Hii inakubalika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii inakubalika?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Indume Yene, Mar 17, 2011.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Jamani, wabongo bado tuna maumivu na mgao wa umeme, matumizi mabaya ya serikali yetu....lakini hapa naibu waziri viwanda na biashara anaendelea na mazungumzo na wageni wake huku TV nayo ikiwa busy.
  Wengine wanaweza kusema nina wivu but come on....hakuna mtu anayesikiliza wala kuangalia TV, sasa kuna umuhimu gani wa hiyo TV kuwa ON? Jamani hii inakubalika?
  Picha zajieleza......

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni "cultural constraints" za Watanzania..

  Kuna jirani yangu hajawahi kuzima "security lights" for the past 5 years! Huwa zinawaka 24/7 - mgao wa umeme ndiyo umemsaidia!
   
 3. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mpe pole, ungemshauri aweke timer.
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ni kukosa busara na ulimbukeni, kwanza kwa utaratibu ukiwa na wageni au mnapiga stori tv inapaswa kuwa off labda kama umekosa la kuongea ndo uiwashe!
   
 5. Mamuu55

  Mamuu55 Member

  #5
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanasikiajae na hiyo TV iko on??
   
 6. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...I hope sound itakuwa imewekwa mute kuruhusu mazungumzo tusi-judge mambo kwa mtazamo wa kurudi nyuma..:drum:
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ...si wamepunguza sauti hadi 0...!!
   
 8. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,960
  Likes Received: 20,296
  Trophy Points: 280
  Nitakwambia kuwa wanajadili mambo rahisi na mengine yakihusisha kinachoendelea katika luninga. Huwezi kuniaminisha kuwa hapa mh. huyu wanajadili mambo yanayohusiana na majukumu yao, umakinin hautokuwepo pale (hata kama sauti iko 0 au mute) itakapoonekana picha yenye kuvuta macho, picha huvuta na huwa na tafsiri zaidi kuliko maneno.

  Ushamba tu:smash:
   
 9. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Jamaa ana caliba ya uongo-ziiii utazani Risi wa nchi vile, he is far mych better that JK
   
 10. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia 100. Huo ndiyo utamaduni wetu lakini hata hivyo bado haijaniingia kichwani kabisa why that to happen hata kama angekuwa Mnyarwanda.
   
 11. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  That's what I'm asking!!!
   
 12. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Haswa na inaonyesha uko serious na mazungumzo na unamueshim aliye kutembelea
   
 13. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Sasa kuna umuhimu gani wa kuweka mute, hakuna anayeangalia na TV bado inaendelea kulamba energy. Sina hakika kama hiyo TV ni Energy Saver.
   
 14. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kwa nini isingezimwa badala ya ku-mute?? Ukipunguza sauti bado energy consumption ni ile ile. Tatizo hapa ni energy saving na si ku-pay attention kwa wageni wake.
   
 15. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ingependeza kama ungerudi kuangalia hizo pics, kisha angalia kilicho kwenye TV....then endelea kijadili.
   
 16. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Thank you.
   
 17. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,896
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Indume Yene, You got a big point...nakumbuka katika nchi ya Botswana wakati fulani, serikali ilitoa matangazo na kuhamasisha watu kutumia maji na umeme vizuri...walitoa mpaka magari yanapita barabarani kuwahamasisha watu wapunguze matumizi kwani ukame ulikuwa mkubwa. They even went further kusema even if una uwezo wa kumwagilia bustani au kuzungusha maji kwenye hoteli kubwa, walisema hapana mpaka ile shida iishe kwani tayari walisha ona reserve yao ilikuwa kidogo. Kweli walifanikiwa sana na kila mtu alikuwa sensitive kwenye matumizi ya maji na pia umeme...so umesomeka mkuu
   
 18. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mbona vitu vidogo tu hivyo.
   
 19. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hakuna chochote cha maana anachoongea!
   
 20. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu,
  Inawezekana kweli ikawa vitu vidogo kwako but remember hiyo bill nani analipa? Kodi yangu inalipa huo umeme.
  Wafanyabiashara wakubwa wanasamehewa kodi, mie natembea kutoka Gongo la Mboto hadi Upanga kuuza tray moja ya mayai na bado natozwa kodi. Na hiyo ndiyo inalipa bills za serikali. So, this is a big deal to me.
   
Loading...