Kuzaa na kulea ni utumwa kwa mwanamke?ukiwa emotional hata logic unakosa?hata wanaume wako washenzi wanaoingia kwenye ndoa kujipatia aina fulani ya mtumwa wa kumzalisha na kulea watoto wake

Ndio maana ni rahisi mwanamke kuwa tajiri ndani ya muda mfupi baada ya kuolewa na tajiri...Mwanaume lazima atafute mno....Kwani ndoa ni ajira?
Yaani miaka mitatu tu upate mamilioni ya hela toka kwa mwanaume tajiri?View attachment 2588705
Islam ni dini ya hovyo... shwainHabari wakuu,
Hivi karibuni kumekuwa na story inayotrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na wanandoa wawili waliofanikiwa kufikisha miaka mitatu kwenye ndoa yao na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, Achraf Hakimi(24) ambaye ni mchezaji wa kulipwa wa PSG na mkewe Kiba Habouk(34).
Sakata hili limekuwa maarufu baada ya mkewe na Achraf mwanamama Kiba Habouk kudai talaka mahakamani ikiwemo na mgawanyo wa mali zinazomilikiwa na familia yao hiyo.
Lakini katika hali ya kushangaza mahakama imegundua kuwa Achraf licha ya utajiri wake wote huo, hamiliki chochote kwani mali zake zote amemilikisha kwa mama yake SAIDA MOAH ikiwemo na mshahara wake anaoingiza kila wiki pale PSG, kwani unaingia kwa jina la mama yake.
Imeshangaza baada ya kugundulika Achraf hela ya matumizi yake binafsi anachkua kwa mama yake, na baada ya uchunguzi zaidi imegundulika pia mama yake ndiye mwenye majina ya magari yote ya kifahari ikiwemo na assets zote za jamaa mpaka vyombo vya ndani.
Hivyo basi, bibie Kiba Habouk amebaki hana la kufanya na kubaki kushangaa tu! Kwani mahakama imemaliza ushahidi huo.
Narudi kwenu wakuu, hii imekaaje mbona kama ni dhambi tukiangalia upande wa pili wa shilingi. Umeishi na mwenzio miaka mitatu analea mwanao, na pia kukusaidia kwenye masuala mbalimbali ya kimaisha, halafu mwisho wa siku asipate chochote mnapoachana.
Sasa muda huo si bora angekua anafanya shughuli zake zingine za kumwingizia kipato inawezekana angefika mbali, kuliko kutoka kwenye ndoa na kuanza moja.
Naomba ufafanuzi wakuu, sio kwa ubaya lakini ni kueleweshana tu jamani.
Islam inaingiaje hapo haya Mambo ya ndoa kwenye Quran yamechambuliwa vizuri kabisa ukimuacha mtu iwe kwa amani na umlipe chochote sio kwa upendo sio kugawana Mali. Uislam umeweka wazi Mali za mawanaume ni zake na za mwanamke ni zake hurusiwi kudai hata mia... Ila mwanaume ndio anaweza kutoa chochote kitu kwa mwanamke akaanze maisha kwa wemaIslam ni dini ya hovyo... shwain
hakuna logic hata kwa wanaume wanaosema kuwa wanawake wanaoingia kwenye ndoa wanaleta ushenzi. Hivi kweli mwanamke anakuhudumia na kukuzalia watoto halafu unaona ni ushenzi?Kuzaa na kulea ni utumwa kwa mwanamke?ukiwa emotional hata logic unakosa?
Mimi naona hakuna kazi ambayo ni ya heshima na kubwa kwa mwanamke kama kuleta kiumbe duniani na kulea....hawi abused kwa kumzalia mwanaume na kulea...Matendo mabaya anayotendewa na huyo mwanaume si ya kuyasifia ni mabaya.... lakini hauwezi kusema, nimefanyiwa kitu kibaya kuzalishwa na huyu mwanaume kisa mlevi, Malaya,bahiri,mchafu. Kuzaa na kulea ni primary task ya mwanamke na ni kitu cha kujivunia dada yangu.hakuna logic hata kwa wanaume wanaosema kuwa wanawake wanaoingia kwenye ndoa wanaleta ushenzi. Hivi kweli mwanamke anakuhudumia na kukuzalia watoto halafu unaona ni ushenzi?
Kama mbwai na iwe mbwai, naona umekasirika.
I don't know...kwanini tukiwa criticized as humans, huwa tunajaribu ku-counter criticize kwa kuhamisha topic upande mwingine...e.g ukicritize timu ya Simba kwa lengo la kujenga,atajitetea kwa kusema mbona Yanga nao wapo hivyo...Tukubali kuwa criticized.hakuna logic hata kwa wanaume wanaosema kuwa wanawake wanaoingia kwenye ndoa wanaleta ushenzi. Hivi kweli mwanamke anakuhudumia na kukuzalia watoto halafu unaona ni ushenzi?
Kama mbwai na iwe mbwai, naona umekasirika.
Hakika hakika,nimegundua kuoa nikuajiri naunaemlipa mshahara ni ni mkeo,nimegundua dhumuni landoa linazidi kupoteza mantiki nakukita mizizi ktk masilahi kitu ambacho nikinyume na mpango wa Mungu juu ya ndoa,fikiria mwanamke mmechuma wote kwa mgongo wa mmewe halafu kwa matakwa yake binafsi na tamaa zake mwenyewe anaamua kuaanzisha zogo la kimkakati la kudai talaka .nakuachana mahakamani ,kumbe lengo lake nikua mgawane mali ambazo yy unakuta hajachangia pakubwa sana bali anataka hizo mali kwa mgongo wa talaka,Yaani jinsi ilivoiweka ni kama kuolewa ni kuajiriwa na kuoa ni kuajiri.
Habari wakuu,
Hivi karibuni kumekuwa na story inayotrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na wanandoa wawili waliofanikiwa kufikisha miaka mitatu kwenye ndoa yao na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, Achraf Hakimi(24) ambaye ni mchezaji wa kulipwa wa PSG na mkewe Kiba Habouk(34).
Sakata hili limekuwa maarufu baada ya mkewe na Achraf mwanamama Kiba Habouk kudai talaka mahakamani ikiwemo na mgawanyo wa mali zinazomilikiwa na familia yao hiyo.
Lakini katika hali ya kushangaza mahakama imegundua kuwa Achraf licha ya utajiri wake wote huo, hamiliki chochote kwani mali zake zote amemilikisha kwa mama yake SAIDA MOAH ikiwemo na mshahara wake anaoingiza kila wiki pale PSG, kwani unaingia kwa jina la mama yake.
Imeshangaza baada ya kugundulika Achraf hela ya matumizi yake binafsi anachkua kwa mama yake, na baada ya uchunguzi zaidi imegundulika pia mama yake ndiye mwenye majina ya magari yote ya kifahari ikiwemo na assets zote za jamaa mpaka vyombo vya ndani.
Hivyo basi, bibie Kiba Habouk amebaki hana la kufanya na kubaki kushangaa tu! Kwani mahakama imemaliza ushahidi huo.
Narudi kwenu wakuu, hii imekaaje mbona kama ni dhambi tukiangalia upande wa pili wa shilingi. Umeishi na mwenzio miaka mitatu analea mwanao, na pia kukusaidia kwenye masuala mbalimbali ya kimaisha, halafu mwisho wa siku asipate chochote mnapoachana.
Sasa muda huo si bora angekua anafanya shughuli zake zingine za kumwingizia kipato inawezekana angefika mbali, kuliko kutoka kwenye ndoa na kuanza moja.
Naomba ufafanuzi wakuu, sio kwa ubaya lakini ni kueleweshana tu jamani.
Bado atugawie nazakeHabari wakuu,

Tanzania mwanamke anapewa only 26%Sioni shida ya kugawana Mali na mtalaka , shida inakuja hapa mtalaka anataka mgawane asilimia 50/50 hii kitu ngumu alikuwa anakusaidia kulea na shughuli zingine ndio ana haki ya kupewa ila shida ni mgawane sawa Mtaftuaji? Hii ndio maana watu wanapiga wenzao matukio
Na imekuwa kawaida baadhi ya wanawake huzitaka ndoa kwa kigezo hicho kitu ambacho hakikubaliki kwasababu akija hamuanzi mwanzo anakukuta unavyo ikifika hatua ya kugawana hii gender Huwa Wana hasira ya kutaka kukomoa hivyo atataka vyote mgawane sorry for women's ila ukweli wengi wapo hivyo.
Can I imagine that you comment to this topic without knowing your audiance! To whom are you communicating? I gues you're stressed for what the man did to your fellow gold digger. Jukwaa la kiswahili, hadhira ya kiswahili wewe unaandika kingereza, are you Ok!martial jb [emoji847][emoji847][emoji847]
You are real a Gentleman..you have become the only Man who remained positive and logical to this Case[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
I have see so many nasty comments..[emoji3525][emoji3525][emoji3525]mostly by men towards Hakimi’s wife asking the courts to grant her half his wealth.
On my Personal view.. She can ask for anything because she is part of him..it is left to the courts to decide. I find it MORE DISGUSTING that his MOTHER CONTROLS him! A grown man? All these men talking is that what they do?
A man tied to his mother’s wrapper? Probably she is the cause of whatever issues has led to this divorce.
Which woman will be happy that everything that happens in her home is controlled by the mother of her husband? Even if she brought him up and was part of his success.
It is wrong and very calculating of Hakimi also. I am sure if she has a GOOD lawyer..she can collect a good alimony for herself and her sons.
[emoji411] [emoji411] [emoji411]
[emoji1830] [emoji1830] [emoji1830]
[emoji3539] [emoji3539] [emoji3539]
🗑🗑🗑🗑🗑🗑Can I imagine that you comment to this topic without knowing your audiance! To whom are you communicating? I gues you're stressed for what the man did to your fellow gold digger. Jukwaa la kiswahili, hadhira ya kiswahili wewe unaandika kingereza, are you Ok!
Wanaume, tuchukue nukuu za Hakim. Hakuna kumchekea mwanamke mnafiki na tapeli.
Hivi kwann unasema mwanamke kukuzalia watoto ,kwani hao watoto anaozaa,,siniwake pia jamani.hakuna logic hata kwa wanaume wanaosema kuwa wanawake wanaoingia kwenye ndoa wanaleta ushenzi. Hivi kweli mwanamke anakuhudumia na kukuzalia watoto halafu unaona ni ushenzi?
Kama mbwai na iwe mbwai, naona umekasirika.
MtAtukana sana Kwa kiingereza sijui mtu mzima anaendeshwa na mama yake ila kaokoa Mali alizosotea ndyo Cha msingi .martial jb [emoji847][emoji847][emoji847]
You are real a Gentleman..you have become the only Man who remained positive and logical to this Case[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
I have see so many nasty comments..[emoji3525][emoji3525][emoji3525]mostly by men towards Hakimi’s wife asking the courts to grant her half his wealth.
On my Personal view.. She can ask for anything because she is part of him..it is left to the courts to decide. I find it MORE DISGUSTING that his MOTHER CONTROLS him! A grown man? All these men talking is that what they do?
A man tied to his mother’s wrapper? Probably she is the cause of whatever issues has led to this divorce.
Which woman will be happy that everything that happens in her home is controlled by the mother of her husband? Even if she brought him up and was part of his success.
It is wrong and very calculating of Hakimi also. I am sure if she has a GOOD lawyer..she can collect a good alimony for herself and her sons.
[emoji411] [emoji411] [emoji411]
[emoji1830] [emoji1830] [emoji1830]
[emoji3539] [emoji3539] [emoji3539]
ndiyo wake lakini nyinyi ndiyo munajipa credit kwa mtoto kuitwa binti au bin fulani (jina la baba). Pia siku zote humu munajinadi kuwa ndiyo vichwa vya familia.Hivi kwann unasema mwanamke kukuzalia watoto ,kwani hao watoto anaozaa,,siniwake pia jamani.
Anapaswa kupewa kwa criteria gani?Kama vipi waangalie kiasi ambacho mwanamke alikuwa anapaswa apewe wakate kwenye mshahara wake kidogo kidogo mpaka itimie