Hii inakuwaje?hebu nielezeni

Hahaha! TF na Kloro,Michelle yupo hapa nyumbani infakti anapika chai huku kavaa kanga moja,kama ana maradhi namtibu mwenyewe lol!
Haya kwani na wewe unatoa kikombe??? Halafu uporoto haujamtorosha kweli Michelle kutoka nyumbani kwao??
 
Mama Mchungaji Lizzy ndio anafanya maombi ya dharura ila nimesikia naye anatoa dawa
khaaa! namie naomba maombi ya zarura! na hako ka dawa ka lizzy mie naomba kaovadozi, naomba maombi yafanywe haraka sana niko mahtuti
 
khaaa! namie naomba maombi ya zarura! na hako ka dawa ka lizzy mie naomba kaovadozi, naomba maombi yafanywe haraka sana niko mahtuti
Ahaaaaa ahaaaa ankal nina wasiwasi na wewe kuomba ovadozi aiseee:lol::lol::lol::lol:
 
Ahaaaaa ahaaaa ankal nina wasiwasi na wewe kuomba ovadozi aiseee:lol::lol::lol::lol:
wewe subiri tu kataninyima huduma, sijapata kuona kamama mchungaji kachoyo kama haka ka lizzy lakini nitapeleka mashtaka kunakohusika kanyang'anywe cheo. kondoo tunaumia yeye hakatupatii huduma. bwana asifiwe! tusemeni aamen
 
wewe subiri tu kataninyima huduma, sijapata kuona kamama mchungaji kachoyo kama haka ka lizzy lakini nitapeleka mashtaka kunakohusika kanyang'anywe cheo. Kondoo tunaumia yeye hakatupatii huduma. Bwana asifiwe! Tusemeni aamen
amen, amen amen yaani mama mchungaji anakunyima kukupa huduma nitakusaidia kwenye kufikisha malalamiko yako sehemu husika
 
Utaumia macho na moyo bure kaangalie kule kwenye thread ya Liz tayari kaanza kunimiss(sio maneno yangu bali yake mwenyewe).
heheeh hii CPU karibuni itakumbwa na virus. haelewi kama malegend tulienda vacation tu na sasa tumerudi. CPU wewe koga tu lakini mjini hauendi kabisa yaani
 
wewe subiri tu kataninyima huduma, sijapata kuona kamama mchungaji kachoyo kama haka ka lizzy lakini nitapeleka mashtaka kunakohusika kanyang'anywe cheo. kondoo tunaumia yeye hakatupatii huduma. bwana asifiwe! tusemeni aamen

Hehehehe dawa ina masharti!!Moja wapo ni kuacha kumwangalia mama mchungaji....kuacha kumchokoza Sipiyu...na kumgongea mama mchungaji SENKSI 10 kila siku!!Utaweza????
 
Utaumia macho na moyo bure kaangalie kule kwenye thread ya Liz tayari kaanza kunimiss(sio maneno yangu bali yake mwenyewe).

Jamani wanadamu hamna kizuri!!Yani mpaka utunyime furaha ndo uridhike???Uporoto i'm vere vere disappointed in you!
 
Muongo huyo anatafuta jinsi ya kukukwepa tu, kwa kifupi amekuchoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom