Hii imekaaje? Wachaga kuchukua nafasi 25 kati ya nafasi 40 zilizotangazwa na Taasisi kubwa ya Serikali

WATU HAWATAKI KUKUBALI TU UWEZO WA WACHAGA KWA CHUKI BINAFSI.
JE NA HUKO MAREKANI NA UINGEREZA NA NCHI NYINGINE ZA HUKO NAPO KUNA WACHAGA WAPO KITENGO AMBAO WANAWAAJIRI WACHAGA WENZAO KWA UPENDELEO?
JE HIZI BIASHARA TUNAZOFANYA NA KUFANIKIWA NAZO HUWA TUNAWALAZIMISHA WATEJA WATUUNGISHE TU WACHAGA?
HALAFU KWANI AJIRA NI LAZIMA TU SEREKALINI?
Nepotism inaanzia chini huku kwenye udahili.

Nepotism haina afya kabisa.
 
Serikali ianzie Zanzibar kwanini ukoo wa Mwinyi kuanzia Rais mpaka wabunge wamepewa madaraka kisha ije bara kwanini watoto na wajukuu wa viongozi wa CCM wamepewa vyeo, naona hili ndilo muhimu zaidi kuliko hako kaidara.
Zanzibar ni Nchi huru, hawa akina mangi huku bara ni watu wa nepotism sana.

Serikali lazima iliangalie ili.
 
Kuna kipindi huko nyuma sii muda mrefu zinatangazwa nafasi 100. Usaili unafanyika wanachukuliwa watu 10 nafasi zote unakutwa zimeshajazwa siku nyingi kwa mlango wa uoani. Watu walikuwa kimyaaa.
Kuna shida mahali.
 
Sijui mnazungumzia University of Dar es Salaam? Je, uongozi wa juu wa chuo hiki wamejaa wachaga? sidhani kwani nakujua vizuri chuo hiki. Je usaili ulikuwaje? Pili je wakati wa usaili kuna mahali wanajaza kabila??? nalo ni hapana hili halipo. Fanya research zaidi msije kuchanganyikiwa kwa mambo ya yasiyo na mashiko, huu ni ukabila tu unawasumbua watu. Hovyo kabisa.
Vyeti vya kuzaliwa vinatumika kwenye usaili ndiyo maana wakati wa kushortlist ni rahisi kujua kabila la mtu, vile vile kuna majina ya ukabila wengine wanatumia, Kwhy mtu akiona jina tu anafahamu huyo mtu ni kabila gani
 
WATU HAWATAKI KUKUBALI TU UWEZO WA WACHAGA KWA CHUKI BINAFSI.
JE NA HUKO MAREKANI NA UINGEREZA NA NCHI NYINGINE ZA HUKO NAPO KUNA WACHAGA WAPO KITENGO AMBAO WANAWAAJIRI WACHAGA WENZAO KWA UPENDELEO?
JE HIZI BIASHARA TUNAZOFANYA NA KUFANIKIWA NAZO HUWA TUNAWALAZIMISHA WATEJA WATUUNGISHE TU WACHAGA?
HALAFU KWANI AJIRA NI LAZIMA TU SEREKALINI?
Acha ufarasi wewe,shwaini, wachaga wamejaa ubaguzi wa hali ya juu,tunaishi nao na kufanya nao kazi tinajua na kuona, hilo ni kabila linaongiza kwa ubaguzi likifuatiwa na wahaya,

Mimi nimewahi kufanya biashara fulani ambayo msimamizi wake alikua ni mchaga,alikua anamwambia wazi wazi yule aliyetulengesha kwenye hiyo biashara kwamba tafuta gari za wachaga kwanza kabla ya hizi za wengine,ile biashara ilifanikiwa kwangu baada ya wahusika wakuu kutoka nje ya ukumbi wa mikutano kuona zile gari zangu zilivyo nzuri, akaishia aibu mshenzi mkishumundu yule,nina mifano mingi sana ya ubaguzi wa wachaga na kujifanya wao wanajua kila kitu,unasema kufanikiwa kibiashara?kwa magendo labda,tunawajua sana nyie ni washenzi tu hamna maana,tupo nao mikoani,hatuwabagui na wanafanya kazi zao mpaka za vichichoroni hatuwagusi,lakini makabila mwingine aje aendeshe biashara pale Moshi au hapa Arusha,ni tatizo hawapendi kuona mafanikio ya mtu wa kabila jingine

Nyie ni shenzi sana nyie,naongea kwa sababu nawajua sana na nimekutana nanyi kwenye biashara na maofisini kazini, hamfai hata kidogo nyie.

Wakati wa Kimei kule CRDB,kuna tawi lisilo na mchaga? Lakini vyuo vinatoa maelfu ya wasomi kila mwaka, kwamba wooote hao ni wachaga?

Nyaanoko
 
Bwana Upepo wa Pesa makabila yote kwa sasa wamesoma na wana elimu ya kutosha.

Hapo lazima hao 25 walibebwa na ukabila & are less competent, yaani hii snerio haingii akilini kabisa.
Hata Kariakoo wamebebwa mzee?
 
Hao ni watu wa kubebwa tu, kuanzia kwenye usaili wa kujiunga vyuoni, kuna baadhi ya vyuo ni kama wamevihodhi wenyewe.

Mambo ya nepotism hayakubaliki, kwa sasa jamii zote zinawasomi

Huna jipya bali Una chuki, utaishia kubwabwaja weeeee huku wenzio wakisonga mbele. Elimu tatizo miongoni mwenu bali mmejawa na chuki tu. Njoo london vyuoni uone wingi wa wachaga napo useme nao wamebebwa kwene udahili na wazungu basi. Ukiona wengi wapo vyuoni jua wana sifa kwanza tangu lini vyuo vikawa na upendeleo kwene kudahili au unabwabwaja kwanza tumekuomba ushahidi umegoma kuutoa. Kwanza sio wingi wao kwene baadhi ya vyuo bali wengi wao husoma kwene vyuo bora na huchukua course potential mfano nenda pale IFM. Tangu lini ukaona course ya ualimu ina wachaga au uwakute wanasomea hotel au library management.
 
Nimesoma hii mada nimecheka sana! Nimehesabu kimoyo moyo idara yetu ina watu 8 ila wa 5 ni wachaga, nikaifikiria idara nyingine wapo 4 ila wa 3 ni wachaga, Ajabu ni kuwa mkurugenzi si mchaga, na interview ina fanywa na bodi nzima hakuna hata punje ya connection, kungekuwa na connection mi nisingetoboa, Tutapiga kelele sana ila wachaga ni level nyingine.
Acha uongo.
 
Huna jipya bali Una chuki, utaishia kubwabwaja weeeee huku wenzio wakisonga mbele. Elimu tatizo miongoni mwenu bali mmejawa na chuki tu. Njoo london vyuoni uone wingi wa wachaga napo useme nao wamebebwa kwene udahili na wazungu basi. Ukiona wengi wapo vyuoni jua wana sifa kwanza tangu lini vyuo vikawa na upendeleo kwene kudahili au unabwabwaja kwanza tumekuomba ushahidi umegoma kuutoa. Kwanza sio wingi wao kwene baadhi ya vyuo bali wengi wao husoma kwene vyuo bora na huchukua course potential mfano nenda pale IFM. Tangu lini ukaona course ya ualimu ina wachaga au uwakute wanasomea hotel au library management.
We kama siyo mtoto wa miaka ya 1990 basi ni mwehu

Eti njoo London yaani waTanzania mna ushamba mwingi sana na ujinga ujinga tu
 
We kama siyo mtoto wa miaka ya 1990 basi ni mwehu

Eti njoo London yaani waTanzania mna ushamba mwingi sana na ujinga ujinga tu

Kwasababu hatujuani ndio maana unaweza kuongea utakavyo ila ujumbe umefika. Vipi mnaendeleaje hapo simiyu
 
Leo katika kujadili tatizo la ajira nchini na watu kadhaa, basi mfanyakazi mmoja wa taasisi kubwa ya elimu ya juu iliyopo Dar es salaam ambayo pia inajulikana kwa jina la utani JALALANI, akaibuka na kusema kwenye hiyo taasisi walitangazaga nafasi 40 za kazi na 25 waliajiriwa wachaga.

Sasa ikabidi nijiulize maswali yafuatayo baada ya mjadala huo;

Je ina maana Watanzania wengine ambao siyo wachaga probability yao ya kupata kazi kwenye hiyo taasisi ni mdogo sana?

Je inawezekana management yote ya taasisi imejaa wachaga tu?

Je ajira hizo hazikupitia Utumishi?

Je kwenye hiyo taasisi kuna nepotism ya kuwapa kipaumbele wachaga?

Makabila mengine hayana wasomi wanaostahili nafasi hizo? , hadi wachaga 25 Kati ya 40 kuajiriwa kwa mkupuo tena kwenye taasisi moja.

WITO KWA SERIKALI.

Serikali fuatilieni kwenye taasisi zote ambazo zinaajiri bila kupitia Utumishi, kuna nepotism ya kutisha.

Watanzania wote wenye sifa na vigezo wana haki sawa ya kuajiriwa na Serikali bila kujali makabila yao.

Sasa umeshasema taasisi ya elimu halafu unaongelea ukabila! Unataka taasisi zianze kuchagua watu kwa ukabila badala ya utalaamu? Kama kweli kwanini na mapailot wa ndege au madaktari wa operation wasi chaguliwe kwa ukabila?

Ubaguzi sio mzuri mfano mimi binafsi mama mchagga na baba mpare na kwasababu nimekulia Arusha utotoni naongea kama watu wa Arusha kidogo. Wengi wanafikiri ni mchagga kwasababu ya urefu .. sasa na wakina sisi ambao tume changanya tutaishiwa kubaguliwa bila sababu. Kama kuna ushahidi wa kibaguzi utueleze lakini hiwezi kuweka tuhuma kwa ukabila pekee inabidi ulete ushahidi wa kutosha. Na kujitahidi kufika huko sio kulalamika. Mimi ni bora nipande ndege ambayo pilot ni mkenya kuliko ile ambayo pilot ni mpare ambaye hana uzoefu🤔
 
Huna jipya bali Una chuki, utaishia kubwabwaja weeeee huku wenzio wakisonga mbele. Elimu tatizo miongoni mwenu bali mmejawa na chuki tu. Njoo london vyuoni uone wingi wa wachaga napo useme nao wamebebwa kwene udahili na wazungu basi. Ukiona wengi wapo vyuoni jua wana sifa kwanza tangu lini vyuo vikawa na upendeleo kwene kudahili au unabwabwaja kwanza tumekuomba ushahidi umegoma kuutoa. Kwanza sio wingi wao kwene baadhi ya vyuo bali wengi wao husoma kwene vyuo bora na huchukua course potential mfano nenda pale IFM. Tangu lini ukaona course ya ualimu ina wachaga au uwakute wanasomea hotel au library management.
Hacha kutema povu la mbege bwana Ujamaamf.

Kwahiyo wachaga hamsomei uwalimu?

Serikali lazima iwachunge mnachochea nepotism sana kazini na kwenye ajira.
 
Back
Top Bottom