Hii inatokea na inawezekana tu Tanzania, hivyo acheni wenye Akili watucheke na watudharau kwani tumejitakia na tunastahili

Hivyo ndivyo mulivyokuwa mnamsifia hayati lkn kumbe alikuwa mwendazake
Hutawahi kuipata post yangu ya kumsifia hayati.

Najua ninachokisifia, na naiomba jamii yote ya Watanzania kumuunga mkono Mheshimiwa rais mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa manufaa ya Tanzania yetu.

Mkuu, tumuunge tu mkono Mama. Kwani una chuki nae???
 
Tunachokisema Sisi Watanzania ni kwamba, Mama aachwe afanye kazi na neema itapatikana kwa kila mmoja wetu.

Wasiomtakia mema Mheshimiwa rais wetu Mama yetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan basi waendelee kutomtakia mema, ila Mungu amemchagua na kupitia yeye taifa letu litaneemeka sana.
Mauaji yasijirudie.

..Dhuluma ikome.

..Ubaguzi uwe mwiko.

..KAZI iendelee.
 
Mauaji yasijirudie.

..Dhuluma ikome.

..Ubaguzi uwe mwiko.

..KAZI iendelee.
Chini ya Mama hakutakuwa na mauaji, na atakaefanya mauaji huyo ni Muhalifu kama wahalifu wengine wote.

Mama ameanza kuwafariji na kuwapa haki zao waliodhulumiwa, rejea vyombo vya habari vilivyofungiwa.

Ubaguzi utakomeshwa na mama amechukua hatua stahiki tayari kwa wale waliokuwa wakimshauri hayati kwa kuwaweka pembeni. Mama amejipambanua kama rais wa Watanzania na anatupenda sote. Mama atakutana na vyama vyote vya siasa kuangalia na kujadiliana nao juu ya namna bora ya kuijenga nchi yetu. Na hapa tutamtaka mpaka MH Tundu arudi kama kiongozi mwandamizi wa CDM aje afanye maongezi na Mama Ikulu juu ya mustakbali wa siasa na taifa letu.

Tanzania ni yetu sote, kwahiyo tunachosema ni kwamba

Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu
 
Nani ameleta habari za kumchukia?? Umelewa sio???

Upumbavu wenu na kosoa kosoa zenu zisizo na msingi hazina nafasi AWAMU hii.

Mheshimiwa rais Mama Samia hana muda wa kusikiliza kosoa kosoa za kipumbavu. Muda wake ameutenga kutumikia Watanzania
Naona Wazenjbar mmeamua safari hii ushaanza u praise team ukiwa hapo mchambawima mzee wa urojo

Anyway kazi iendeleeeeee

Twende na mama!
Dadeq!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hakuna kitu kama bunge la awamu ya tano..hili ni bunge la kumi na mbili.

Hii ni awamu ya sita..Zanzibar kwa nini ina awamu nyingi?

All in all hili halina tija,cha msingi afanye mambo mema.
Umeongea vyema. Sijui kwa ni watu wanapata utata kwenye hili. Awamu ya Rais na wabunge ni tofauti. Kwa vile hawajazoea kuona au hawajawahi kuona one term president basi wamekalili. Yaani ni kama vile mtu aseme Biden anamalixia awamu ya Trump....!!
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea 'Kuchemka' kwa Kujiita ni Rais wa Awamu ya Sita ila amesahau kuwa Leo amehutubia Wabunge waliochaguliwa katika Awamu ya Tano.

Nao Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo muda mwingi walikuwa wakimfurahia, wakimpigia Makofi, wengine hadi kupiga Sarakasi katika Viti vyao na Kumuimbia Rais wa Awamu ya Sita Mama Samia Suluhu Hassan huku wao wakijitambua kuwa ni Wabunge wa Awamu ya Tano.

Huenda Mimi Generalist na baadhi ya Watanzania wenzangu wachache sana Wanaojitambua ( Werevu ) hatujui kuwa kumbe baada tu ya Kifo cha Hayati Rais Dkt. Magufuli tarehe 17 Machi, 2021 Kesho yake kulifanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambapo Rais Samia akaibuka Mshindi wa Kura pamoja na Wabunge na kuwa rasmi ni Rais wa Awamu ya Sita pamoja na hao Wabunge na Madiwani.

Leo Watu wa Mitandaoni tumetishiwa na kuambiwa kuwa kumbe tunajulikana na wakikutaka basi muda wowote ule watatupata.

Nawapongeza kwa hilo ila Rais Mama Samia nae akae akijua kuwa wengine hata ikitokea tumekufa kwa Kulazimishwa ( Kuuawa ) kwa kuwa Wakosoaji wenye Mantiki humu Mitandaoni dhidi ya Utawala wake huwa tunafurahi kwani kwa Mwenyezi Mungu atatupokea kama Mashujaa wa kuwa Wakweli, siyo Waongo na kutopenda Unafiki wala Kujipendekeza Kwake.

Msimamo wangu Generalist ni ule ule tu kuwa Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita ndani ya ( katika ) Awamu ya Tano iliyo katika Muhula wake wa Pili ( wa mwisho )

Sipo katika Kundi la 'Vichwa Maji' wengi.
Kitu ambacho unajichanganya ni kuhusu bunge na Rais; hili siyo bunge la awamu ya tano bali ni bunge la 12 tangu tupate uhuru na tuna Rais wa 6, yaani ni awamu ya sita ya utawala tangu tupate uhuru! Awamu moja haiwezi kamwe kuwa na Rais zaidi ya mmoja. Wabunge wanaweza kuwa walewale lakini wakahudumia zaidi ya Rais mmoja!
 
Kwahiyo hawa Wabunge wa Awamu ya Sita ( kwa mujibu wake Rais Samia Suluhu Hassan mwenyewe ) wamechaguliwa katika Uongozi wa Rais Samia au wa Hayati Rais Dkt. Magufuli?

Nikiwadharau hamna 'Akili' msininunie!!
Wewe siyo tu huna akili bali ni kichaa!

Kila muhimili wa dola unajitegemea; Samia ni Rais wa awamu ya sita, bunge ni la 12 na mahakama ina hesabu zake kulingana na huyu aliyepo ni jaji mkuu wa ngapi tangu tupate uhuru!
 
Mama aache kufatilia mitandao kama hawezi kumudu mambo yasemwayo huku. Huwezi kuwapangia watu ya kuzungumza au kuandika mitandaoni. Mh anakosea big time.
 
Naona Wazenjbar mmeamua safari hii ushaanza u praise team ukiwa hapo mchambawima mzee wa urojo

Anyway kazi iendeleeeeee

Twende na mama!
Dadeq!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu

Si suala la Uzanzibari au Utanganyika. Ni suala la kujenga nchi yetu.

Sote tunajua namna ambavyo nchi ilikuwa inaendeshwa na Mapenzi ya Mungu kwa Watanzania yakatuletea rais mudilifu, mwenye busara, mwenye hekma, mwenye staha, na mwenye mapenzi ya dhati.

Kwahiyo kama hivyo ndivyo basi tunachosema ni

Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu
 
Pumbavu Hayati hupewa sana Public Figures ( na hasa hasa ) Marais ( Watawala )

Jambo dogo tu linakushinda kulijua je, hii Mada inayohitaji Akili Kubwa Kuijadili utaweza kweli?
Kwa hiyo baba yako ndiyo marehemu?
 
Mkuu

Si suala la Uzanzibari au Utanganyika. Ni suala la kujenga nchi yetu.

Sote tunajua namna ambavyo nchi ilikuwa inaendeshwa na Mapenzi ya Mungu kwa Watanzania yakatuletea rais mudilifu, mwenye busara, mwenye hekma, mwenye staha, na mwenye mapenzi ya dhati.

Kwahiyo kama hivyo ndivyo basi tunachosema ni

Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu
Kweli mkuu

Twende na mamaaaaaaaaaaaaa
😂😂😂😂😂😂
 
Una-sound kama mtu fulani ambaye aliadimika sana humu.
Any way cha msingi upo jamvini maana nilishangaa sikuoni humu sana.
 
Hutawahi kuipata post yangu ya kumsifia hayati.

Najua ninachokisifia, na naiomba jamii yote ya Watanzania kumuunga mkono Mheshimiwa rais mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa manufaa ya Tanzania yetu.

Mkuu, tumuunge tu mkono Mama. Kwani una chuki nae???
Hapana Sina chuki nae ht kidogo kwanza anakauli za kufariji ht km mtu unahasira zinapoa kuliko hayati
 
Katiba inazungumzia awamu kama kipindi cha miaka 5 ambapo inasema Rais atakuwa na vipindi viwili vya miaka 10 pia katiba inazungumzia Rais wa kuchaguliwa yani electoral President pia katiba ibara ya 35 kifungu cha 5 inazungumzia Rais kama Ofisi si mtu so makamu atakuchukua madaraka ya Rais kumalizia kipindi cha kilichobaki ambacho kikatiba ni miaka 5
Pumbavu! Kwa hiyo Nyerere alitawala kwa awamu ngapi?
 
Pumbavu! Kwa hiyo Nyerere alitawala kwa awamu ngapi?
Pumbavu kwetu ni Asante au Hongera hv kwenu ndo tusi??? Katiba hii ni ya mwaka 1977 Nyerere kajiuzuru mwaka 1985 huoni ni chini ya miaka 10 katiba inatambua vipindi viwili vya miaka 5 kila kipindi sasa hata ukikaa miaka 6 ukajiuzuru kuna tatizo? Kingine tumia akili japo kidogo matusi hayajawahi kuwa sifa ya mtu anayejitambua na mwenye akili timamu .
 
Hapana Sina chuki nae ht kidogo kwanza anakauli za kufariji ht km mtu unahasira zinapoa kuliko hayati
Safi kabisa mkuu.

Mama anajua majukumu yake, anajua kwamba yeye ni mfariji mkuu wa Watanzania wote.

Tumuunge mkono mama ili atuletee maendeleo tunayostahiki
 
Hoja za awamu hazina mantiki yoyote, kisheria wala kiutendaji. Rais Samia halazimiki kuifuata ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2020 kwa sababu na yenyewe haina nguvu kisheria. Kwa maana hiyo anaweza kupindua kila alichokuwa anafanya mwendazake na bado akawa sahihi.

Kama haya mambo yanatuchanganya, tuachane na mambo ya awamu, tuite tu Rais wa 5, 6.

Tujadili hoja za maana, mbona zipo nyingi tu.
 
Back
Top Bottom