Hii imekaaje dereva wa gari za Serikali kutumia gari ya Serikali kwa mambo binafsi

Wakuu kuna baadhi ya madereva wa stl wanabeba familia zao kwenda kanisani ,au kwenda shopping kama kununua mitungi ya gesi na safari binafsi kwa gari za serikali na amri ya waziri mkuu inakataza kutumia mali za umma vibaya je na unamkuta dereva ana dharau utafikiri v8 lakwake na wengine bado wanakimbia speed 120 mpaka 140 hv akisababisha ajali ana utetezi wa kisheria au ni viburi vyao nataka nianze kwalipua maana hakuna watu wanakera kama hawa madereva wa stl wanasababisha ajali mpaka kwa viongozi na wameua watumishi wengi sana na raia

Sent using Jamii Forums mobile app
Lo! Mzee Baba!!! Sidhani kama unamiliki hata baiskeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom