Hii inaweza kuwa sababu mojawapo kwanini Graduates wengi wanakosa ajira au kushindwa Interview

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Aliyeandika taarifa hii ni kiongozi wa serikali ya wanafunzi UDOM.

IMG_20200808_091751.jpg
 
Hili suala linakera sana.

Wasomi hawajui kuandika wala kuongea.

Ila bado tatizo la ajira liko pale pale.

Kuna taasisi au kampuni wana kazi nyingi ila wamekosa vijana wenye sifa?

Jibu ni hapana.

Yaani aliyetoa tangazo hili public ni kiongozi wao. Daaaaahhhh

Kuhairishwa ndio kidudu gani!
 
Vyuo vingine vya kata ndio, lakini hio sio sababu ya watu kukosa ajira, uchumi ukiwa mzuri tu automatically unatoa fursa za kuajiriwa na kujiajiri
 
Vyuo vingine vya kata ndio, lakini hio sio sababu ya watu kukosa ajira, uchumi ukiwa mzuri tu automatically unatoa fursa za kuajiriwa na kujiajiri
Unaweza kuwa sahihi, hata kama uchumi ukiwa mzuri kuajiri mtu kama huyu ni hasara kwa management na kampuni.

Ulaya uchumi wao ni mzuri lkn watu wanashindwa interview kwa makosa madogo madogo kama haya.
 
H, i, a zinasumbua wasomi wa sasa wengi wana kuzitumia kwenye kiswahili.

Hatakuja/atakuja,

Ela/hela, inaingia/hinaingia, itapita/hitapita. Hajali/ajali. Usipende/husipende, hapendi/apendi.

Vijana wa sasa ukiwasiliana nao kwa ujumbe wa maandishi lazima uwe makini ama uulize zaidi kujua maana yake.
 
Mkuu hebu tupe data za nafasi za kazi zinazotoka na wanaopata kazi tuone kwanza. Nakuhakikishia wapo ambao wameajiriwa na hata kujieleza au kuandika sentesi mbili kwa kingereza ni shida na wapo wenye uwezo mzuri kabisa lakini wapo mtaani.
 
Back
Top Bottom