Hii imekaaje Naomba ushauri...

Hii imekaaje Naomba ushauri...

Samahani kidg labda una mpango wa kuoa mzeee mwenzangu maaana umri uo nao kuwa pekeee yako af unalalamikia upweke bora vuta chombo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuoa HANAPA.

Upweke kwasababu nimepoteza marafiki wengi nilivyoanza mambo ya shamba.
Maana kwasasa TUNAMALENGO TOFAUTII..

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Nunua injini za boti kisha uwe unakodisha au nunua boti zenye injini peleka zikavue samaki Mafia.
Utakuwa busy sana mpaka utaona kero.
 
  • Thanks
Reactions: amu
,
tapatalk_1585596827720.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh..., mimi sijui nakosea wapi? Wenzangu maisha mmeyapatia walahi.😃
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom