hii imekaaje ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hii imekaaje ?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mtu wa Pwani, Jan 2, 2011.

 1. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  inakubalika.JPG
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kwani we unaiona imekaaje?
   
 3. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #3
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Imekaa kawaida. Tena wewe ni Mtu wa Pwani, unashituka nini hapo?
   
 4. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  naona jamaa anaweza enda haja ndogo hapo hapo
   
 5. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kama wahusika hawana shida na wako ukumbini ambako tunaamini hakuna watoto, ni sawa tu, haina shida
   
 6. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Natamani ningekuwa mimi !
   
 7. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah mjita kumbe ndo ulivokuwa unaona imekaa
  kweli we wapwani miwazo nyumaaaaa
   
 8. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  unatamani nini sasa hapo mpwaaaa, loh wacha tamaa za mzee fisi bana
   
 9. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Hakuna kulala doro hapo!! Jamaa ameshikiria yaani haamini kama kimeeleweka ameamua alinde na mikono kabisa!! Kazi kweli kweli
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kawaida tu analinda mali yake
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ah hapo mbona usalama upo tena maadili yapo LUKUKI
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ungekuwa upande upi?wakupakatwa au kupakatwa!!
   
 13. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Jamaa alikuwa anapima joto la mashine!!
   
 14. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  we unaonaje? mbona unatuletea umbea humu ndani? ulienda club kupiga watu picha afu uziweke humu? shame on you! jipige wewe uweke zako humu ndo tukutolee maoni, akili zako hazikutoshi!
   
 15. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  umekuwa shigongo????
   
Loading...