Hii imekaaje ?????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje ??????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbweka, Aug 4, 2010.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mpenzi anaekili kuwa ka-cheat mara nyingi huwa na mapenzi ya dhati, anajua kosa lake na pia anaumia kama unavyoumia wewe au pengine zaidi kwa kile alichokifanya na uwezekano wa yeye kurudia kosa ni mdogo sana kwa vile hatotaka kuumua au kukuumiza tena na that's love! Lakini yule anaeficha mpaka umekujakugundua affair imekuwepo kwa zaidi ya miezi kadhaa au miaka hana tofauti na muuaji na ni wazi kabisa hana mapenzi ya dhati na wewe

  JE HII NI KWELI?
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  bora anayesema .....akinambia ukweli ntazidi kumpenda na wala stakuwa na kinyongo nae bt yule ambaye kauchuna mpk nkapata umbea kwa jirani.....ahh inauma sana!!!!
   
 3. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  mwana wa nyoka ni nyoka tu...!!!
   
 4. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Huyo anayekiri anaanzaje kukwambia?
   
 5. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,687
  Likes Received: 8,221
  Trophy Points: 280
  katika hadithi za hapa na pale...Ukweli unauma but it sets us free!!!
   
 6. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Yani najiuliza siku hiyo umekaa na wife/hubby, mara unaanza unajua mpenzi kwa muda mrefu sasa nimekuwa na uhusiano na fulani! Nisamehe shetani alinipitia ila nimetambua kosa langu na sirudii tena! Si ndo kujichongea huko?
   
Loading...