JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Mtu mwenye njaa hajaribiwi, mtu aliyeshiba hana nguvu wala maarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yani mtu unahangaika kila siku unaenda kazini mpk soli ya kiatu inaisha upande mmoja unatafuta hela!.. hela yenyewe ukiipata leo kesho imeisha then mtu anakuja na mlungula Kama huo uutoe humo!.. what a shit!!.. kila siku unahangaika kuitafuta then bahati iliyoje jamaa wameleta pesa ndefu kinyama niende wapi sasa na hela hiyo hapo..?hahahaha. na ndio maana hilo jaribio alikufanyaka bongo
Hapa bongo inachukuliwa na hicho kioo mazima mchana kweupe watu wakagawane mpungaMwaka 2005,Huko Vancouver Canada.
Kampuni ya Vioo ya Ulinzi (3M security Glass) walifanya tangazo la aina yake kwa kuweka kioo kigumu kisichopitisha risasi katika stendi ya mabasi na kuweka ndani yake kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 7(dola Mil 3).
Yeyote ambaye angefanikiwa kuvunja kioo hicho kwa kupiga,ngumi, teke kukimbia na kukiparamia au hata kutumia nyundo ile pesa ingekuwa halali yake ila hakuna aliyefanikiwa.
Je ingekuwa bongo sijui ingekuwaje?View attachment 1540034View attachment 1540035
Sio wote wameshiba mkuuMtu mwenye njaa hajaribiwi, mtu aliyeshiba hana nguvu wala maarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli,kwanza kulikuwa na walinzi huwezi kuvunja vigezo na masharti,lakini katika hio hela ni kiasi fulani tu ndio ilikuwa hela halisi,ila ukifanikiwa kuvunja unapewa hela zako safiHawakuweka option ya kuondoka nalo ila najua pesa ilikuwa fake ukivunja unapewa hicho kiasi