hii inawahusu wadada!

Vocha utanunuaa ila hupigiwi na ukipigiwa ni kuombwa nyingine. Wadada wana mambo.
 
kwani unanunua vocha ili upigiwe au yeye apate kuwasiliana na awatakao??/
Vocha utanunuaa ila hupigiwi na ukipigiwa ni kuombwa nyingine. Wadada wana mambo.
 
We toka lini ukamkabidhi mwanaume salary slip!!!!!!!!!! Khaaaaaaaaaaa! Ili mgawane majukumu vizuri! Chinekeeeee! Kwanza hata malovee yenyewe yanapotea!

Mapenzi bila pesa uongo!!!!!!!!!! Tena uongoo kweli kweli!

Hakuna outings wala bibi yake vaccations, hakuna migfts ya ukwee, hakuna kupendeza (Upendeze unaenda wapi? Kwa mkweo?) Yaani ni party pupper tupu! Mimi sioni enjoyent zaidi ya kushinda unapigwa mjiti tu ndo starehe ya bure na usingizi labda!!!!!!!!
 
hii ndo MMU full darsa....ka ulikuwa huchangii gharama za uchakavu, ndo tumemzibua masikio....
nilikuwa narepair mwenyewe kabisa hata hivyo.
hahahah kajanjaruka huyo, usipokuwa mwangalifu wajanja wa mjini watakusaidia....so akil kumkichwa
nipo makini sana kwa watoto wazuri kama evelyn salt ,ila hapo kwenye blue bado sana .....tumsubiri naye anaweza kuja kutia neno hapa.
 
Uko right, na usikute huyo anaesema kuwa Nimpe pesa mwanaume, yeye ndie Umagga ndani ya nyumba.........lol.....!!!!!!
Anaomba kuanzia Unyayo to Ukope.
Hapa Bhana Piga ,ua, galagaza......... mapenzi ni Mshiko tu, Kama huna Pesa unafikiri utaweza Kummiliki mwanamke type ya Uwoya...... sanasana labda tukudanganye kwa ajili ya maslai Binafsi.
Hao ni wale waliojifunzia Mapenzi ukubwani.........!!!!!!!!
Kachelewa Jamvini kakuta Karamu Ishaisha.

Sana sana nikae ndani anipige miti kama ulivyosema Lara.
Ikifika Outing,tuchunguliane Mifukoni.
 
huo ukali hauwasaidii, pendezesha baby wako bana!!!

Na ndo maana kutwa kucha wanaume wabahili, wanawake zao hugongwa na watu wasiowategemea.
Mpendezeshe Mpenzi wako bhana ili kila mmoja aogope hata kumsogelea.
Ukimuacha rafu wajanja watammega afu waanze kulia.........
 
hahahah kajanjaruka huyo, usipokuwa mwangalifu wajanja wa mjini watakusaidia....so akil kumkichwa

Kuliwa na mwingine baadae sana hela zikiisha!!!
sahivi hamna kuchakachua hela ya uchakavu is availabo!!!
 
Na ndo maana kutwa kucha wanaume wabahili, wanawake zao hugongwa na watu wasiowategemea.
Mpendezeshe Mpenzi wako bhana ili kila mmoja aogope hata kumsogelea.
Ukimuacha rafu wajanja watammega afu waanze kulia.........
mwanamke wako kupendeza ni muhimu na heshima mjini ,ila siyo sababu ya yeye kuogopwa aseeeeh! kuna sisi ambao huwa tunafuata waliopendeza tu siku zote sasa utategemea vipi tena nimfuate mchafu mchafu?
 
Hapo kwenye red: usione vyaelea....
Pesa imemtoka mwanaume ndo maana hata we umemuona!!
 
mwanamke wako kupendeza ni muhimu na heshima mjini ,ila siyo sababu ya yeye kuogopwa aseeeeh! kuna sisi ambao huwa tunafuata waliopendeza tu siku zote sasa utategemea vipi tena nimfuate mchafu mchafu?

Na ndo hapo ninaposema kuwa, umenikuta msafi, mzuri basi nipe pesa ili nisifubae.
Sasa mnaposema kuwa tuwape pesa nyie ndo nnakuwa sielewi elewi, mnataka nini???
Kama mwanaume unaona mwanamke fulani Ham-match yanini Kujitutumua kuwa nae!!!!! mwisho utoke Vigimbi vya Uso bure.
 
Ubahili ndio!!!
Tutakula dushelele?
Source: Cielo

Ubahili ndio huzaa vyote hivo ikifuatiwa na udogo wa dushelele.

NOT true ingekuwa hivyo wake wa mamilionea mjini hapa wasingekuwa wanasukumia nje!
kuhusu udogo wa dushulele hilo linawezekana ila inaaply kwa wale wenye kupenda mkono wa mtoto kama wewe ila siyo kwa wote.
 
Na ndo maana kutwa kucha wanaume wabahili, wanawake zao hugongwa na watu wasiowategemea.
Mpendezeshe Mpenzi wako bhana ili kila mmoja aogope hata kumsogelea.
Ukimuacha rafu wajanja watammega afu waanze kulia.........

he he he wife analiwa anabaki anang'aa sharubu tu!!!
kimbia huku na kule ooh wife sio mwaminifu!!!
 
NOT true ingekuwa hivyo wake wa mamilionea mjini hapa wasingekuwa wanasukumia nje!
kuhusu udogo wa dushulele hilo linawezekana ila inaaply kwa wale wenye kupenda mkono wa mtoto kama wewe ila siyo kwa wote.

Ishu iko pale pale ni milionea lakini BAHILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…