Hii jamani ni kweli; Kuna watu bandarini wanalipwa Tsh. 18,000/=

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Hello wakuu,

Kuna jamaa mtaani wamedai wamepata kazi bandarini, ambayo malipo yake ni Tsh 18,000 kwa siku. Hii ni kweli jamani? maana jamaa wana elimu ya kawaida tu wengine form4 na wengine std7. Kweli bandarini kuna kazi zenye malipo kama haya?. Ni bandari ya Dsm.
 
hao vibarua hawapo kwenye orodha ya kulipwa mishahara wanalipwa posho tu iyo
 
Mbona sawa. Na sidhani kama huyo anafanya kazi siku 30 kwa mwezi kama malipo ni kwa siku. Let say working days ni 22 kwa mwezi. Huyo mtu ajapokea 396,000 kwa mwezi. Siyo hela nyingi kwa mtu akitoa nauli.na kula kazini. Ujue ni kazi zitakuwa very demanding na kuwalipa kidogo zaidi ya hicho itapelekea watu kiikimbia kazi.
 
Wapo ila sijui kuhusu hyo 18,000 mimi niliambiwa wanalipwa 9,000 kwa siku. Ni vibarua. Wanafanya kazi kuanzia sa 12 asubuh mpka sa 5 usiku. Hela hyo hyo ndo ununulie chakula na maji. Kama ni 18,000 basi ni heri.
 
Ki ukweli Mimi huwa nakula Asubuhi 3500+maji 1,500 Lunch ya 7,500+Maji 1,500.

5,000 + 9,000 =14,000 Usafiri natumia mwendokasi 650 × 2 = Sh.1,300
Vocha = 500

Jumla asubuhi mpaka mchana ni Sh.15,800

Mda mwingine nakula hadi 15,000/= kwa msosi wa mchana au usiku tuu

Nikilia na Usiku hapo sioni ukubwa wa hiyo fedha.

IMG_20180114_133656.jpg
 
Ki ukweli Mimi huwa nakula Asubuhi 3500+maji 1,500 Lunch ya 7,500+Maji 1,500.

5,000 + 9,000 =14,000 Usafiri natumia mwendokasi 650 × 2 = Sh.1,300
Vocha = 500

Jumla asubuhi mpaka mchana ni Sh.15,800


Nikilia na Usiku hapo sioni ukubwa wa hiyo fedha.
Hongeraa mkuu, naomba kesho upige dash unipe mm hyo elf15 na ushee
 
dah kwel raia tumetofautiana mi kwa siku nakula buku tatu tu mida ya saa5 iv 1000/=inapigwa pasi ndefu hadi saa1 iv jioni 1500/=kwa mama ntilie afu iyo jero mambo mengine kama vile maji,n.k...!!hii baada ya vyuma vyangu kukaza ile mbaya huo ni mkakati wa kutia grisi kama alivyotushauri mkubwa!!
 
Back
Top Bottom