Hii jamani ni kweli; Kuna watu bandarini wanalipwa Tsh. 18,000/=

Kubwa sana mkuu, Tsh 18,000 per day hapa si anamshinda hata mtu skilled mwenye bachelor?
Kama kazi inahitaji nguvu na wala siyo skills ?
Yeye ana nguvu hao bachelor wana skills
Hivyo kila mmoja atalipwa kulingana na uhitaji uliopo
 
humu JF kila mtu anatake home ya millioni.
ndo maana uchumi unakua kwa asilimia kubwa
 
Hahahaa umebadili!! Ile ilikuwa tofauti Fala we!
We Ni Kichaa Mbona Hiyo Nayo ina Activation date ya EFD mkuu Umeishia Darasa La Ngapi maana napata wasiwasi kama umeiona Hizo picha ziko tofauti. Wakati sijabadilisha kitu nimezungushia mda na Tarehe ili uone vizuri. Jamii Forums sasa imejaza Mizoga mingi mno.
 
Ndio. Hata makuli bandarini wanaondoka na pesa nzuri zaidi ya hiyo. Hao wa 18,000/= watakuwa ni contract staffers wa shift kama operators wa mashine na kadhalika.
 
Hapo ni Shangwe Mkuu......Nenda METL , PEPSI , JAMBO PLASTIC , WACHINA Kwa GURU Eng (wanatengeneza JIPSUM) wanakutazama Usoni ni kuanzia Tsh 4,000/= hadi Tsh 7,000/= kwa siku Kuanzia saa 2 asbh hadi 12 Jioni...........Hakuna Chakula, Usafiri na Ukiumia Ujitibie Mwenyewe au Vibarua wenzako wakuchangie.....................!!!!!
yaan maisha haya. Ndo maana waliotusua wanatudharau.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hizo sio kazi hats mgawane 50 kunasiku nili chacha sina kaz nikaenda godown moja 40 feet kushusha yulea nilikimbia sio kazi mtu ana gamba mgongoni kama mamba


Sio kitu cha kufurahisha ila imebidi nicheke tu

Kwa hiyo mkuu ukalala mbele

Of course kuna watu wanapata pesa nyingi ila ukizingatia suluba anayoipata unaconclude kabisa kua ile sio hela ya maana
 
Hello wakuu,

Kuna jamaa mtaani wamedai wamepata kazi bandarini, ambayo malipo yake ni Tsh 18,000 kwa siku. Hii ni kweli jamani? maana jamaa wana elimu ya kawaida tu wengine form4 na wengine std7. Kweli bandarini kuna kazi zenye malipo kama haya?. Ni bandari ya Dsm.
We jamaa unaonekana una wivu
Huenda u mchawi hupendi wenzio waendelee
 
Back
Top Bottom