Hii imekaaje Naomba ushauri...

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Sep 7, 2019
1,220
1,411
Niliacha kazi 2016 serikalini nikaamua kuanza kuinvest..

Tokea mwaka huo, kila mwaka napanda (invest) kwenye mazao ya miti na matunda.
Hadi sasa Nina eka kadhaa za miti ya pine, mlingoti (mkaratusi) na parachichi (Hass).

Na lengo hasa ni kupanda eka nyingii za parachichi ili niweze kuexport mzigo mkubwaa sanaa kupeleka nchi yoyote itakayonipa fursa (hadi sasa nimeona company mbili japo bado hatujaongea kiofisi zaidi ila ni friendly talking tu kwasababu parachichi zangu bado nazilea).

CHANGAMOTO YANGU NI KWAMBA...

Kipindi cha kupanda (u bize shambani) kikiisha basi nakua SINA LA KUFANYA KABISA.
Kipindi cha ubize huwa ni mwezi December mpaka mwanzoni mwa March.
Kutoka hapo nakua sina la kufanya kabisaa...

Nina Bachelor + Masters ila kwakua sina la kufanya nataka nikasome masters ya pili ili kuji keep bize.

Pia watu wamenishauri ""Hiyo ada si ufanyie biashara?""
Ila wasichokijua mi KUFANYA BIASHARA SIPENDI KABISA.
Napenda kufanya INVESTMENT halafu INVESTMENT itoe RETURN ila sipendi kutoa CAPITAL ili izalishe PROFIT..!!!

Mambo ya sijui kufungua duka... Uza kuku... Uza sijui nini... Nenda China kachukue mzigo...
HAYA MAMBO SI YANGU.

Kengine mi kilimo cha mazao ya msimu sikipendii..
Kulima mahindi, maharage, mpunga mi hapana.
Huwa Napenda long term crops.

Kibaya zaidi niko SINGLE na sinywi POMBE yoyotee then nakuaga bored mpaka nyumba huwa naiona kubwaa kama hekaluu...

Yaani tokea march nimejifungia ndani na zaidi huwa nasafiri Mara moja moja sanaa kwenda mashambani kucheki mashamba.

Hebu mwana JF nipe dili kama unalo lililo serious hebu ni PM tucheki kama litanifaa.

#ASANTE
#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona una akili nyingi sana sina cha kukushauri, umenizidi elimu, kazi serikalini umeamua kuacha, una hekalu na umeinvest vya kutosha.

Labda uoe tu
Sina hekalu ila nilichomaanisha, Niko mwenyewe ndani kiasi kwamba nyumba naiona kubwaaa kama hekalu..

Nina kubwa Mfano wa hekalu kwakuwa Niko mwenyewe.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M naona subiri wenye madeal yakufanya nyumba yako iwe nyumba na usiwe mpweke
 
Kama tatizo kuwa Bored...kama una Mtaji wa 10M fungua Carwash mjini then wewe unasimamia tu hii itakufanya utoke asubui na kurudi jioni for purpose.

Hutokuwa Bored hapo maana ukifika hijishughulishi unasimamia tu.
 
Niliacha kazi 2016 serikalini nikaamua kuanza kuinvest..

Tokea mwaka huo, kila mwaka napanda (invest) kwenye mazao ya miti na matunda.
Hadi sasa Nina eka kadhaa za miti ya pine, mlingoti (mkaratusi) na parachichi (Hass).

Na lengo hasa ni kupanda eka nyingii za parachichi ili niweze kuexport mzigo mkubwaa sanaa kupeleka nchi yoyote itakayonipa fursa (hadi sasa nimeona company mbili japo bado hatujaongea kiofisi zaidi ila ni friendly talking tu kwasababu parachichi zangu bado nazilea).

CHANGAMOTO YANGU NI KWAMBA...

Kipindi cha kupanda (u bize shambani) kikiisha basi nakua SINA LA KUFANYA KABISA.
Kipindi cha ubize huwa ni mwezi December mpaka mwanzoni mwa March.
Kutoka hapo nakua sina la kufanya kabisaa...

Nina Bachelor + Masters ila kwakua sina la kufanya nataka nikasome masters ya pili ili kuji keep bize.

Pia watu wamenishauri ""Hiyo ada si ufanyie biashara?""
Ila wasichokijua mi KUFANYA BIASHARA SIPENDI KABISA.
Napenda kufanya INVESTMENT halafu INVESTMENT itoe RETURN ila sipendi kutoa CAPITAL ili izalishe PROFIT..!!!

Mambo ya sijui kufungua duka... Uza kuku... Uza sijui nini... Nenda China kachukue mzigo...
HAYA MAMBO SI YANGU.

Kengine mi kilimo cha mazao ya msimu sikipendii..
Kulima mahindi, maharage, mpunga mi hapana.
Huwa Napenda long term crops.

Kibaya zaidi niko SINGLE na sinywi POMBE yoyotee then nakuaga bored mpaka nyumba huwa naiona kubwaa kama hekaluu...

Yaani tokea march nimejifungia ndani na zaidi huwa nasafiri Mara moja moja sanaa kwenda mashambani kucheki mashamba.

Hebu mwana JF nipe dili kama unalo lililo serious hebu ni PM tucheki kama litanifaa.

#ASANTE
#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeona tu kuwa upo "single" bas mengine sijaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli maisha ni game. hata stress za
uchumi mbaya hazimsumbui, wakti mi nalia hata niotee kubarua Cha serikali, kuna mwingine ameacha. boss nipe kibarua kwenye shamba lako, au kama una biashara yako kwenye sells.
 
Read the game
Play the game

#YNWA
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom