🥰😘 huo ndio upendo wa kweli. Maneno yako yamejaa upendoNdo tujifunze kuwa tusiingie kwenye ndoa Kwa malengo ya kuvuna,Bali upendo ndo utuingize humo
Kabisa 🥰🥰😘 huo ndio upendo wa kweli
Mjifunze kutafuta vyenu na msidaidai hela za matunzo ya mtoto.Mtoto siyo wa baba peke yake.Haya mambo yafanyike huko huko ambako angalau kila mtu anaingia ndoani akiwa na vyake, huku kwetu ambako wanaume zetu tunaanza nao sifuri, walahi tutagawana mbao na misumari! Liwalo na liwe 😂😂😂
😂 mpaka vijiko mtavunjiana kikibaki kimojaHaya mambo yafanyike huko huko ambako angalau kila mtu anaingia ndoani akiwa na vyake, huku kwetu ambako wanaume zetu tunaanza nao sifuri, walahi tutagawana mbao na misumari! Liwalo na liwe 😂😂😂
Mngekuwa hvyo wote mbona raha sanaKabisa 🥰
Mkeo ndio ajifunze sio mimi kaka. Nimesema hivi... huku kwetu tunapoanza 0-0'chumba kimoja..... likitokea la kutokea lazima kila mtu apate mgao wake, ama sivyo tutagawana mbao!Mjifunze kutafuta vyenu na msidaidai hela za matunzo ya mtoto.Mtoto siyo wa baba peke yake.
Hahhaa nimecheka!😂 mpaka vijiko mtavunjiana kikibaki kimoja
Huyo avune alichopanda hatuna chakumsaidia. Asubiri child support.Ndio africa
Ila huyo mwanamke alifuata mali
Utapigaje hesabu kwa kitu ambacho hakipo?Kama vipi waangalie kiasi ambacho mwanamke alikuwa anapaswa apewe wakate kwenye mshahara wake kidogo kidogo mpaka itimie
Na ndicho anachostahili.Huyo avune alichopanda hatuna chakumsaidia. Asubiri child support.
Mshahara wa hakimi unajulikanaUtapigaje hesabu kwa kitu ambacho hakipo?
Unadhani mahakama haikuwa na maswali kama yako?Sheria na haki zimefuatwa.Kama iliandikwa sehemu kwamba waoane ili waje wagawane mali,ingekuwa sawa.Mwanamke huyo ana akili zinazowakilisha vibaka wenzie wengi waliopo duniani.Mshahara wa hakimi unajulikana
Hata kama acc ina jina la mama yake kwa akili ya kawaida psg wanajua wamemuajiri na wanamlipa ashraf
Huyo hakua mke alikua mdangaji.Habari wakuu,
Hivi karibuni kumekuwa na story inayotrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na wanandoa wawili waliofanikiwa kufikisha miaka mitatu kwenye ndoa yao na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, Achraf Hakimi(24) ambaye ni mchezaji wa kulipwa wa PSG na mkewe Kiba Habouk(34).
Sakata hili limekuwa maarufu baada ya mkewe na Achraf mwanamama Kiba Habouk kudai talaka mahakamani ikiwemo na mgawanyo wa mali zinazomilikiwa na familia yao hiyo.
Lakini katika hali ya kushangaza mahakama imegundua kuwa Achraf licha ya utajiri wake wote huo, hamiliki chochote kwani mali zake zote amemilikisha kwa mama yake SAIDA MOAH ikiwemo na mshahara wake anaoingiza kila wiki pale PSG, kwani unaingia kwa jina la mama yake.
Imeshangaza baada ya kugundulika Achraf hela ya matumizi yake binafsi anachkua kwa mama yake, na baada ya uchunguzi zaidi imegundulika pia mama yake ndiye mwenye majina ya magari yote ya kifahari ikiwemo na assets zote za jamaa mpaka vyombo vya ndani.
Hivyo basi, bibie Kiba Habouk amebaki hana la kufanya na kubaki kushangaa tu! Kwani mahakama imemaliza ushahidi huo.
Narudi kwenu wakuu, hii imekaaje mbona kama ni dhambi tukiangalia upande wa pili wa shilingi. Umeishi na mwenzio miaka mitatu analea mwanao, na pia kukusaidia kwenye masuala mbalimbali ya kimaisha, halafu mwisho wa siku asipate chochote mnapoachana.
Sasa muda huo si bora angekua anafanya shughuli zake zingine za kumwingizia kipato inawezekana angefika mbali, kuliko kutoka kwenye ndoa na kuanza moja.
Naomba ufafanuzi wakuu, sio kwa ubaya lakini ni kueleweshana tu jamani.
MwanamkeNani alianza kuomba talaka