asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Hapo kwenye red: usione vyaelea....
Pesa imemtoka mwanaume ndo maana hata we umemuona!!
ndiyo maana nasema kigezo cha wewe kupendeza siyo sababu ya kunifanya mimi kama mwanaume niogope kukutokea ,,,,kwangu mimi hapo ndiyo umenihamasisha ,mambo ya kurepair the so called by you collateral damage yatakuja baadaye....... hao wanaotaka hela kutoka kwenu ni kupoteza sifa za uanaume na sidhani kama joyness alikuwa anamaanisha hela hapo juu.Na ndo hapo ninaposema kuwa, umenikuta msafi, mzuri basi nipe pesa ili nisifubae.
Sasa mnaposema kuwa tuwape pesa nyie ndo nnakuwa sielewi elewi, mnataka nini???
Kama mwanaume unaona mwanamke fulani Ham-match yanini Kujitutumua kuwa nae!!!!! mwisho utoke Vigimbi vya Uso bure.
NOT true ingekuwa hivyo wake wa mamilionea mjini hapa wasingekuwa wanasukumia nje!
kuhusu udogo wa dushulele hilo linawezekana ila inaaply kwa wale wenye kupenda mkono wa mtoto kama wewe ila siyo kwa wote.
he he he wife analiwa anabaki anang'aa sharubu tu!!!
kimbia huku na kule ooh wife sio mwaminifu!!!
Absolutely no ,wanaoliwa nje sababu haiwezi kuwa ubahili mostly ni tamaa tu na tabia ya mtu.......wanawake wengine hata mkiona mtu tu umeshalowa chini halafu mjikute mnatetea kuwa ni ubahili wa mwanamme wako.he he he wife analiwa anabaki anang'aa sharubu tu!!!
kimbia huku na kule ooh wife sio mwaminifu!!!
huwezi ukawa millionea halafu usitumie hela na mwandani wako ,utakuwa mtu wa ajabu sana na wakati mwingine unakuta huyo mama anayeliwa nje anashiriki katika usimamizi wa hayo mamilionea na ana mamlaka nayoIshu iko pale pale ni milionea lakini BAHILI
Ishu iko pale pale ni milionea lakini BAHILI
Hahaha....we inabidi nikupeleke Maldives ukatumbue na shosti yako Husninyo ndio mtaweka heshima
Absolutely no ,wanaoliwa nje sababu haiwezi kuwa ubahili mostly ni tamaa tu na tabia ya mtu.......wanawake wengine hata mkiona mtu tu umeshalowa chini halafu mjikute mnatetea kuwa ni ubahili wa mwanamme wako.
huwezi ukawa millionea halafu usitumie hela na mwandani wako ,utakuwa mtu wa ajabu sana na wakati mwingine unakuta huyo mama anayeliwa nje anashiriki katika usimamizi wa hayo mamilionea na ana mamlaka nayo
ndiyo maana nasema kigezo cha wewe kupendeza siyo sababu ya kunifanya mimi kama mwanaume niogope kukutokea ,,,,kwangu mimi hapo ndiyo umenihamasisha ,mambo ya kurepair the so called by you collateral damage yatakuja baadaye....... hao wanaotaka hela kutoka kwenu ni kupoteza sifa za uanaume na sidhani kama joyness alikuwa anamaanisha hela hapo juu.
Karibia wanawake wote ulimwenguni huvutiwa na dushelele lililojaa nyama na lenye uzito wa tani kadhaa.
Naongea nna uhakika sibahatishi ujue!!!!
Halafu nyie wadada huwa mnaniudhi sana...
Haswa nyie mnaopenda sana fedha na kujionesha kuliko kuonesha mapenzi ya dhati...
Mnavifanya hivyo vitobo vyenu mali sana eenh, kila anayetaka kupekecha nyie mwampa tu kisa ana hela...
Mnajidhalilisha tu, siachi kuwafananisha na KINU mtama mwatwanga, kisamvu mwatwanga, karanga mwatwanga....
Watu wazima hovyoooo, msione mwanaume ana pesa mshaanza mwandama kama nzi na kimba kichakani!!
.......Mtukome.......
ha ha ha ha ha ha hapa sasa mnachangamsha jamvii tu mwanawaneLIKE
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up: Evelyn Salt, hapo umecheza kama Pelle.
Hapa Suala ni UBAHILI
Hahahaaa watu8 bora umewatolea uvivu maana tushageuzwa vitega uchumi
ha ha ha ha ha ha hapa sasa mnachangamsha jamvii tu mwanawane
LIKE
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up: Evelyn Salt, hapo umecheza kama Pelle.
Hapa Suala ni UBAHILI
wewe Madame B wewe ,huo utafiti umeufanyia wapi ? hebu hata google ujionee mahaba yako ya mguu wa mtoto yasikufanye kipofu ujue.
swali la kizushi: when it comes kwenye mambo ya 6*6 ,vitu vingine ni minor kabisaaa ,ilimradi tu utumbukiziwe kitu kama cha mandingo?
mapenzi sio hela!sidhani kama wewe uko na mtu wako sababu ya hela tu,kama mapenzi yangekuwa ni hela mabillionea wasingejiingiza kwenye mapenzi that z what i think!joyness alikuwa anamaanisha hivohivo.
Hakuna mwanaume asiyependa hela wewe, ila tatizo lenu ni moja........, Mkishajua kazi ya mwanamke utataka nami nigawane majukumu na wewe, wakati wewe ndio umenitoa kwetu ili uje unihudumie.
wacha wewe watu wanagegeda wake za mamilionea wanaotunzwa mpaka nawenyewe wanapata uwezo wa kuhonga nyumba ,magari n.k ,halafu nyie mnalete blah blah blah za ubahili hapaNaongea nna uhakika sibahatishi ujue!!!!
mwanamke kuhudumiwa ni muhimu ,hata kwenye biblia imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho ,,,kwamfano hiyo namba 2 ya joyness inauhusiano gani na ubahili?joyness alikuwa anamaanisha hivohivo.
Hakuna mwanaume asiyependa hela wewe, ila tatizo lenu ni moja........, Mkishajua kazi ya mwanamke utataka nami nigawane majukumu na wewe, wakati wewe ndio umenitoa kwetu ili uje unihudumie.
hapo hamna ukweli madame B ni visingizio ambavyo havikubalikiTatizo lake anabishana na Ukweli.
Hahahaaa watu8 bora umewatolea uvivu maana tushageuzwa vitega uchumi
Na huo ubahili utaendelea kuwacost!!
mapenzi sio hela!sidhani kama wewe uko na mtu wako sababu ya hela tu,kama mapenzi yangekuwa ni hela mabillionea wasingejiingiza kwenye mapenzi that z what i think!