Hii Imakaaje? Maalimu Seif kaenda Uingereza!

Hii Imakaaje? Maalimu Seif kaenda Uingereza!

Kwa sasa Zanzibar hakuna ridhaa ya wananchi wengi bali kuna Utawala wa kidikteta tu ambao tarehe 20 match utawahadaa Dunia kwa Uchaguzi feki ambao matokeo wanayo mifukoni.
Kama unayajua matokeo ya uchaguzi, usiharibu kura yako!
 
W
we ndugu uko sawa?????
tangu umepata akili unaelewa kinachoendelea?????/
kuumia tangu 1961 bado tukubali kuendelea kuumia2????
kaka jf ni sehem watu huwa wanakuja kuchota maarifa hata wasio na id"s,..
endelea kuumia wewe sio wte mkuu
kwani uzi wako umejaa kejeli na vimipasho,....
unatia simanzi na kuumiza akili na moyo wangu.
aisee!!hapa ndipo huwa namshangaa Barbarossa,,sijui wewe katika maisha ya kawaida ni MTU wa namna gani jamani,,basi tuu,,lazma unafahamu ukweli juu ya dhuluma inayoendelea Zanzibar Iakini umeamua kuwatetea ccm,,huku nafsi ikipingana na unachoandka
 
HV we babarosa, unajua kweli unachokiandika humu??!
Mapendekezo uyatoayo kuwa, cuf waingie tu wapige kampeni. Nikkulize tu ndg yangu, hizo kampeni zitaanza na kuisha lini?
Hakuna MTU ataleta fyokoz, ila hakuna dhambi isiyolipwa, na dhulma ziwazo zote, zikizidi km ionekanavyo, Jehovah siyo athuman, hujibuga mchana kweupee!! Haya yatapita tu.
Jifunze kuwa, kwenye haki maana.Mungu hupendezwa na haki, siyo kusifia udhalimu tu.
Km nimekukosea unisamehe babarosa.

Dhuluma huwa haikubaliki na wengi hata siku moja na wengi wetu WatanZania tuko nyuma ya Raisi wetu pmj na Tume ya uchaguzi ya Unguja na Pemba na isitoshe hata Jumuiya ya Kimataifa iko nyuma ya Serikali yetu hivyo hii haiwezi kuwa dhuluma bali ni haki!
 
Ndugu yangu kuna fisadi mpevu nchi hii kama mkwere, ona sasa kila mjengoni na jana karudi kule, anafata nini muda wake ushaisha yeye ndo katufikisha hapa tulipo sasa huyo unayemsema wewe katufikisha wapi
Kikwete alikwenda ikulu kwa kazi mbili ya kwanza kumsihi Magufuli asimwachie Zanzibar maalum Seif pili NIDA alitaka Takukuru waache kuichunguza kwani zile pesa walizopewa zilipindishwa na kutumika kwenye kampeni ingawa zingine ziliibiwa na Jack Gotham lakini wanachotaka ni NIDA waachwe kufuatwa fuatwa.
 
Naamini misimamo ya cuf sio ya Maalim. kuna watu ndani ya cuf wanaongozwa na jazba hawatumii akili yao halisi. Ni sawa na mechi ya mpira ikivurugika kabla mpira haujaisha, ni sharti match irudiwe. hakuna matuta wa ushindi wa mezani wa kukuaa na kujadiliana

Kama siyo wa Seif unafikiri ni wa nani? wa fisadi Lowasa?
 
Uungwaji mkono wa madai ya CUF kutoka EU, US na Japan yamevunjwa nguvu na matokeo ya uchaguzi wa Uganda ambapo demokrasia imebakwa kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Museveni amesema hana mpango wa kuwa na ukomo wa kugombea urais
Kama EU, US na wenzao watakubdli utawala wa Museveni watakuwa wamepoteza moral authority kukemea uongozi wa Magufuli kuhusiana na uchaguzi wa Zanzibar kwani ZEC imeandaa uchaguzi urudiwe na vyama 8 kati ya 15 vimekubali urudiwe. Kama vyama vyote vya upinzani vingesusia CUF wangekuwa na hoja. Kwa nini wamekataa kutafuta tafsiri ya mahakama kuhusu mgogoro huu?
Vyama 8 vina njaa wamepewa Rushwa kuingia kwenye Uchaguzi Haramu ambao hautakuwa na waangalizi wa kimataifa, CUF hawawezi kwenda Mahakamani kwa sababu wanajua matokeo ya Mahakamani yatakuaje. Kwa sasa Zanzibar inatawaliwa kidikteta na tarehe 20 match itakuwa ni kuharalisha utawala wa kifalume Utawala wa milele mpaka Dr Shein atembelee Mkongojo.
 
Kikwete alikwenda ikulu kwa kazi mbili ya kwanza kumsihi Magufuli asimwachie Zanzibar maalum Seif pili NIDA alitaka Takukuru waache kuichunguza kwani zile pesa walizopewa zilipindishwa na kutumika kwenye kampeni ingawa zingine ziliibiwa na Jack Gotham lakini wanachotaka ni NIDA waachwe kufuatwa fuatwa.
Duh,
 
Kama siyo wa Seif unafikiri ni wa nani? wa fisadi Lowasa?
Lowasa ndiyo kachukua pesa za Escrow? Pesa zinazotumika Zanzibar kwenye Uchaguzi haramu zinaliwa na Lowasa? Zile billion 1.7 zilizopotea kwenye kampeni ya ccm zilichukuliwa na Lowasa? Kivuko Feki, mabehewa chakavu chenji ya rada na zile billion 250 zilizopotea wizara ya Ujenzi kwa kuwalipa kandarasi Hewa zilichukuliwa na Lowasa? Yaani wewe Umekariri Akili za Membe na Nape ukiamini Lowasa ni Fisadi tu wakati Mafisadi unao huko huko ulipo, waulize boss zako Membe pesa za NIDA zipo wapi? Muulize na Nape pesa za kununulia Goli la mkono alitoa wapi?
 
Yaani wewe Umekariri Akili za Membe na Nape ukiamini Lowasa ni Fisadi tu wakati Mafisadi unao huko huko ulipo, waulize boss zako Membe pesa za NIDA zipo wapi? Muulize na Nape pesa za kununulia Goli la mkono alitoa wapi?

Aliyenikaririsha kwamba Lowasa ni fisadi ni Slaa, Tundu Lisu, Mbowe, Lema, Kubenea na wala siyo Membe wala Nape, kwa kifupi kama hawa watu yaani Lisu, Kubenea, Mbowe, Slaa, na Lema wasingekuwepo Duniani mimi leo hii nisingejua kama Lowasa ni fisadi achilia mbali hata kulitumia neno lenyewe fisadi kwangu nililisikia kwa mara ya kwanza ktk kwa hao niliowataja hapo juu yaani Lisu, Slaa, Kubenea, Mbowe na Lema!
 
Unafikiri MAKADA ni watu wanaojitambua? We huoni anasema ameenda
Uingereza ikiwa ni maagizo ya fisadi Lowasa? Yaani hana kumbukumbu
kuwa Maalim ashawahi kwenda kushitaki huko kwa wahisani wakati Lowasa
akiwa ndani ya CCM!
Yaani wewe Umekariri Akili za Membe na Nape kuwa Lowasa ni Fisadi ! Mbona pesa za NIDA boss wako kazitafuna peke yake? Nape kanunua Ubunge kwa pesa toka kwa Membe iweje kukariri Lowasa ni Fisadi? Kwani Lowasa ndiyo kala pesa za chenji ya Rada? Escrow, kivuko, mabehewa, EPA,mikataba ya madini, Gesi, Buzwagi, uagizaji sukari nje , makontena, kuuza wanyama hai Uarabuni nk.
 
Maalim Seif yuko Uingereza kushitaki kwa Wazungu kuhusu Unguja na Pemba hapo hapo Balozi wa Uingereza ambaye ndiye mwakilishi wa Serikali wa nchi hiyo leo katinga Ikulu kumsalimia Raisi Magufuli na kumletea salamu za pongezi ktk kwa Mkuu wa Serikali anayoiwakilisha hapa nchini, sasa Maalimu katumwa na fisadi Lowasa na wenzake huko Uingereza ni nani hata atawasikiliza?

Watu wanahangaika, mimi ningewashauri CUF wakubali tu kufanya Uchaguzi na wapige Kampeni kikweli kweli ili angalau labda wanaweza kufika mbali au nani anajua labda hata kuwemo kwenye Serikali ya Umoja na CCM lkn kususia ni kwamba CCM inachukuwa Uongozi kwa 100% na hakuna kitu CUF au fisadi Lowasa &Co. watafanya kwani kama ni Jeshi liko chini ya Raisi wa JMTZ na ameshasema uchaguzi urudiwe na atakayeleta fyoko basi atafyokolewa, na kama ni Wazungu ambao ndiyo walikuwa wanawategemea ndiyo hao tena wanakuja Ikulu kumpongeza Raisi Magufuli kwa kazi anayoifanya hii ni pamoja na uamuzi wa marudio uchaguzi wa Unguja na Pemba kesho pia mtamuona Mwakilishi wa EU anaenda Ikulu kwa Magufuli, balozi wa Ujapani, Marekani, Uchina n.k

Hivyo CUF na ukawa hakuna kitu mtafanya, kubalini tu yaishe aliyekuzidi kakuzidi tu, CCM wana Raisi hivyo wameshika mpini ndiyo hivyo tena, mkileta fyoko mtafyokolewa kama Besigye na hakuna kitu mtafanya!
huwa anaenda kwa mfuasi wake kwa mjukuu alietawala zanzibar kabla hawajaondolewa
 
SINA Muda Wa Kusoma UCHOKO Wako Zaidi AYA Ya Kwanza!!! KWANI Umeambiwa Kila Anayeenda Nje Ya Tanzania, Basi Anaenda Kushitaki Upuuzi Wenu Tu!!?? ALIENDA Dkt Slaa Akiwa Katibu Mkuu Wa CHADEMA, Mwanzoni Mwa 2015!!! TENA Kwa Ziara Ya Muda Mrefu, Je, Alienda Kushitaki Nini!!!! AU Ww Kwa USUKULE Wako Umeona Au Kusikia Ktk Ziara Yake Amekutana Na MALIKIA ELIZABETH Au DAVID CAMERON Ama Kiongozi Yeyote Wa SERIKALI!!!!??? SEMA Ni Kiongozi Gani Ambaye Amekutana Na Mh. SEIF!!!!?? ALAFU Hata Ikiwa Amekutana Au Atakutana Nao, SHAKA Yenu Ni Ipi!!!!?? CCM Yenu Si Ndio Yenye Majeshi Yote Ya Ulinzi Na Usalama!!!?? MNAOGOPA Au MNAWASHWA Nini!!!?? AU UCHOKO Wenu MNAENDELEA Nao Hadi Uzeeni Tu!! TOKEA Primary Hadi Chuoni, Bado MNAENDELEA Tu Kuwa Machoko!!!??
 
Acha Jazba, Maalim Seif alikosea kujipa kazi ya Jecha kutangaza mshindi na Jecha nae alikosea kufuta matokeo. Sasa makosa yameshatokea, njia nzuri isiyo na matatizo ni kurudia uchaguzi. Wapiga kura wale wale wapo, uoga wa nini na kutaka ushindi wa mezani? Hii ilikua ndio fursa kwa maalim kuudhihirishia ulimwengu kwamba alishinda.

Angalia Katiba, sheria na kanuni utaelewa. Hakuna kati ya vyote hivyo vinarushusu uchaguzi kurudiwa. Na hata kama ndivyo vipi zile chaguzi za wawakilishi waliopewa hata vyeti na hata bila mgombea wala chama chochote kulalamika napo walijitangazia? Kuhusu pendekezo la kukimbilia mahakamani kupinga uchaguzi wa marudio, "... Sheria ya Uchaguzi ya Zanzibar pamoja na Katiba haziruhusu kupingwa au kuchunguza ZEC kimahakama".
 
Pesa zinatoka Tanganyika kwa wafanyakazi Zanzibar ni watumiaji tu wacha watumie kwa kulinda mungano
 
Maalim Seif yuko Uingereza kushitaki kwa Wazungu kuhusu Unguja na Pemba hapo hapo Balozi wa Uingereza ambaye ndiye mwakilishi wa Serikali wa nchi hiyo leo katinga Ikulu kumsalimia Raisi Magufuli na kumletea salamu za pongezi ktk kwa Mkuu wa Serikali anayoiwakilisha hapa nchini, sasa Maalimu katumwa na fisadi Lowasa na wenzake huko Uingereza ni nani hata atawasikiliza?

Watu wanahangaika, mimi ningewashauri CUF wakubali tu kufanya Uchaguzi na wapige Kampeni kikweli kweli ili angalau labda wanaweza kufika mbali au nani anajua labda hata kuwemo kwenye Serikali ya Umoja na CCM lkn kususia ni kwamba CCM inachukuwa Uongozi kwa 100% na hakuna kitu CUF au fisadi Lowasa &Co. watafanya kwani kama ni Jeshi liko chini ya Raisi wa JMTZ na ameshasema uchaguzi urudiwe na atakayeleta fyoko basi atafyokolewa, na kama ni Wazungu ambao ndiyo walikuwa wanawategemea ndiyo hao tena wanakuja Ikulu kumpongeza Raisi Magufuli kwa kazi anayoifanya hii ni pamoja na uamuzi wa marudio uchaguzi wa Unguja na Pemba kesho pia mtamuona Mwakilishi wa EU anaenda Ikulu kwa Magufuli, balozi wa Ujapani, Marekani, Uchina n.k

Hivyo CUF na ukawa hakuna kitu mtafanya, kubalini tu yaishe aliyekuzidi kakuzidi tu, CCM wana Raisi hivyo wameshika mpini ndiyo hivyo tena, mkileta fyoko mtafyokolewa kama Besigye na hakuna kitu mtafanya!
london maalim seif ataambiwa arudi kushiriki uchaguzi. kura za kiubabe kwenye fiefdom yao pemba wataambiwa sio haki.
 
ujuha ulianza zamani.kwa hiyo. maoni makala.
 
Pesa zinatoka Tanganyika kwa wafanyakazi Zanzibar ni watumiaji tu wacha watumie kwa kulinda mungano
Zanzibar kwa sasa ni mzigo mzito wa Hazina pesa yote ya Tanganyika inamalizikia huko, Yaani pesa zinazotumika kuweka vyombo vya dola huko ni kubwa mara 5 zaidi ya endapo CUF wangekuwa wameachiwa Nchi yao watawale. Huu Ufujaji wa pesa za watanganyika kwa kazi ya kulazimisha uatawala wa kifalume Zanzibar haukubaliki kamwe.
 
Back
Top Bottom