Hii ingetokea Bongo sijui ingekuwaje?

huyo picha ya mwisho apewe tu maana alikuwa na dhamira ya dhati kabisa, bongo wangetoweka nalo kusikojulikana.
 
Kama ni hivyo ya nn nyundo, si unaandaa plan ya kuiba funguo tu. Hapa wanakuonyesha kuwa kioo hakivunjiki si kuwa huwezi kuibiwa.

Hiyo ni kampuni ya ulinzi ya vioo. Wanaonyesha uimara wa vioo. Kumbuka kioo ni kwa ajili ya display ya vitu ss wanakuonyesha ni kwa namna gani ukidesplay vitu kama jewries n.k mtu wa kawaida hawezi vunja akakwapua.

Ila kuibiwa unaweza ibiwa tena kwa kufungua mwenyewe na kumpa jambazi.
Wewe acha siasa ulinzi inamaanisha pote Sasa wadili na kioo tu halafu kwengine wasiweke ulinzi wa maana kutakuwa na maana gani sasa!!.. shida sio kioo tu shida ni ulinzi kote wa kioo na hayo malock yao
 
Haya
 
Yani hapo hata nikishindwa lzm wanitoe kwa mtutu wa bunduki siwezi kukubali kirahisi hivi ati niruke mateke mawili tu then niondoke!,niende wapi nawakati mlungula uko hapo tena ikibidi nalala hapohapo..
khaaaaah
 
Yani hapo hata nikishindwa lzm wanitoe kwa mtutu wa bunduki siwezi kukubali kirahisi hivi ati niruke mateke mawili tu then niondoke!,niende wapi nawakati mlungula uko hapo tena ikibidi nalala hapohapo..😅
🤣🤣🤣🤣
 
Mwaka 2005,Huko Vancouver Canada.
Kampuni ya Vioo ya Ulinzi (3M security Glass) walifanya tangazo la aina yake kwa kuweka kioo kigumu kisichopitisha risasi katika stendi ya mabasi na kuweka ndani yake kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 7(dola Mil 3).

Yeyote ambaye angefanikiwa kuvunja kioo hicho kwa kupiga,ngumi, teke kukimbia na kukiparamia au hata kutumia nyundo ile pesa ingekuwa halali yake ila hakuna aliyefanikiwa.

Je ingekuwa bongo sijui ingekuwaje?View attachment 1540034View attachment 1540035
😂😂😂
 
Walete huku ndio watajua ile makitu wadada wanapaka kwa kichwa inapasua kioo.
Ikfika zamu ya dada anakiegemea tu,. Hela hizooooo
 
Yani hapo hata nikishindwa lzm wanitoe kwa mtutu wa bunduki siwezi kukubali kirahisi hivi ati niruke mateke mawili tu then niondoke!,niende wapi nawakati mlungula uko hapo tena ikibidi nalala hapohapo..
hahahaha. na ndio maana hilo jaribio alikufanyaka bongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom