Duuhh hii imekaa kikudaMsiache pombe mkiacha huku mtaani tutakosa watu wa kuwadharau
Kuna watu ni walevi ila wamekuzidi kila kitu, sasa sijui hizo dharau zako zinawapunguzia nini, angalia isije kuwa ukikaa wewe na mlevi ukajikuta unadharaulika wewe kuliko yeyeMsiache pombe mkiacha huku mtaani tutakosa watu wa kuwadharau
Mlevi tu weweKuna watu ni walevi ila wamekuzidi kila kitu, sasa sijui hizo dharau zako zinawapunguzia nini, angalia isije kuwa ukikaa wewe na mlevi ukajikuta unadharaulika wewe kuliko yeye
😂Mlevi tu wewe
Nj kwawote hata mm mfano ninywekwema?
mimi nikinywa pombe nakua active na pia nakuwa na akili saana ufahamu wangu unakua ni mkubwa na nafanya kitu kwa usahihi kabisa .. tofauti nikiwa sijanywa sijui hii imekaaje .. nikiwa sijanywa nakua tuu na uwezo wa kawaida.
Sass mbona hamnywi pombe na mnadharaulika kila sehemuMsiache pombe mkiacha huku mtaani tutakosa watu wa kuwadharau
unapoandika huu uzi umekunywa au bado???👿kwema?
mimi nikinywa pombe nakua active na pia nakuwa na akili saana ufahamu wangu unakua ni mkubwa na nafanya kitu kwa usahihi kabisa .. tofauti nikiwa sijanywa sijui hii imekaaje .. nikiwa sijanywa nakua tuu na uwezo wa kawaida.
Pombe hua inasingiziwa sana mkuu...😑Msiache pombe mkiacha huku mtaani tutakosa watu wa kuwadharau
Mlevi tu weweSass mbona hamnywi pombe na mnadharaulika kila sehemu
Braza heshima kuu mtaani ni PESA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA