Alien pilot
Senior Member
- Dec 29, 2017
- 194
- 224
- Thread starter
- #21
Hakuna hapa ni kuchomana tu wanajeuri balabalani hawa mbwa mpaka wanataka kutusabashia ajaliMbona wakurugenzi wa halmashauri na makatibu tawala wanatembelea hayo magari ya Serikali hata wakiwa na safari za kuhemea?
Acha ujinga dogo, vizuri ni vyema tukala wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni roho mbaya
Yeye ila mm nina roho mbaya tu nataka nijue ni sahihi au laUtakufa bureeee. Kwani tatizo liko wapi, gari umekabidhiwa wewe au yeye?
Lo! Mzee Baba!!! Sidhani kama unamiliki hata baiskeli.Wakuu kuna baadhi ya madereva wa stl wanabeba familia zao kwenda kanisani ,au kwenda shopping kama kununua mitungi ya gesi na safari binafsi kwa gari za serikali na amri ya waziri mkuu inakataza kutumia mali za umma vibaya je na unamkuta dereva ana dharau utafikiri v8 lakwake na wengine bado wanakimbia speed 120 mpaka 140 hv akisababisha ajali ana utetezi wa kisheria au ni viburi vyao nataka nianze kwalipua maana hakuna watu wanakera kama hawa madereva wa stl wanasababisha ajali mpaka kwa viongozi na wameua watumishi wengi sana na raia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mchawi kitaaluma haya sema lingine seMtoa mada kama siyo mchawi wewe sijui!
Na ukipata ajali nje ya shughuli za serikali nani responsible kama shughuli zote nenda kakodishe kwe harusi uoneUkishapewa gari ni kwa shughuli zako zote, zingine ngonjera tu.
Asante Bi mkubwa.Ukishapewa gari ni kwa shughuli zako zote, zingine ngonjera tu.
Pata ajali kwa kimada au fumaniwa gari ichomwe moto ndo utajua kuwa ni ngonjera au coz yameshamtokea mtu
Kwa hiyo ulitaka abebe mtungi wa gas na v8 lipaji nyumbani ungefurahiHaahaahaa nilitegemea majibu hayo nimeuliza ni sawa au si sawa mm cwez umia coz nina mikoko yangu miwili ya maana ila naona c vyema mtu kutumia mali za uma binafsi kuanzia hao wakurugenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile tilioni 2.4 zi wapi?!?!!
Yap coz anunue lakwake cpendi kuona matumizi mabaya ya ofisi au mali za umaKwa hiyo ulitaka abebe mtungi wa gas na v8 lipaji nyumbani ungefurahi
Una kula mlo mmoja kwa siku na nyama mpaka mwisho wa mwezi
Tumenunua ndege bwana na mafly over we uoniZile tilioni 2.4 zi wapi?!?!!
Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
Haahaahaa utakuwa suka wwUna kula mlo mmoja kwa siku na nyama mpaka mwisho wa mwezi