Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,515
- Thread starter
- #21
[emoji3][emoji3][emoji3]Ebu walete huku niwaonyeshe kazi.
Ningeenda kuchongesha nyundo ya kilo 50 .
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]Ebu walete huku niwaonyeshe kazi.
Ningeenda kuchongesha nyundo ya kilo 50 .
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hata huko foleni ilikuwepo kumbuka waliweka stendi ya mabasi,ila walikimbia wenyeweM nahisi bongo kungekuwa na foleni ya watu kupiga nyundo na mateke,na isingechukua zaid ya lisaa watu wangeondoka na kitita kiulaiinii!
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Wangekuja huku kwa manyang`au ambako hata sukari ikiwa ndani ya chai inaibiwa.
Hadi ukachongeshe hiyo nyungu wengine wanakusubiri tu, bongo hii hii😬😬😬Ebu walete huku niwaonyeshe kazi.
Ningeenda kuchongesha nyundo ya kilo 50 .
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Sukari inaibiwa au inaibwa???
Unazungumza kuhusu nini chief?
Wangekuja huku kwa manyang`au ambako hata sukari ikiwa ndani ya chai inaibiwa.
Mwaka 2005,Huko Vancouver Canada.
Kampuni ya Vioo ya Ulinzi (3M security Glass) walifanya tangazo la aina yake kwa kuweka kioo kigumu kisichopitisha risasi katika stendi ya mabasi na kuweka ndani yake kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 7(dola Mil 3).
Yeyote ambaye angefanikiwa kuvunja kioo hicho kwa kupiga,ngumi, teke kukimbia na kukiparamia au hata kutumia nyundo ile pesa ingekuwa halali yake ila hakuna aliyefanikiwa.
Je ingekuwa bongo sijui ingekuwaje?View attachment 1540034View attachment 1540035
Wazungu sio watu wa kuwaamini,wana ushirikina wao.Sijui watakuwa wameweka nini hao jamaa
Mtiani ni kuvunja kioo.Ningeomba vifaa viwili tu nyundo ya kilo 5 na panga imara then nakomaa na lock tu mi sihangaiki na kioo..😅
Hivi mwizi huwa anambinu moja tu..? Sasa mi nakomaa na lock tu..😅Mtiani ni kuvunja kioo.
Watu wangeenda na nguvu za giza hapo, kioo kingesukumwa na kidole kimoja tu achilia mbali ngumi🤣🤣🤣
Kama ni hivyo ya nn nyundo, si unaandaa plan ya kuiba funguo tu. Hapa wanakuonyesha kuwa kioo hakivunjiki si kuwa huwezi kuibiwa.Hivi mwizi huwa anambinu moja tu..? Sasa mi nakomaa na lock tu..😅