Hii imekaaje wanaume, mbona kama ni dhambi

Naomba nikuulize swali dogo tu wewe mleta mada,je nikweli wema alimpendasana diamond? Au klyn alimpemda kweli mzee mengi?? Njoo kwa mrema ukipata majibu utaelewa kuwa mali ya mtu inauma sana,kumbuka kesi yamarehem Msuya ,familia yoote imeteketea kwenye kugombea mali.
 
Hapo inavyoonekana bibie aliingia kwenye ndoa sababu ya mali na mzee baba alishausoma mchezo kuwa mkewe ni gold digger may b ndio maana akahamisha asset zote kwa mama yake....watu wawili wanapoishi pamoja hujuana zaidi na ni rahisi kujua mwenza wako ni mtu aina gani anamapenzi ya dhati au anadanga.
 
martial jb 🤗🤗🤗

You are real a Gentleman..you have become the only Man who remained positive and logical to this Case🥰🥰🥰🥰🥰🥰

I have see so many nasty comments..☹️☹️☹️mostly by men towards Hakimi’s wife asking the courts to grant her half his wealth.

On my Personal view.. She can ask for anything because she is part of him..it is left to the courts to decide. I find it MORE DISGUSTING that his MOTHER CONTROLS him! A grown man? All these men talking is that what they do?
A man tied to his mother’s wrapper? Probably she is the cause of whatever issues has led to this divorce.

Which woman will be happy that everything that happens in her home is controlled by the mother of her husband? Even if she brought him up and was part of his success.

It is wrong and very calculating of Hakimi also. I am sure if she has a GOOD lawyer..she can collect a good alimony for herself and her sons.

📜 📜 📜
👩‍⚖️ 👩‍⚖️ 👩‍⚖️
⚖️ ⚖️ ⚖️
 
Golddiggers wote walaaniwe na waishie motoni, kama ni rahisi kutafuta saka vyako kwa jasho lako .. measly leeches!
 
Habari wakuu,
Hivi karibuni kumekuwa na story inayotrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na wanandoa wawili waliofanikiwa kufikisha miaka mitatu kwenye ndoa yao na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, Achraf Hakimi(24) ambaye ni mchezaji wa kulipwa wa PSG na mkewe Kiba Habouk(34).

Sakata hili limekuwa maarufu baada ya mkewe na Achraf mwanamama Kiba Habouk kudai talaka mahakamani ikiwemo na mgawanyo wa mali zinazomilikiwa na familia yao hiyo.

Lakini katika hali ya kushangaza mahakama imegundua kuwa Achraf licha ya utajiri wake wote huo, hamiliki chochote kwani mali zake zote amemilikisha kwa mama yake SAIDA MOAH ikiwemo na mshahara wake anaoingiza kila wiki pale PSG, kwani unaingia kwa jina la mama yake.

Imeshangaza baada ya kugundulika Achraf hela ya matumizi yake binafsi anachkua kwa mama yake, na baada ya uchunguzi zaidi imegundulika pia mama yake ndiye mwenye majina ya magari yote ya kifahari ikiwemo na assets zote za jamaa mpaka vyombo vya ndani.

Hivyo basi, bibie Kiba Habouk amebaki hana la kufanya na kubaki kushangaa tu! Kwani mahakama imemaliza ushahidi huo.

Narudi kwenu wakuu, hii imekaaje mbona kama ni dhambi tukiangalia upande wa pili wa shilingi. Umeishi na mwenzio miaka mitatu analea mwanao, na pia kukusaidia kwenye masuala mbalimbali ya kimaisha, halafu mwisho wa siku asipate chochote mnapoachana.
Sasa muda huo si bora angekua anafanya shughuli zake zingine za kumwingizia kipato inawezekana angefika mbali, kuliko kutoka kwenye ndoa na kuanza moja.

Naomba ufafanuzi wakuu, sio kwa ubaya lakini ni kueleweshana tu jamani.
Sina hakika na jinsia ya mtoa mada, unavyoandika humbly inaonekana ni Me, ila hoja yako inalala kwa Ke. Sasa mkuu unaposema "mkiachana mtu asipate chocho kuwa atakua qmepoteza muda" kwan alikuja ili baadae tuachanane au kuachana ni dharura baada ya kutoelewana?

Pili, kwakuwa Achraf hana mali, basi wagawane za mwanamke. Hapo vip?
 
Kama vipi waangalie kiasi ambacho mwanamke alikuwa anapaswa apewe wakate kwenye mshahara wake kidogo kidogo mpaka itimie
Hawawezi kufanya evaluation hio kwasababu value ya mali ndio ingeamua apewe kiasi gani. Sasa mwamba hana kitu, hata mshaharq sio wake. In short bi maza ndio alikua anawahudumia wote wawili
 
Hili suala labda kwakuwa limetokea france ingekuwa imetokea Uk naamini ashraf angekutana na mtiti mzito
 
martial jb 🤗🤗🤗

You are real a Gentleman..you have become the only Man who remained positive and logical to this Case🥰🥰🥰🥰🥰🥰

I have see so many nasty comments..☹️☹️☹️mostly by men towards Hakimi’s wife asking the courts to grant her half his wealth.

On my Personal view.. She can ask for anything because she is part of him..it is left to the courts to decide. I find it MORE DISGUSTING that his MOTHER CONTROLS him! A grown man? All these men talking is that what they do?
A man tied to his mother’s wrapper? Probably she is the cause of whatever issues has led to this divorce.

Which woman will be happy that everything that happens in her home is controlled by the mother of her husband? Even if she brought him up and was part of his success.

It is wrong and very calculating of Hakimi also. I am sure if she has a GOOD lawyer..she can collect a good alimony for herself and her sons.

📜 📜 📜
👩‍⚖️ 👩‍⚖️ 👩‍⚖️
⚖️ ⚖️ ⚖️
Her sons not Hakim's sons?

It is better to be controlled by one' own mummy than being controlled by bandit camouflaged as a wife
 
Habari wakuu,
Hivi karibuni kumekuwa na story inayotrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na wanandoa wawili waliofanikiwa kufikisha miaka mitatu kwenye ndoa yao na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, Achraf Hakimi(24) ambaye ni mchezaji wa kulipwa wa PSG na mkewe Kiba Habouk(34).

Sakata hili limekuwa maarufu baada ya mkewe na Achraf mwanamama Kiba Habouk kudai talaka mahakamani ikiwemo na mgawanyo wa mali zinazomilikiwa na familia yao hiyo.

Lakini katika hali ya kushangaza mahakama imegundua kuwa Achraf licha ya utajiri wake wote huo, hamiliki chochote kwani mali zake zote amemilikisha kwa mama yake SAIDA MOAH ikiwemo na mshahara wake anaoingiza kila wiki pale PSG, kwani unaingia kwa jina la mama yake.

Imeshangaza baada ya kugundulika Achraf hela ya matumizi yake binafsi anachkua kwa mama yake, na baada ya uchunguzi zaidi imegundulika pia mama yake ndiye mwenye majina ya magari yote ya kifahari ikiwemo na assets zote za jamaa mpaka vyombo vya ndani.

Hivyo basi, bibie Kiba Habouk amebaki hana la kufanya na kubaki kushangaa tu! Kwani mahakama imemaliza ushahidi huo.

Narudi kwenu wakuu, hii imekaaje mbona kama ni dhambi tukiangalia upande wa pili wa shilingi. Umeishi na mwenzio miaka mitatu analea mwanao, na pia kukusaidia kwenye masuala mbalimbali ya kimaisha, halafu mwisho wa siku asipate chochote mnapoachana.
Sasa muda huo si bora angekua anafanya shughuli zake zingine za kumwingizia kipato inawezekana angefika mbali, kuliko kutoka kwenye ndoa na kuanza moja.

Naomba ufafanuzi wakuu, sio kwa ubaya lakini ni kueleweshana tu jamani.
Ashraf ndiye anamjua huyo mwanamke. Hata tofauti ya umri tu, mwanaume lazima uwe na wasiwasi......kinachosikitisha ni kwa nini mali za mwanamke hazikusemwa. ilitakiwa zigawanywe pia ili tabia ya kuona wanaume ni kama waajiri kwneye ndoa ikome
 
Kuna aliyemtoa kwenye hiyo ndoa,gold digger this time kapatikana,
 
Kwani ndoa ni ajira?
Yaani miaka mitatu tu upate mamilioni ya hela toka kwa mwanaume tajiri?
IMG_20230301_070149.jpg
 
Habari wakuu,
Hivi karibuni kumekuwa na story inayotrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na wanandoa wawili waliofanikiwa kufikisha miaka mitatu kwenye ndoa yao na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, Achraf Hakimi(24) ambaye ni mchezaji wa kulipwa wa PSG na mkewe Kiba Habouk(34).

Sakata hili limekuwa maarufu baada ya mkewe na Achraf mwanamama Kiba Habouk kudai talaka mahakamani ikiwemo na mgawanyo wa mali zinazomilikiwa na familia yao hiyo.

Lakini katika hali ya kushangaza mahakama imegundua kuwa Achraf licha ya utajiri wake wote huo, hamiliki chochote kwani mali zake zote amemilikisha kwa mama yake SAIDA MOAH ikiwemo na mshahara wake anaoingiza kila wiki pale PSG, kwani unaingia kwa jina la mama yake.

Imeshangaza baada ya kugundulika Achraf hela ya matumizi yake binafsi anachkua kwa mama yake, na baada ya uchunguzi zaidi imegundulika pia mama yake ndiye mwenye majina ya magari yote ya kifahari ikiwemo na assets zote za jamaa mpaka vyombo vya ndani.

Hivyo basi, bibie Kiba Habouk amebaki hana la kufanya na kubaki kushangaa tu! Kwani mahakama imemaliza ushahidi huo.

Narudi kwenu wakuu, hii imekaaje mbona kama ni dhambi tukiangalia upande wa pili wa shilingi. Umeishi na mwenzio miaka mitatu analea mwanao, na pia kukusaidia kwenye masuala mbalimbali ya kimaisha, halafu mwisho wa siku asipate chochote mnapoachana.
Sasa muda huo si bora angekua anafanya shughuli zake zingine za kumwingizia kipato inawezekana angefika mbali, kuliko kutoka kwenye ndoa na kuanza moja.

Naomba ufafanuzi wakuu, sio kwa ubaya lakini ni kueleweshana tu jamani.
We una akili kweli?

Kwa hiyo kuolewa ni ajira?
 
Back
Top Bottom