Hii imekaaje wataalamu??

Hii imekaaje wataalamu??

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
84
Reaction score
291
Kuna binti mmoja kazini kwangu ni rafiki yngu wa kawaida Ambaye tunashirikiana vitu baadhi
Sasa sababu ya kuja hapa jamvini ni kuhusu tabia ya huyu binti.

Mimi nimeoa yeye hajaolewa na hapa kazini kuna vijana kama watatu wameshamtongoza wajenge familia lakni yeye hatak na mbaya zaid aanakuja kunisimulia kila kitu na pia kuomba ushauri

Nikimshauri akubali anachukia sanaa na muda wote anataka kua beneti na mm niliye occupied sielew shida iko wapi
 
Hatuna ushauri juu ya hilo swala lako!
 
talk sense achana na uzinzi, avocacy ya ngono!
 
Kuna mmoja alifanya kama huyu wako wala hakumaliza week, Nilishampelekea Moto wa kutosha tena toka 3 asubuhi mpaka 11 jioni alishanyooshwa vya kutosha...
Tambua hisia zake na UJITAMBUE WEWE PIA.
 
Kuna binti mmoja kazini kwangu ni rafiki yngu wa kawaida Ambaye tunashirikiana vitu baadhi
Sasa sababu ya kuja hapa jamvini ni kuhusu tabia ya huyu binti.

Mimi nimeoa yeye hajaolewa na hapa kazini kuna vijana kama watatu wameshamtongoza wajenge familia lakni yeye hatak na mbaya zaid aanakuja kunisimulia kila kitu na pia kuomba ushauri

Nikimshauri akubali anachukia sanaa na muda wote anataka kua beneti na mm niliye occupied sielew shida iko wapi
Hujaenda jando?
 
Kuna mmoja alifanya kama huyu wako wala hakumaliza week, Nilishampelekea Moto wa kutosha tena toka 3 asubuhi mpaka 11 jioni alishanyooshwa vya kutosha...
Tambua hisia zake na UJITAMBUE WEWE PIA.
Jitu la mtumba
 
Back
Top Bottom