Hii inakuwaje?hebu nielezeni

sweetdada

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
517
169
Wandugu wapendwa,natumai mko sawa popote pale mlipo.

Nina swali moja tu fupi.

Hivi inawezekana mtu akaacha kumpenda mpenziwe eti kisa kachanganyikiwa kutokana na kutakwa kimapenzi na viumbe vya jinsia nyingine?inawezekana mtu akachanganyikiwa asijue la kufanya na mahusiano yake kisa anakuwa seduced mara kwa mara?

Nawakilisha
 
Alikuwa anatafuta sababu huyo hana lolote uchanganyikiwe kutakwa kwani ndo mara ya kwanza???
 
anatakwa na viumbe wa jinsia nyingine nawe hutaki sasa unachanganyikiwa na nini au ni ule msemo unasema "hasidi hakosi sababu"
 
Sijui kama hivi ndivyo ulivyotaka kumaanisha kwamba mtu anakua target ya watu kibao na wanamfuatilia.Wapo watu ambao kwakweli ni wazuri wanavutia na wao wanajua kuwa wameumbika na mara nyingi watu wa aina hii wanakubwa na tatizo la kujua ni yupi anakupenda kweli na yupi anatamani tu.wengi wao huchanganyikiwa na wakati mwingine wanaamua kuwa free na mahusiano kwa muda
 
Charger asante kwa kufafanua..Nilikuwa nikimaanisha hivi ulivyosema.
 
Wandugu wapendwa,natumai mko sawa popote pale mlipo.

Nina swali moja tu fupi.

Hivi inawezekana mtu akaacha kumpenda mpenziwe eti kisa kachanganyikiwa kutokana na kutakwa kimapenzi na viumbe vya jinsia nyingine?inawezekana mtu akachanganyikiwa asijue la kufanya na mahusiano yake kisa anakuwa seduced mara kwa mara?

Nawakilisha

Huyo mwache tu baada ya muda dunia itafunza,au amuulize Wema nae alisema hivyo muangalie sasa hata nikilipwa simtaki.
 
nataka kuchangia mada lakini mbado kuelewa. naomba unipigie pasi kidogo sweetdada mtam.
 
yani ni hivi..mwanadada kamwambia mpenziwe hampendi kisa amechanganyikiwa..mpenzi kuuliza umechanganyikiwa nini?mwanadada kujibu kila kukicha mie natakwa tuuu mpaka sijui nani mkweli nani muongo,hata sijui maana ya kupenda ni nini,yani hapa nilipo nimechanganyikiwa sijui hata kama unanipenda au la!!
swali ni kwamba.je inawezekana eti kisa unatakwa ndo uchanganyikiwe useme humpendi mpenzi wako?
 
Aah kamanda mwenyewe,mbona mapema leo,kuna sista anadai hawezi endelea na mahusiano kwakuwa yuko kwenye high demand kwenye soko hahaha!
 
huyo mdada hana adabu hata za kuchemshia maji ya chai. nyambaaf!

sred klosed
 
Aah kamanda mwenyewe,mbona mapema leo,kuna sista anadai hawezi endelea na mahusiano kwakuwa yuko kwenye high demand kwenye soko hahaha!
kamanda hiki ni kimeo, hii excuse yake hata google haipatikani. kamenitia hasira kweli haka kadada kama haka ka laptop sio ka kuazima ningekavunjilia mbali kwa hasira
 
Hahaha! kuna wadada huwa siwaelewi unamuacha mtu ana kazi nzuri tu na anataka kukuoa unaenda kwa mzee wa 65+ kuwa small hausi u kanti bilivu yaani.
 
kuna baadhi ya wadada kisayansi tunawaita antiklockwise, yaani yeye akiwa na mfalme atatamani mtumwa, akiwa na mchezaji wa basketi atatamani kuwa na wa rugby, akiwa na mwanasiasa atatamani kuwa na mwanafilosofia. manzi kama huyu kama haujapata kisukari ndani ya mwaka mmoja itakuwa ni muujiza tosha kuthibitisha uwepo wa mungu.
 
Ankal @ work
 
We acha tu kuna mmoja alimwacha mchumbake kwa mbwembe na kwenda kwa kizee kimoja kifisadi,jamaa akaoa na ana watoto juzi yule dada anarudi kwa jamaa na kuomba kuwa wapenzi tu eti hajaona mfano wake.Jamaa alisema ulikimbia ndoa sasa unakubali uhawara sitaki nimepata mke mwema kaniondolea machungu ulioniachia tafuta mwingine.
 
Hahaha! kuna wadada huwa siwaelewi unamuacha mtu ana kazi nzuri tu na anataka kukuoa unaenda kwa mzee wa 65+ kuwa small hausi u kanti bilivu yaani.
Dah!!! Kumbe mtu ukitakwa na watu wengi unachanganyikiwa sijui siku akitokewana Yesu itakuwaje maana anaweza kufa kabisa huyu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom