Hii inakubalika?

Hii inakubalika?

Naunga mkono hoja ya umakini katika matumizi ya nishati haswa kwa kuzingatia hali ya umeme nchini kwa sasa. Elimu ya zima taa unapotoka chumbani..na pengine miradi ya elimu na uenezi wa vifaa vinavyotumia nishati kidodo inapaswa kuwa mpango mkakati wa wizara yetu ya nishati.Wanaoishi nyumba za kupanga tunafahamu namna tunavyohujumiana..ila pia viwandani mitambo chakavu inachangia upotevu mkubwa wa umeme.. tukiwa katika mgao mambo haya yanapaswa kupewa vipaumbele stahiki.
 
Hata kama ni kubana matumizi kwa hiyo ya TV ndani ya ofisi ya waziri itakuwa too much... Mie naona nisawa tu hata ikawaka masaa ishiri na nne
 
...I hope sound itakuwa imewekwa mute kuruhusu mazungumzo tusi-judge mambo kwa mtazamo wa kurudi nyuma..:drum:

Ishu siyo sound kuwa mute...main issue ni kwa nini iwe on wakati inaonekana kabisa watu wako kwenye mazungumzo kwa hiyo hawaitumii,maana yake umeme unatumika ovyo na tuna shida ya umeme.
 
Mimi huwa nikichoka kufanya kazi au nikiwastressed ninaingia zangu JF ninaikodolea macho avatar ya El toro....hiyo ni bab kubwa yaani full maumivu...i hope the real El toro ana resemble hiyo avatar au ndio yeye kabisa......
 
Mkuu,
Inawezekana kweli ikawa vitu vidogo kwako but remember hiyo bill nani analipa? Kodi yangu inalipa huo umeme.
Wafanyabiashara wakubwa wanasamehewa kodi, mie natembea kutoka Gongo la Mboto hadi Upanga kuuza tray moja ya mayai na bado natozwa kodi. Na hiyo ndiyo inalipa bills za serikali. So, this is a big deall to me.
Du mi nimependa hiyo sketi alievaa huyo sister kwenye picha ya pili i mean nimevutiwa nayo.
 
Hakuna lugha nyingine hapo zaidi ya matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi. TV inakula umeme ambao unalipiwa na sisi na hakuna mtu anayeangalia wala kusikiliza. Umakini wa mtu unaanzia na vitu vidogo kama hivyo. Asipokuwa makini kwa hilo dogo sina hakika kama atakuwa makini kwa viyu vikubwa pia. Tunaona TV kuwaka bila kusikilizwa ni sahihi lakini huo ni muendelezo wa ubadhirifu na matumizi mabaya ya raslimali za serikali. Matumizi mabaya tu hakuna lingine!!
 
Du mi nimependa hiyo sketi alievaa huyo sister kwenye picha ya pili i mean nimevutiwa nayo.

Duh, hii inadhihirisha jinsi ambavyo hatuko serious. Watu wanaongelea matumizi ya serikali lakini mwenzangu unaongelea sketi. Ama kweli ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari
 
Anasubiri breaking news. TV siyo anasa ni Habari. hata hivyo sina imani na nyarandu kwenye kampeni zake aligawa noti kitanda kwa kitanda hivyo inawezekana ni ufahari tu. muulize kwao Ngimu-Singida kuna hata umeme wa solar. ya nini kugawa noti? kwa nini hizo noti zisiboreshe mradi mmoja mkubwa kuliko kutawanya 10,000 x 5,000=............ukumbuka hilo ni la tarafa moja ya mgori je jimbo zima??? Ole wao mpendao pesa maana laana iko juu yenu. mnapewa mankula kisha mnawapa kura "KULA" baadaye maisha magumu........TZ BADO SANA!!!!!!
 
Unido%2BI.JPG


Nafikiri unaweza kuangalia tofauti ya hizi picha 2, najua kuna wengine watadai kuwa kwa kuwa Ngeleja ni waziri husika ndiyo maana TV yake iko OFF wakati wa mazungumzo. Wadau mnasemaje.......

Picture%2Bno.%2B1.jpg
 
Yeah kwa kweli huu si ustaarabu hata kidogo. Maana concentration haipo tena na inaonekana yanaonyeshwa mambo ya janga la Japan ambako kila mtu angetamani kujua nini kinaendelea huko.
By the way nimevutiwa na hilo sofa, hivi hii ni product ya hapa TZ au mpaka uiangize nje? Kama inapatikana hapa TZ naweza kuipata wapi na kwa bei gani?
 
Jamani, wabongo bado tuna maumivu na mgao wa umeme, matumizi mabaya ya serikali yetu....lakini hapa naibu waziri viwanda na biashara anaendelea na mazungumzo na wageni wake huku TV nayo ikiwa busy.
Wengine wanaweza kusema nina wivu but come on....hakuna mtu anayesikiliza wala kuangalia TV, sasa kuna umuhimu gani wa hiyo TV kuwa ON? Jamani hii inakubalika?
Picha zajieleza......

Unido%2BII.JPG


Unido%2BI.JPG


Mwenye ofisi hayupo, wao hawaruhusiwi kushika remote
 
Mkuu,
Inawezekana kweli ikawa vitu vidogo kwako but remember hiyo bill nani analipa? Kodi yangu inalipa huo umeme.
Wafanyabiashara wakubwa wanasamehewa kodi, mie natembea kutoka Gongo la Mboto hadi Upanga kuuza tray moja ya mayai na bado natozwa kodi. Na hiyo ndiyo inalipa bills za serikali. So, this is a big deal to me.

Kaka Indume Yene, pole sana. Mimi nampenda na namweshimu sana baba wa taifa Mwalimu wa watu Nyerere(Mwenye Enzi Mungu amlaze pema peponi -Amina) lakini kwa upande mwingine najua baadhi ya sera zake zilitufanya wadangayika tukawa wadanganyika kweli kweli. Mfano Siasa ya Ujamaa (pamoja na uzuri wake) ilitupumbaza wadanganyika wengi. Mfano leo hii wadanganyika wengi hawajui kuwa gharama za kuendesha serikali....soma sirikali....(mishahara -ikiwemo ya mafisadi, umeme wao, chakula chao-tena balansid dayati kila siku, maji ya kunywa, pakulala, pakunyea, pakuogea, mashangingi na kila kitu kinalipiwa kwa kiasi kikubwa na kodi anayolipia pizanti(mkulima) wa mwanarumango kila aendapo kununua kibaba cha unga dona nusu na robo. ndo maana kwa mdanganyika hii ni kitu dogo tu lakini kwa waelewa kama hapo kenya hii ni big dil sana.....Pole Yene.....naona na wakubwa, wengi wao, kwenye hizo picha wametinga suti nyeusi!!! teh! hivi hapo ni ndaresalamu au Moshi?!! hivi bila suti unakuwa Bung'aaaeee???!! ai jamani hizi lyf styl za kidhungu zatupa shida kweli!!!
 
Yeah kwa kweli huu si ustaarabu hata kidogo. Maana concentration haipo tena na inaonekana yanaonyeshwa mambo ya janga la Japan ambako kila mtu angetamani kujua nini kinaendelea huko.
By the way nimevutiwa na hilo sofa, hivi hii ni product ya hapa TZ au mpaka uiangize nje? Kama inapatikana hapa TZ naweza kuipata wapi na kwa bei gani?

wewe Mazingira...shshshshii!!! tulia wewe! unaharibu dili za wakubwa mkuu. nani alikwambia wakubwa tunanunua-ga bidhaa za TZ? Ingekuwa hivo mwatex si ingedumu!! Tunanunua nje ili tulambe teni pasenti mumo kwa mumo..teh! sisi tunachowauzia ni magogo(raw) tunayofyeka kwenye misitu ya asili(hatuwezi kuotesha mipya) nakusafirisha kwa njia za panya kukwepa kodi, wao wanaweka hapo akili kidogo kwenye hilo gogo wanaturudishia(baada ya kulipa kodi zote kule kwao) ambapo sisi wakubwa tunawasaidia kukwepa kodi hapo bandarini ndarisalamu. massawe akijitahidi akatengeneza ya kwake pale manzese sisi wakubwa hatuyataki kwa sababu kwanza huyo massawe ni mmachinga, anachafua mazingira tu huyo, dawa yake ni mgambo amtwange virungu (vicious cycle ov povate)...kweli ngombe wa maskini hazai na akizaa........eeee Mungueeeee!
 
Huu ni ubadhirifu wa mali ya umma
 
Back
Top Bottom