Hii imekaaje wanaume, mbona kama ni dhambi

Habari wakuu,
Hivi karibuni kumekuwa na story inayotrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na wanandoa wawili waliofanikiwa kufikisha miaka mitatu kwenye ndoa yao na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, Achraf Hakimi(24) ambaye ni mchezaji wa kulipwa wa PSG na mkewe Kiba Habouk(34).

Sakata hili limekuwa maarufu baada ya mkewe na Achraf mwanamama Kiba Habouk kudai talaka mahakamani ikiwemo na mgawanyo wa mali zinazomilikiwa na familia yao hiyo.

Lakini katika hali ya kushangaza mahakama imegundua kuwa Achraf licha ya utajiri wake wote huo, hamiliki chochote kwani mali zake zote amemilikisha kwa mama yake SAIDA MOAH ikiwemo na mshahara wake anaoingiza kila wiki pale PSG, kwani unaingia kwa jina la mama yake.

Imeshangaza baada ya kugundulika Achraf hela ya matumizi yake binafsi anachkua kwa mama yake, na baada ya uchunguzi zaidi imegundulika pia mama yake ndiye mwenye majina ya magari yote ya kifahari ikiwemo na assets zote za jamaa mpaka vyombo vya ndani.

Hivyo basi, bibie Kiba Habouk amebaki hana la kufanya na kubaki kushangaa tu! Kwani mahakama imemaliza ushahidi huo.

Narudi kwenu wakuu, hii imekaaje mbona kama ni dhambi tukiangalia upande wa pili wa shilingi. Umeishi na mwenzio miaka mitatu analea mwanao, na pia kukusaidia kwenye masuala mbalimbali ya kimaisha, halafu mwisho wa siku asipate chochote mnapoachana.
Sasa muda huo si bora angekua anafanya shughuli zake zingine za kumwingizia kipato inawezekana angefika mbali, kuliko kutoka kwenye ndoa na kuanza moja.

Naomba ufafanuzi wakuu, sio kwa ubaya lakini ni kueleweshana tu jamani.
Naona Hakimi hana kosa.

Mkewe alipaswa kuanza kuwekeza na mumewe ndani ya ndoa ili awe na guts za kudai.

Hii itaweka mfano mzuri wa kideal na ndoa za kishenzy za ulaya
 
Habari wakuu,
Hivi karibuni kumekuwa na story inayotrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na wanandoa wawili waliofanikiwa kufikisha miaka mitatu kwenye ndoa yao na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, Achraf Hakimi(24) ambaye ni mchezaji wa kulipwa wa PSG na mkewe Kiba Habouk(34).

Sakata hili limekuwa maarufu baada ya mkewe na Achraf mwanamama Kiba Habouk kudai talaka mahakamani ikiwemo na mgawanyo wa mali zinazomilikiwa na familia yao hiyo.

Lakini katika hali ya kushangaza mahakama imegundua kuwa Achraf licha ya utajiri wake wote huo, hamiliki chochote kwani mali zake zote amemilikisha kwa mama yake SAIDA MOAH ikiwemo na mshahara wake anaoingiza kila wiki pale PSG, kwani unaingia kwa jina la mama yake.

Imeshangaza baada ya kugundulika Achraf hela ya matumizi yake binafsi anachkua kwa mama yake, na baada ya uchunguzi zaidi imegundulika pia mama yake ndiye mwenye majina ya magari yote ya kifahari ikiwemo na assets zote za jamaa mpaka vyombo vya ndani.

Hivyo basi, bibie Kiba Habouk amebaki hana la kufanya na kubaki kushangaa tu! Kwani mahakama imemaliza ushahidi huo.

Narudi kwenu wakuu, hii imekaaje mbona kama ni dhambi tukiangalia upande wa pili wa shilingi. Umeishi na mwenzio miaka mitatu analea mwanao, na pia kukusaidia kwenye masuala mbalimbali ya kimaisha, halafu mwisho wa siku asipate chochote mnapoachana.
Sasa muda huo si bora angekua anafanya shughuli zake zingine za kumwingizia kipato inawezekana angefika mbali, kuliko kutoka kwenye ndoa na kuanza moja.

Naomba ufafanuzi wakuu, sio kwa ubaya lakini ni kueleweshana tu jamani.
Subiri yaje kukukuta ndo utaelewa
 
Sioni shida ya kugawana Mali na mtalaka , shida inakuja hapa mtalaka anataka mgawane asilimia 50/50 hii kitu ngumu alikuwa anakusaidia kulea na shughuli zingine ndio ana haki ya kupewa ila shida ni mgawane sawa Mtaftuaji? Hii ndio maana watu wanapiga wenzao matukio

Na imekuwa kawaida baadhi ya wanawake huzitaka ndoa kwa kigezo hicho kitu ambacho hakikubaliki kwasababu akija hamuanzi mwanzo anakukuta unavyo ikifika hatua ya kugawana hii gender Huwa Wana hasira ya kutaka kukomoa hivyo atataka vyote mgawane sorry for women's ila ukweli wengi wapo hivyo.
 
Mshahara wote unaingia kwa mama yake. Hakim yeye anacheza anae lipwa mshahara ni mama na si yeye. Imetumika akili kubwa sana, yaani Hakim akitaka hela anaenda kuchukua kwa mama.

Kwa lugha nyingine ni kuwa psg wanamlipa mama sio Hakim kama wengi tulivyo kuwa tunajua mwanzo.
Kama vipi waangalie kiasi ambacho mwanamke alikuwa anapaswa apewe wakate kwenye mshahara wake kidogo kidogo mpaka itimie
 
Habari wakuu,
Hivi karibuni kumekuwa na story inayotrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na wanandoa wawili waliofanikiwa kufikisha miaka mitatu kwenye ndoa yao na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, Achraf Hakimi(24) ambaye ni mchezaji wa kulipwa wa PSG na mkewe Kiba Habouk(34).

Sakata hili limekuwa maarufu baada ya mkewe na Achraf mwanamama Kiba Habouk kudai talaka mahakamani ikiwemo na mgawanyo wa mali zinazomilikiwa na familia yao hiyo.

Lakini katika hali ya kushangaza mahakama imegundua kuwa Achraf licha ya utajiri wake wote huo, hamiliki chochote kwani mali zake zote amemilikisha kwa mama yake SAIDA MOAH ikiwemo na mshahara wake anaoingiza kila wiki pale PSG, kwani unaingia kwa jina la mama yake.

Imeshangaza baada ya kugundulika Achraf hela ya matumizi yake binafsi anachkua kwa mama yake, na baada ya uchunguzi zaidi imegundulika pia mama yake ndiye mwenye majina ya magari yote ya kifahari ikiwemo na assets zote za jamaa mpaka vyombo vya ndani.

Hivyo basi, bibie Kiba Habouk amebaki hana la kufanya na kubaki kushangaa tu! Kwani mahakama imemaliza ushahidi huo.

Narudi kwenu wakuu, hii imekaaje mbona kama ni dhambi tukiangalia upande wa pili wa shilingi. Umeishi na mwenzio miaka mitatu analea mwanao, na pia kukusaidia kwenye masuala mbalimbali ya kimaisha, halafu mwisho wa siku asipate chochote mnapoachana.
Sasa muda huo si bora angekua anafanya shughuli zake zingine za kumwingizia kipato inawezekana angefika mbali, kuliko kutoka kwenye ndoa na kuanza moja.

Naomba ufafanuzi wakuu, sio kwa ubaya lakini ni kueleweshana tu jamani.
Nimegundua kwa nini yule mrembo wa chuo kakupaki bench,
 
Kama vipi waangalie kiasi ambacho mwanamke alikuwa anapaswa apewe wakate kwenye mshahara wake kidogo kidogo mpaka itimie
Yeye Hana mshahara. Kwanini inapotokea kuachana mwanaume anamlipa mwanamke na sio mwanamke amlipe mwanaume?
Kama anaevunja mkataba hutakiwa kulipa ghalama za usumbufu, basi anaedai taraka awe analipa ghalama na sio kugawana 50/50.
 
Kwa hisani ya ashraf[emoji38]
16778411312005.jpg
 
Habari wakuu,
Hivi karibuni kumekuwa na story inayotrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na wanandoa wawili waliofanikiwa kufikisha miaka mitatu kwenye ndoa yao na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, Achraf Hakimi(24) ambaye ni mchezaji wa kulipwa wa PSG na mkewe Kiba Habouk(34).

Sakata hili limekuwa maarufu baada ya mkewe na Achraf mwanamama Kiba Habouk kudai talaka mahakamani ikiwemo na mgawanyo wa mali zinazomilikiwa na familia yao hiyo.

Lakini katika hali ya kushangaza mahakama imegundua kuwa Achraf licha ya utajiri wake wote huo, hamiliki chochote kwani mali zake zote amemilikisha kwa mama yake SAIDA MOAH ikiwemo na mshahara wake anaoingiza kila wiki pale PSG, kwani unaingia kwa jina la mama yake.

Imeshangaza baada ya kugundulika Achraf hela ya matumizi yake binafsi anachkua kwa mama yake, na baada ya uchunguzi zaidi imegundulika pia mama yake ndiye mwenye majina ya magari yote ya kifahari ikiwemo na assets zote za jamaa mpaka vyombo vya ndani.

Hivyo basi, bibie Kiba Habouk amebaki hana la kufanya na kubaki kushangaa tu! Kwani mahakama imemaliza ushahidi huo.

Narudi kwenu wakuu, hii imekaaje mbona kama ni dhambi tukiangalia upande wa pili wa shilingi. Umeishi na mwenzio miaka mitatu analea mwanao, na pia kukusaidia kwenye masuala mbalimbali ya kimaisha, halafu mwisho wa siku asipate chochote mnapoachana.
Sasa muda huo si bora angekua anafanya shughuli zake zingine za kumwingizia kipato inawezekana angefika mbali, kuliko kutoka kwenye ndoa na kuanza moja.

Naomba ufafanuzi wakuu, sio kwa ubaya lakini ni kueleweshana tu jamani.
Huyo mwanaume ni shujaa na amemuweza hilo tapeli lililoingia katika ndoa kuvuna.

Kama ni rahisi sasa akae miaka mitatu nje ya ndoa halafu aone kama ataingiza hiyo nusu ya,mali aliyotaka kudhulu.mu kwa mgongo wa ndoa.
 
Habari wakuu,
Hivi karibuni kumekuwa na story inayotrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na wanandoa wawili waliofanikiwa kufikisha miaka mitatu kwenye ndoa yao na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, Achraf Hakimi(24) ambaye ni mchezaji wa kulipwa wa PSG na mkewe Kiba Habouk(34).

Sakata hili limekuwa maarufu baada ya mkewe na Achraf mwanamama Kiba Habouk kudai talaka mahakamani ikiwemo na mgawanyo wa mali zinazomilikiwa na familia yao hiyo.

Lakini katika hali ya kushangaza mahakama imegundua kuwa Achraf licha ya utajiri wake wote huo, hamiliki chochote kwani mali zake zote amemilikisha kwa mama yake SAIDA MOAH ikiwemo na mshahara wake anaoingiza kila wiki pale PSG, kwani unaingia kwa jina la mama yake.

Imeshangaza baada ya kugundulika Achraf hela ya matumizi yake binafsi anachkua kwa mama yake, na baada ya uchunguzi zaidi imegundulika pia mama yake ndiye mwenye majina ya magari yote ya kifahari ikiwemo na assets zote za jamaa mpaka vyombo vya ndani.

Hivyo basi, bibie Kiba Habouk amebaki hana la kufanya na kubaki kushangaa tu! Kwani mahakama imemaliza ushahidi huo.

Narudi kwenu wakuu, hii imekaaje mbona kama ni dhambi tukiangalia upande wa pili wa shilingi. Umeishi na mwenzio miaka mitatu analea mwanao, na pia kukusaidia kwenye masuala mbalimbali ya kimaisha, halafu mwisho wa siku asipate chochote mnapoachana.
Sasa muda huo si bora angekua anafanya shughuli zake zingine za kumwingizia kipato inawezekana angefika mbali, kuliko kutoka kwenye ndoa na kuanza moja.

Naomba ufafanuzi wakuu, sio kwa ubaya lakini ni kueleweshana tu jamani.
Hapo inavyoonekana bibie aliingia kwenye ndoa sababu ya mali na mzee baba alishausoma mchezo kuwa mkewe ni goal digger may b ndio maana akahamisha asset zote kwa mama yake....watu wawili wanapoishi pamoja hujuana zaidi na ni rahisi kujua mwenza wako ni mtu aina gani anamapenzi ya dhati au anadanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom