mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,335
- 1,183
Je kuna article inayoeleza nini awamu na awamu moja ni muda gani? Kwa kumbukumbu zangu nakumbuka mzee ruhsa alipokuwa rais wa zanzibar ndie alieanza kutumia neno awamu ndani ya serikali akiashiria kipindi chake cha utawala, sikumbuki kabisa kama katika katiba ya Tanzania kuna neno awamu na kama limebainishwa muda gani ni awamu moja.Hiii ni awamu ya 5 kipindi cha pili hakuna awamu ya 6 ila kuna Rais wa 6 yupo pale kwa Kwa mujibu wa kifungu cha 37 (5) cha Katiba ya nchi hiyo iliyotungwa mwaka 1977
Article 37, subsection 5 states:
Where the office of President becomes vacant by reason of death, resignation, loss of electoral qualifications or inability to perform his functions due to physical infirmity…then the Vice-President shall be sworn in and become the President…
Niko radhi kukosolewa.