Hii imenishangaza

Hii imenishangaza

Vito Corleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,417
Reaction score
5,273
Nimesikiliza kipindi cha malumbano ya hoja Radio one, Alhamisi hii, naskia mtu anajitambulisha kama somebody Msafiri Mwajuma Mariam. Ama like waaaaaaat!

Niko sebuleni na dogo naye anashangaa, nkaelewa frustration aliyonayo kwenye kichwa chake.

Anyway labda aliamua kutumia jina hilo kutokana na kulelewa na mama peke yake na dingi akaingia mitini, au maybe ni mbwembwe zake ilikuongeza madoido, AU maybe just maybe kuna mwanaume mwenye jina hilo, la Mwajuma Mariam.

Anyway Niseme tu kwamba wanaume tunasafari ndefu, la sivyo they are taking over and they are taking over fast. Labda kweli dingi alimkimbia je hana hata wajomba? Anyway am high_koh Koh yoyoooo
 
wewe umesikia ila mimi nimemwona live kwa TV
ndio jina lenyewe au nasema uongo ndugu zanguni?


😀😀😀😀😀
 
Ina maana ni mtoto wa nje ya ndoa...hivyo kachukua jina la mama...according to uisilamu
 
Back
Top Bottom