Hii jamani ni kweli; Kuna watu bandarini wanalipwa Tsh. 18,000/=

ni kweli hawa hua wanaitwa vibarua nimefanya sana hii kazi
either kama una elim utaekwa department yyte utakua chini ya boss utakua kibarua wake kuna kaz utakua unasaidia
kama huna ishu zipo nying kuna wale wanaokua wanatoa barua department hii kwenda nyingne kuhakikisha inasainiwa,,
ila vibarua wote mnalipwa sawa uwe na degree au ni std 7
Mkuu kuna kipindi nlikua chuo walikua wanaajiri watu wa Usalama wa Bandari,kikosi Cha ulinzi bandari,
Siku hizi ipoje,wanaajiri vipi?
 
Mkuu kuna kipindi nlikua chuo walikua wanaajiri watu wa Usalama wa Bandari,kikosi Cha ulinzi bandari,
Siku hizi ipoje,wanaajiri vipi?
so far majamaa hadi mm nasepa walikuwa hawajaanza kuajiri
process ya kuomba ikoje mkuu??
mm nilikaa kidogo coz nilikua natafuta nauli za interview pia ajira zilikua zinachelewa so nilivopata mchongo nikaacha
niliandika barua ya kuomba internship kwa hr baada ya mda nikapigiwa sim wakaniambia kwa qualification zangu nilikua nafit idara flan wakanipangia maana ilikua kipind cha watumish hewa weng wametimuliwa
 
napitia office gan kuomba mkuu???
 
Aisee huku kuna watu waajabu sana au kuna watoto wengi? Hivi mtu kula 15000 kwa siku ni jambo la ajabu je angesema anakunywa bia za 15000 kila siku msingeona ajabu? Wewe ukishindia 2000 sio kila mtu ataishi hivyo au wengi wetu humu mnaishi vijijini ndo maana mmehamaki? Kuna wengine kila siku lzm aweke gari yake mafuta 20000 ili aende kazini na kurudi mtu kama huyu akikupigia hesabu yake kwa siku si utazima data
Eti atazima data...Cheka SNA..
 
l
Ki ukweli Mimi huwa nakula Asubuhi 3500+maji 1,500 Lunch ya 7,500+Maji 1,500.

5,000 + 9,000 =14,000 Usafiri natumia mwendokasi 650 × 2 = Sh.1,300
Vocha = 500

Jumla asubuhi mpaka mchana ni Sh.15,800

Mda mwingine nakula hadi 15,000/= kwa msosi wa mchana au usiku tuu

Nikilia na Usiku hapo sioni ukubwa wa hiyo fedha.

View attachment 675280
Mkuu tuonyeshe Risiti ya leo au wiki iliyopita.

hii Risiti yako ya tarehe 13 january mpaka leo kweli
 
pesa ndogo sana hiyo, kuna mafundi mitaani wanajenga nyumba za watu wa kawaida.....mafundi wenyewe ndio wale waliokimbia shule yaani mwisho form IV ya zero, darasa la saba wengine wameishia darasa la 5.
MAAJABU: wanajenga kila siku, kwa siku wanarudi na kiasi cha fedha taslimu si chini ya elfu 50. yaani hapo analalamika leo kazi ilikuwa ngumu sana aisee, hahahaa!. kwa siku anarudi na laki 2 hapo anasema angalau.

sasa wewe unashangaa elfu 18?, elimu si kitu si chochote.....elimu bila uizi mafanikio utayasikia!!!. narudia tena, usomi na uizi ni kwa ajili yao hao...., ujanja ujanja vyote wanavificha kwenye usomi wao.
kwahiyo, huyo jamaa naamini anatumia nguvu yake na utashi wake kwa haki na ndio anapata hicho.
 
Ki ukweli Mimi huwa nakula Asubuhi 3500+maji 1,500 Lunch ya 7,500+Maji 1,500.

5,000 + 9,000 =14,000 Usafiri natumia mwendokasi 650 × 2 = Sh.1,300
Vocha = 500

Jumla asubuhi mpaka mchana ni Sh.15,800

Mda mwingine nakula hadi 15,000/= kwa msosi wa mchana au usiku tuu

Nikilia na Usiku hapo sioni ukubwa wa hiyo fedha.

View attachment 675280
wewe jamaa lazima utakuwa mhaya
 
Kazi kama hizi bado zipo tuu? Mi nataka ajira yeyote kwa sasa, tupeane taarifa kama bado zipo
 
pesa ndogo sana hiyo, kuna mafundi mitaani wanajenga nyumba za watu wa kawaida.....mafundi wenyewe ndio wale waliokimbia shule yaani mwisho form IV ya zero, darasa la saba wengine wameishia darasa la 5.
MAAJABU: wanajenga kila siku, kwa siku wanarudi na kiasi cha fedha taslimu si chini ya elfu 50. yaani hapo analalamika leo kazi ilikuwa ngumu sana aisee, hahahaa!. kwa siku anarudi na laki 2 hapo anasema angalau.

sasa wewe unashangaa elfu 18?, elimu si kitu si chochote.....elimu bila uizi mafanikio utayasikia!!!. narudia tena, usomi na uizi ni kwa ajili yao hao...., ujanja ujanja vyote wanavificha kwenye usomi wao.
kwahiyo, huyo jamaa naamini anatumia nguvu yake na utashi wake kwa haki na ndio anapata hicho.
Hapo kwa fundi umeongopa mzee mi mshua wangu mtu wa ma site namimi huwa napigaga sana na hakuna kitu kama hiko
Kazi ilivyo kama fundi kaajiriwa na kampuni atalipwa per day ambayo haizidi 20k na kibarua anakula hela haizidi 10k huyu saidia anaitwa.(inategemea kampuni inalipa vipi)
Ila kama fundi ni kachukua tenda binafsi huwezi sema kila jwa siku anabeba 50k au 200k yeye anachukua pesa ya kazi kulingana na mapatano mfano 400k atapesa 200k kama kitangulizi nq hii itategemea na ukubwa wa kazi pengine ko ulicho compare katika hii mada ni tofauti mkuu.
 
Back
Top Bottom