mimi haijawahi kunitokea ndiyo maana nikakurushia wewe uliyesema mtaendelea kucheat kwasababu waume zenu ni wabahili......kwanini usimuache mtu kama haendani na vigezo vyako ukamn'goa mtu mwenye kukidhi vigezo vyako kuliko kuwa mwizi mwizi.
Ndo hivo Broo, Kama wewe unajijua huna pesa unachapa lapa, unawaachia wengine wenye kujua kutumia wakeshe na mimi, Haina Makombo Hii na Wala haiachi alama kuwa umepita.
Kazi yangu haihusiani na Mapenzi, Unanitaka mimi au unaitaka kazi yangu,
Ila Mwisho wa Siku kama Huna Hela Unalala Mbeleeeeeeeeeeeee.....................
no madame nafikiri tofauti so u mean bila mwanaume mwanamke hawezi ishi maisha mazuri??tuna mikono,tuna akili,tuna nguvu na tunaweze bila kuwezeshwa, tena pengine tunaweza zaidi yao.
no madame nafikiri tofauti so u mean bila mwanaume mwanamke hawezi ishi maisha mazuri??tuna mikono,tuna akili,tuna nguvu na tunaweze bila kuwezeshwa, tena pengine tunaweza zaidi yao.
ninakubaliana na kusema mtu hajui mapenzi ,hajui kupetipeti.......hapo hata mimi nakubaliana na wewe kutupa kule kwasababu hapo hamna mapenzi tena, ila hiyo ishu ya ubahili kuwa ni reason tosha ya mwanamke kucheat .....hell! BIG NOOOOOO! hiki ni kisingizio tu
Kumbe sisi vigagula tutakufa huku tunajiona duuh! Mapenzi pesa mwanawane halafu kidume sina kitu mgegedo kwa jirani.
hapo umeniquote mimi Asakuta same ,hebu mquote vizuri Madame B kwani huu ujumbe unamuhusu yeye.
........tunakoelekea sasa utakuja kuwa Baba Ushauri............
ndiyo maana nikaliangalia hili katika muono wako.Kama mwanaume unaona mwanamke fulani Ham-match yanini Kujitutumua kuwa nae!!!!! mwisho utoke Vigimbi vya Uso bure.
hapo kwenye blue ndiyo umeua kabisa madame ,ama kweli mkiwezeshwa mnaweza aseeeh!Weweeeeeee............... Ninayoandika ndo yale ninayoshuhudia,
Mimi ni Tomaso.
Sasa Broo kama mwanaume ni mbahili halafu ana wivu na huku hataki kuniacha, nimfanyaje...........!!!!!!!!!
Hapo inabidi utumie njia mbadala.
Mwanaume naona unatoka baruti kulikimbia swali.................
ndiyo nikasema kama ndiyo kuna wanawake wenye akili kama hii hapa duniani basi ni hasara hii ,inamaana huwezi kuvaa au kula vizuri bila kuwezeshwa na mpenzi wako?BINAFSI MIMI NIKO NA MPENZI WANGU KWA AJILI YA PESA, UNAFIKIRI NITAKULA NA KUVAA NINI
huwa mimi sishaurigi mtu kwenye haya mambo kila mtu anaenjoyment yake ,kisa nini sasa nianze kukubania starehe zako....mimi nilikuwa nakumbushia tu ile kauli yako ya.........
ndiyo maana nikaliangalia hili katika muono wako.
ucjali ni makosa madogo hope amepata ujumbe.
hapo kwenye blue ndiyo umeua kabisa madame ,ama kweli mkiwezeshwa mnaweza aseeeh!
nop! its not mine wewe ndiyo ulitoa kauli hii..........
ndiyo nikasema kama ndiyo kuna wanawake wenye akili kama hii hapa duniani basi ni hasara hii ,inamaana huwezi kuvaa au kula vizuri bila kuwezeshwa na mpenzi wako?
Haya Baba, lala ukue.
no madame nafikiri tofauti so u mean bila mwanaume mwanamke hawezi ishi maisha mazuri??tuna mikono,tuna akili,tuna nguvu na tunaweze bila kuwezeshwa, tena pengine tunaweza zaidi yao.Bado sijaupata mamito, ila kama ndo hii basi nimeupata.
Ndo hapo sasa utakapoisoma namba kimya kimya............
thanx!of coz ur right sio mtu anasubiri mpaka aombwe wakati znamsumbua eti anapotezea!
ni watamu if you know how to deal with them ,otherwise usipowaangalia mkuu wanakuwaga ni wachungu kuliko shubiri