Umekumbusha jambo la msingi sana.
Na pia baada ya kumaliza kazi zako bofya hapo juu "tools" kisha ingia kwenye clear recent history...
kisha pangusa kila kitu, atakaekuja kutumia mashine yako hata akizama kwenye history anakuta chenga
Haswaaa mkuu, na hata kama kwa wale wasiopenda usumbufu baada ya kumaliza shughuli zao wanaweza wakaRestart mashine zao au wakaShutdown/Turn off, inakuwa njia ya mkato zaidi kuepukana na usahaulifu na kuepuka ajali mfano wa mada uliyoiletaSawa kabisa, mambo hayo ni muhimu kuzingatia wakati unatumia device ambayo siyo ya kwako, ila kama device ni ya kwako wala hakuna tabu ila pia ni muhimu kama kuna mtu anaitumia tofauti na wewe!!
Dah! ningeifuma mimi hiyo wa kwanza kula ban ni Invisible, wa pili Paw, wa Tatu PAIN Killer, halafu wengine wote ningewatafuta nikawalamba ban za uhakika, na wale wote waliofungwa ningewafungulia.
Ningempa u moderator Malaria Sugu tushirikiane kuwakong'oli.
Kwi kwi kwi teh teh teh.
Hunter makaburi.ushauri bomba
hahahaHunter makaburi.
poa aiseeShukrani sana mkuu