Hii imekaaje dereva wa gari za Serikali kutumia gari ya Serikali kwa mambo binafsi

Alien pilot

Senior Member
Dec 29, 2017
176
250
Wakuu kuna baadhi ya madereva wa Serikali wanabeba familia zao kwenda kanisani ,au kwenda shopping kama kununua mitungi ya gesi na safari binafsi kwa gari za Serikali na amri ya Waziri Mkuu inakataza kutumia mali za umma vibaya.

Je na unamkuta dereva ana dharau utafikiri v8 la kwake na wengine bado wanakimbia speed 120 mpaka 140 hivi akisababisha ajali ana utetezi wa kisheria au ni viburi vyao nataka nianze kwalipua maana hakuna watu wanakera kama hawa madereva wa STL wanasababisha ajali mpaka kwa viongozi na wameua watumishi wengi sana na raia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
5,060
2,000
Acha roho mbaya mkuuu. Hivi unajua mushahara ya hawa madereva?!?!

Kila Mbuzi anakula pale alipofungwa kwa kutegemea urefu wa kamba yake.

Tanesco wanajipea umeme bwerere, TRA hawalipi kodi, etc, unataka madereva tu wawe wazalendo?

Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
 
Kichpox

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
279
250
Wakuu kuna baadhi ya madereva wa stl wanabeba familia zao kwenda kanisani ,au kwenda shopping kama kununua mitungi ya gesi na safari binafsi kwa gari za serikali na amri ya waziri mkuu inakataza kutumia mali za umma vibaya je na unamkuta dereva ana dharau utafikiri v8 lakwake na wengine bado wanakimbia speed 120 mpaka 140 hv akisababisha ajali ana utetezi wa kisheria au ni viburi vyao nataka nianze kwalipua maana hakuna watu wanakera kama hawa madereva wa stl wanasababisha ajali mpaka kwa viongozi na wameua watumishi wengi sana na raia

Sent using Jamii Forums mobile app
By the way , una undugu na Bambo.!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Alien pilot

Senior Member
Dec 29, 2017
176
250
Mkuu pamoja Na madhaifu ya hao madereva ila unaonekana unawivu sana Na wewe kuwa dereva Basi yani unajua wazi Ni za serikali lakini unaumia zingekuwa zao kabisa si ungekufa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala cna uwivu mm nina gari zangu mbili najitegemea ila naona tanzania kutofautisha matumizi ya umma na binafsi hatujui kwa mfano kwenda bar na safari binafsi unaongeza matumizi ya siyo lazima na ukitaka kuamini ni kosa ngoja apate ajali akiwa anajapangiwa route kazini utaona wanavyo kuwa wadogo mm juzi alinigonga mmoja nikamwambia ctaki maelewano nataka twende mahakamani ili nilipwe na bima akawa ana bembeleza boss atajua na alikuwa safari binafsi huku anajeuri kama yupo na boss pembeni nilimkomalia akawa mdogo toka cku hiyo nikabaini upumbavu waho maana mahakamani lazima ajali kazini kwao ingejulikana maana alikuwaanaenda shambani kwake na gari ya uma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inferior Complex

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
3,638
2,000
Wakuu kuna baadhi ya madereva wa stl wanabeba familia zao kwenda kanisani ,au kwenda shopping kama kununua mitungi ya gesi na safari binafsi kwa gari za serikali na amri ya waziri mkuu inakataza kutumia mali za umma vibaya je na unamkuta dereva ana dharau utafikiri v8 lakwake na wengine bado wanakimbia speed 120 mpaka 140 hv akisababisha ajali ana utetezi wa kisheria au ni viburi vyao nataka nianze kwalipua maana hakuna watu wanakera kama hawa madereva wa stl wanasababisha ajali mpaka kwa viongozi na wameua watumishi wengi sana na raia

Sent using Jamii Forums mobile app
hata wa Jwt NAONA nao huwa wanaperuzi Sanaa na gari zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,266
2,000
Wakuu kuna baadhi ya madereva wa stl wanabeba familia zao kwenda kanisani ,au kwenda shopping kama kununua mitungi ya gesi na safari binafsi kwa gari za serikali na amri ya waziri mkuu inakataza kutumia mali za umma vibaya je na unamkuta dereva ana dharau utafikiri v8 lakwake na wengine bado wanakimbia speed 120 mpaka 140 hv akisababisha ajali ana utetezi wa kisheria au ni viburi vyao nataka nianze kwalipua maana hakuna watu wanakera kama hawa madereva wa stl wanasababisha ajali mpaka kwa viongozi na wameua watumishi wengi sana na raia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishapewa gari ni kwa shughuli zako zote, zingine ngonjera tu.
 
Alien pilot

Senior Member
Dec 29, 2017
176
250
Mkuu hiyo ndiyo insensitive Mbona uhoji wakurugenzi wakiyatumia wakati wote ni wa ajiriwa wa serikali?una wivu wakike punguza uwesawa na wenziyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Oya mm cna uwivu ila nina roho mbaya nina magari yangu mawili na ya maana tu sema kuna mmoja anajifanya mshenzi kanigonga alafu akawa analeta ujuaji nikamwambia ctaki fidia mm nina bima kubwa twende mahakamani akawa mdogo kumbe alikuwa safari binafsi unakumbuka yule aliyebeba mbuzi watu wakampiga picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom