Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,763
- 18,194
Hakuna kazi ngumu kama kumshauri mtu ambaye anakaribia kutapeliwakwema?
mimi nikinywa pombe nakua active na pia nakuwa na akili saana ufahamu wangu unakua ni mkubwa na nafanya kitu kwa usahihi kabisa .. tofauti nikiwa sijanywa sijui hii imekaaje .. nikiwa sijanywa nakua tuu na uwezo wa kawaida.