504,000/= unaiona nyingi kulipwa mtu alieenyeka kwa miaka 4 darasani?
 
Ki ukweli Mimi huwa nakula Asubuhi 3500+maji 1,500 Lunch ya 7,500+Maji 1,500.

5,000 + 9,000 =14,000 Usafiri natumia mwendokasi 650 × 2 = Sh.1,300
Vocha = 500

Jumla asubuhi mpaka mchana ni Sh.15,800

Mda mwingine nakula hadi 15,000/= kwa msosi wa mchana au usiku tuu

Nikilia na Usiku hapo sioni ukubwa wa hiyo fedha.

View attachment 675280
Mkuu ukila unapiga picha risiti?!maana risiti ya tarehe 13 unayo mpk leo

Hahahahaha
 
Kiukweli hiyo ni hela ndogo sana kulingana na kazi zilivo, sisi mafundi tunaenda hadi 30,000 per day japo kazi zetu sio permanent
 
Hello wakuu,

Kuna jamaa mtaani wamedai wamepata kazi bandarini, ambayo malipo yake ni Tsh 18,000 kwa siku. Hii ni kweli jamani? maana jamaa wana elimu ya kawaida tu wengine form4 na wengine std7. Kweli bandarini kuna kazi zenye malipo kama haya?. Ni bandari ya Dsm.
ni kweli hawa hua wanaitwa vibarua nimefanya sana hii kazi
either kama una elim utaekwa department yyte utakua chini ya boss utakua kibarua wake kuna kaz utakua unasaidia
kama huna ishu zipo nying kuna wale wanaokua wanatoa barua department hii kwenda nyingne kuhakikisha inasainiwa,,
ila vibarua wote mnalipwa sawa uwe na degree au ni std 7
 
Hivi kikosi Cha ulinzi bandari (Polisi Bandari)wanaajiri vipi?sijasikia wakiajiri toka awamu hii imeanza .
 
sema ni hela ndogo sana mm nilikibali coz nilikua nataka experienc kwenye cv yangu halafu pia kulikua na watu wanajitolea for free so nilikua sina cha kuloose badala ya kukaa hm idle tu
 
Ki ukweli Mimi huwa nakula Asubuhi 3500+maji 1,500 Lunch ya 7,500+Maji 1,500.

5,000 + 9,000 =14,000 Usafiri natumia mwendokasi 650 × 2 = Sh.1,300
Vocha = 500

Jumla asubuhi mpaka mchana ni Sh.15,800

Mda mwingine nakula hadi 15,000/= kwa msosi wa mchana au usiku tuu

Nikilia na Usiku hapo sioni ukubwa wa hiyo fedha.

View attachment 675280
nakuombea kwa mwenyezi Mungu ndoto zako zitimie
 
ni kweli hawa hua wanaitwa vibarua nimefanya sana hii kazi
either kama una elim utaekwa department yyte utakua chini ya boss utakua kibarua wake kuna kaz utakua unasaidia
kama huna ishu zipo nying kuna wale wanaokua wanatoa barua department hii kwenda nyingne kuhakikisha inasainiwa,,
ila vibarua wote mnalipwa sawa uwe na degree au ni std 7
mkuu mi nikitaka hicho kibarua napaataje??
 
Hello wakuu,

Kuna jamaa mtaani wamedai wamepata kazi bandarini, ambayo malipo yake ni Tsh 18,000 kwa siku. Hii ni kweli jamani? maana jamaa wana elimu ya kawaida tu wengine form4 na wengine std7. Kweli bandarini kuna kazi zenye malipo kama haya?. Ni bandari ya Dsm.
sheria inataka vibarua kwa siku si chini 25000 kwa 18000 wanaibiwa humoninawakumba wabeba mizigo wabeba zege wapakua vyo wakata majani nk
maana wao hawana cha nssf wala allowance yoyote au iinga ya ajal
 
Hello wakuu,

Kuna jamaa mtaani wamedai wamepata kazi bandarini, ambayo malipo yake ni Tsh 18,000 kwa siku. Hii ni kweli jamani? maana jamaa wana elimu ya kawaida tu wengine form4 na wengine std7. Kweli bandarini kuna kazi zenye malipo kama haya?. Ni bandari ya Dsm.
Kwa siku fundi analipwa 20,000 na kibarua analipwa 10,000. Operator wa mashine analipwa 30,000 mpaka 50,000 kwa siku. Sasa hiyo 18,000 imekustua nini
 
Ukizidisha kwa siku 30 unapata basic ya sh 540,000 kwa mwezi ambayo ni kawaida sana tu
 
Hello wakuu,

Kuna jamaa mtaani wamedai wamepata kazi bandarini, ambayo malipo yake ni Tsh 18,000 kwa siku. Hii ni kweli jamani? maana jamaa wana elimu ya kawaida tu wengine form4 na wengine std7. Kweli bandarini kuna kazi zenye malipo kama haya?. Ni bandari ya Dsm.
We aliekuambia hivyo ni nani.jpeg
 
Back
Top Bottom