Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,185
- 10,911
Hapa "mikoko" una maanisha ile miti inayopatikana ufukweni. Mkuu naomba mbegu zake, nina ihusudu sana ile miti.Haahaahaa nilitegemea majibu hayo nimeuliza ni sawa au si sawa mm cwez umia coz nina mikoko yangu miwili ya maana ila naona c vyema mtu kutumia mali za uma binafsi kuanzia hao wakurugenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaa yapambegu zipo za mikoko ya harrier new model na ipsum lete milion 35 nikuachie broh mbegu zote mbiliHapa "mikoko" una maanisha ile miti inayopatikana ufukweni. Mkuu naomba mbegu zake, nina ihusudu sana ile miti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wakurugenzi wa halmashauri na makatibu tawala wanatembelea hayo magari ya Serikali hata wakiwa na safari za kuhemea?
Acha ujinga dogo, vizuri ni vyema tukala wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano akalitumia kwa matumizi ya ofisi na kwa mwendo unaotakiwa then akakudharau bado utakuwa umefaidika kipi!?..Wakuu kuna baadhi ya madereva wa stl wanabeba familia zao kwenda kanisani ,au kwenda shopping kama kununua mitungi ya gesi na safari binafsi kwa gari za serikali na amri ya waziri mkuu inakataza kutumia mali za umma vibaya je na unamkuta dereva ana dharau utafikiri v8 lakwake na wengine bado wanakimbia speed 120 mpaka 140 hv akisababisha ajali ana utetezi wa kisheria au ni viburi vyao nataka nianze kwalipua maana hakuna watu wanakera kama hawa madereva wa stl wanasababisha ajali mpaka kwa viongozi na wameua watumishi wengi sana na raia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishapewa gari ni kwa shughuli zako zote, zingine[\b] ngonjera tu.
Huu uzi ni kidhibitisho kwanini Nchi haiendelei leo wala kesho. Ukiacha wivu wa mleta uzi lakini kasema ukweli. Kama watu hawaamini kwenye uwajibikaji kwanini tunadai maendeleo wakati tupo tayari kuona mali zetu chache za umma zinatumika vibaya.
Weeengi mnamponda mleta mada ila mnapoona story "gari ya serikali yakamatwa na magunia ya bangi" comment zenu zote ni kumponda dereva.
Sheria inakataza ila Madereva wengi wanatumia magari ya serikali kwa shughuli zao binafsi ,gari utaikuta imepaki BAR saa tano usiku dereva anakula monde au imepakia miti inaenda shamba weekend au Jmosi kwenye harusi na manegi yanayofanana na hayo.Wakuu kuna baadhi ya madereva wa stl wanabeba familia zao kwenda kanisani ,au kwenda shopping kama kununua mitungi ya gesi na safari binafsi kwa gari za serikali na amri ya waziri mkuu inakataza kutumia mali za umma vibaya je na unamkuta dereva ana dharau utafikiri v8 lakwake na wengine bado wanakimbia speed 120 mpaka 140 hv akisababisha ajali ana utetezi wa kisheria au ni viburi vyao nataka nianze kwalipua maana hakuna watu wanakera kama hawa madereva wa stl wanasababisha ajali mpaka kwa viongozi na wameua watumishi wengi sana na raia
Sent using Jamii Forums mobile app
Bar ni sehemu ya kupata msosi na vipapatio na bia nii sehemu ya chakula. Kwani nani kakataza kwenye baa chakula kisiuzwe.Sheria inakataza ila Madereva wengi wanatumia magari ya serikali kwa shughuli zao binafsi ,gari utaikuta imepaki BAR saa tano usiku dereva anakula monde au imepakia miti inaenda shamba weekend au Jmosi kwenye harusi na manegi yanayofanana na hayo.
Sawa Mkuu Dereva Mwenye Vibali vya kuendesha Gari Mpaka saa 6 Usiku.Bar ni sehemu ya kupata msosi na vipapatio na bia nii sehemu ya chakula. Kwani nani kakataza kwenye baa chakula kisiuzwe.
Kuna muda maalum gari ya serikaki inahitaji kibali kutunika zaidi ya muda uliopangwa. Ukienda kwenye baa kumkanata utakuta anakula chips kuku na Balimi na kibali anacho kimetolewa na katibu mkuu. Poleni sana.