Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Maalim Seif yuko Uingereza kushitaki kwa Wazungu kuhusu Unguja na Pemba hapo hapo Balozi wa Uingereza ambaye ndiye mwakilishi wa Serikali wa nchi hiyo leo katinga Ikulu kumsalimia Raisi Magufuli na kumletea salamu za pongezi ktk kwa Mkuu wa Serikali anayoiwakilisha hapa nchini, sasa Maalimu katumwa na fisadi Lowasa na wenzake huko Uingereza ni nani hata atawasikiliza?
Watu wanahangaika, mimi ningewashauri CUF wakubali tu kufanya Uchaguzi na wapige Kampeni kikweli kweli ili angalau labda wanaweza kufika mbali au nani anajua labda hata kuwemo kwenye Serikali ya Umoja na CCM lkn kususia ni kwamba CCM inachukuwa Uongozi kwa 100% na hakuna kitu CUF au fisadi Lowasa &Co. watafanya kwani kama ni Jeshi liko chini ya Raisi wa JMTZ na ameshasema uchaguzi urudiwe na atakayeleta fyoko basi atafyokolewa, na kama ni Wazungu ambao ndiyo walikuwa wanawategemea ndiyo hao tena wanakuja Ikulu kumpongeza Raisi Magufuli kwa kazi anayoifanya hii ni pamoja na uamuzi wa marudio uchaguzi wa Unguja na Pemba kesho pia mtamuona Mwakilishi wa EU anaenda Ikulu kwa Magufuli, balozi wa Ujapani, Marekani, Uchina n.k
Hivyo CUF na ukawa hakuna kitu mtafanya, kubalini tu yaishe aliyekuzidi kakuzidi tu, CCM wana Raisi hivyo wameshika mpini ndiyo hivyo tena, mkileta fyoko mtafyokolewa kama Besigye na hakuna kitu mtafanya!