Fohadi
JF-Expert Member
- Jul 24, 2020
- 770
- 2,408
Nimekuwa nikiwaza hiki kitu na sasa ningependa mnisaidie ufafanuzi kupitia mfano huu. Mara nyingi unapoomba kazi unaambiwa uweke referees. Je, ni lazima uweke referees ambao wanatoka sehemu ambazo unafanyia kazi kwa muda huo?
Kwa mfano labda nipo nafanya kazi kampuni X halafu nataka nitoke niende kampuni Y. Kwasababu naogopa Boss wa kampuni X asije akani recomend vibaya siku akipigiwa simu na kampuni Y, simuweki kwenye list ya refrees. Maana naamini hatapenda mimi kuondoka kwenye kampuni yake na ukizingatia ananitegemea sana japo masilah madogo. Japo nimefanya kazi kwa uaminifu ila siwezi jua personality ya mtu akataka 'kunibania' riziki.
Na kwenye CV yangu nitataja kampuni X kama nafanyia hapo mda huu kazi ila sitaweka mtu yeyote wa kampuni X kama referee ili 'nisijiharibie'.
Na kwakuwa kampuni X ndio ajira yangu ya Kwanza na sijawahi ajairiwa kampuni nyingine, naamua tu kuweka ma refrees wengine kama ndugu, jamaa na marafiki pamoja na walimu.
Je, waajiri katika kampuni mpya wanahitaji niwe na referee yoyote kutoka katika kampuni X? Na Je, nisipoweka mtu wa kampuni X kama referee wakati kwenye CV inaonekana bado nipo kampuni X, waajiri wa kampuni Y hawatashituka kuwa naficha ubovu wangu?
Naamini wengi wanakutana na situation kama hii. Naomba Muongozo kuhusu suala la ma referees kama ni lazima wawe ni waajiri wako wa zamani au mtu yeyote?
Natanguliza shukrani zangu.