Hii imekaje katika recruitment process?

Fohadi

JF-Expert Member
Jul 24, 2020
770
2,407
Nimekuwa nikiwaza hiki kitu na sasa ningependa mnisaidie ufafanuzi kupitia mfano huu. Mara nyingi unapoomba kazi unaambiwa uweke referees. Je, ni lazima uweke referees ambao wanatoka sehemu ambazo unafanyia kazi kwa muda huo?

Kwa mfano labda nipo nafanya kazi kampuni X halafu nataka nitoke niende kampuni Y. Kwasababu naogopa Boss wa kampuni X asije akani recomend vibaya siku akipigiwa simu na kampuni Y, simuweki kwenye list ya refrees. Maana naamini hatapenda mimi kuondoka kwenye kampuni yake na ukizingatia ananitegemea sana japo masilah madogo. Japo nimefanya kazi kwa uaminifu ila siwezi jua personality ya mtu akataka 'kunibania' riziki.

Na kwenye CV yangu nitataja kampuni X kama nafanyia hapo mda huu kazi ila sitaweka mtu yeyote wa kampuni X kama referee ili 'nisijiharibie'.

Na kwakuwa kampuni X ndio ajira yangu ya Kwanza na sijawahi ajairiwa kampuni nyingine, naamua tu kuweka ma refrees wengine kama ndugu, jamaa na marafiki pamoja na walimu.

Je, waajiri katika kampuni mpya wanahitaji niwe na referee yoyote kutoka katika kampuni X? Na Je, nisipoweka mtu wa kampuni X kama referee wakati kwenye CV inaonekana bado nipo kampuni X, waajiri wa kampuni Y hawatashituka kuwa naficha ubovu wangu?

Naamini wengi wanakutana na situation kama hii. Naomba Muongozo kuhusu suala la ma referees kama ni lazima wawe ni waajiri wako wa zamani au mtu yeyote?

Natanguliza shukrani zangu.​
 
Ni nzuri kuweka refalii japo mmoja toka kwenye Kampuni ufanyiayo kwasasa ila sio lazima awe bosi wako aweza kuwa hata Afisa mnayelingana cheo.....
 
Japo sijasoma maelezo yako mpaka mwisho ila kufupi ni kuwa
Kinachotakiwa ni referees wawili hadi watatu na sio lazima wawe wametoka miongoni mwa taasisi uliotoka kufanyia kazi muda uliotoka.
Sasa wale fresher's school si hawata pata.
Lengo la referees ni kuweza kuulizwa kama ushahidi tu anakufahamu vipi wewe na utendaji kazi wako.
Unaweza ukaweka work experience umeorodhesha tano lkn ukaweka referees umewachagua wawili kutoka taasisi uliyofanya na mmoja katoka kwenye kampuni ambayo hukuweka kabisa ktk experience uliyoorodhesha.

N.B hakuna sheria wala taratibu iliyosema ni lazima uweke refariii ulipotoka kufanyia kazi mwishoni mwa shirika ulilokuwa.
Ili usiboreke na ni vyema referees uwaweke watatu wawili unaweza ukawaweka hata project coordinator na account uliofanya nao kazi shirika lolote lile na mmoja kutoka shirika lingine.
 
Kwahy refferes umeweka jamaa, ndugu na marafiki.? 😂😂😂

Kuna uzi wangu niliweka hapa kujua hawa refferes ni akina nani na nkajibiwa vizuri sana kwenye page ya kwanza tuu (cjui jnc ya kuweka uzi hapa)
 
Japo sijasoma maelezo yako mpaka mwisho ila kufupi ni kuwa
Kinachotakiwa ni referees wawili hadi watatu na sio lazima wawe wametoka miongoni mwa taasisi uliotoka kufanyia kazi muda uliotoka.
Sasa wale fresher's school si hawata pata.
Lengo la referees ni kuweza kuulizwa kama ushahidi tu anakufahamu vipi wewe na utendaji kazi wako.
Unaweza ukaweka work experience umeorodhesha tano lkn ukaweka referees umewachagua wawili kutoka taasisi uliyofanya na mmoja katoka kwenye kampuni ambayo hukuweka kabisa ktk experience uliyoorodhesha.

N.B hakuna sheria wala taratibu iliyosema ni lazima uweke refariii ulipotoka kufanyia kazi mwishoni mwa shirika ulilokuwa.
Ili usiboreke na ni vyema referees uwaweke watatu wawili unaweza ukawaweka hata project coordinator na account uliofanya nao kazi shirika lolote lile na mmoja kutoka shirika lingine.
Nilitaka kufafanua lakini nimeghairi baada ya kuona maelezo haya hayatofautiani na niliyoyataka kusema.
Kwa kifupi mada imeishia hapa.
Kwa kuongezea tu hapa,endapo sehemu ulipoomba kazi wanahitaji referee wa kutoka kampuni yako ya sasa watakueleza baada ya interview kama wamekukubali na wako serious kukupa kazi kwa hiyo sio jambo la kuumiza kichwa kabla.
Na kitu kingine hakikisha kwenye kampuni ya sasa hata kama unachukiwa na watu wengi au kampuni nzima hakikisha una marafiki japo wawili ambao watakusaidia reference siku ikihitajika kwenye ajira yako mpya.
 
asante sana mkuu
 
Japo sijasoma maelezo yako mpaka mwisho ila kufupi ni kuwa
Kinachotakiwa ni referees wawili hadi watatu na sio lazima wawe wametoka miongoni mwa taasisi uliotoka kufanyia kazi muda uliotoka.
Sasa wale fresher's school si hawata pata.
Lengo la referees ni kuweza kuulizwa kama ushahidi tu anakufahamu vipi wewe na utendaji kazi wako.
Unaweza ukaweka work experience umeorodhesha tano lkn ukaweka referees umewachagua wawili kutoka taasisi uliyofanya na mmoja katoka kwenye kampuni ambayo hukuweka kabisa ktk experience uliyoorodhesha.

N.B hakuna sheria wala taratibu iliyosema ni lazima uweke refariii ulipotoka kufanyia kazi mwishoni mwa shirika ulilokuwa.
Ili usiboreke na ni vyema referees uwaweke watatu wawili unaweza ukawaweka hata project coordinator na account uliofanya nao kazi shirika lolote lile na mmoja kutoka shirika lingine.
shukrani sana
 
Back
Top Bottom