Hii Imakaaje? Maalimu Seif kaenda Uingereza!

Hii Imakaaje? Maalimu Seif kaenda Uingereza!

Atakaejaribu kutukwamisha tutambomoa-JPM
Dunia imebadilika sana tofauti na 2001. Leo hii mkiwapiga na kuwafukuza nchini kwao vijana wa Zanzibar kama mlivyofanya 2001 wakaikimbia nchi yao hawataenda pale beach Mombasa. This time kuna Al Shabaab na ISIS wanatafuta vijana, na vijana waliodhulumiwa haki zao na kunyanyaswa nchini mwao ndio target ya hayo makundi ya kighaidi. Then wakipata mafunzo na kurudi hata wewe mleta mada na ma pupet wenzio wote hamtakuwa na amani tena
 
Maalim Seif yuko Uingereza kushitaki kwa Wazungu kuhusu Unguja na Pemba hapo hapo Balozi wa Uingereza ambaye ndiye mwakilishi wa Serikali wa nchi hiyo leo katinga Ikulu kumsalimia Raisi Magufuli na kumletea salamu za pongezi ktk kwa Mkuu wa Serikali anayoiwakilisha hapa nchini, sasa Maalimu katumwa na fisadi Lowasa na wenzake huko Uingereza ni nani hata atawasikiliza?

Watu wanahangaika, mimi ningewashauri CUF wakubali tu kufanya Uchaguzi na wapige Kampeni kikweli kweli ili angalau labda wanaweza kufika mbali au nani anajua labda hata kuwemo kwenye Serikali ya Umoja na CCM lkn kususia ni kwamba CCM inachukuwa Uongozi kwa 100% na hakuna kitu CUF au fisadi Lowasa &Co. watafanya kwani kama ni Jeshi liko chini ya Raisi wa JMTZ na ameshasema uchaguzi urudiwe na atakayeleta fyoko basi atafyokolewa, na kama ni Wazungu ambao ndiyo walikuwa wanawategemea ndiyo hao tena wanakuja Ikulu kumpongeza Raisi Magufuli kwa kazi anayoifanya hii ni pamoja na uamuzi wa marudio uchaguzi wa Unguja na Pemba kesho pia mtamuona Mwakilishi wa EU anaenda Ikulu kwa Magufuli, balozi wa Ujapani, Marekani, Uchina n.k

Hivyo CUF na ukawa hakuna kitu mtafanya, kubalini tu yaishe aliyekuzidi kakuzidi tu, CCM wana Raisi hivyo wameshika mpini ndiyo hivyo tena, mkileta fyoko mtafyokolewa kama Besigye na hakuna kitu mtafanya!
Soma gazeti la RAIA Tanzania ya trh 16 Feb under "Uhusiano wa Maalim na Shein". Jamaa kalamba M350 kwa kisingizio cha kwenda kutibiwa nje. Usishangae harejei mpaka uchaguzi upite. Kwa mujibu wa RAIA Tanzania anasema wafuasi na wapenzi wa CUF wanatakiwa wajue huyu ndiye Maalim
 
kwa mgogoro wa zanzibar kuwategemea wazungu watusaidie ni uwendawazimu....
 
Tujadili bei ya sukari hayo ya ziara huwezi kuyazungumzia maana hujui makusudio yake zaidi ya kutabiri tabiri. Magu kazuia sukari sasa watu vijijini wanaweka mananasi kwenye Maji kufanya chai, uswahilini maandazi na vitumbua bei juu. Lumumba jadilini hayo wananchi wanaumia

Uongo na uchochezi ni kosa la jinai. Kuwa makini
 
HUWA SITUMII LUGHA YA MATUSI KAMWE NA SIO KAWAIDA YANGU LAKINI KWA HILI, KULA, KANYE KISHA ULALE HUJUI KITU. NYAMA WEE. NGOJA HATA KAMA NI MIAKA 10000+ IKO SIKU YATAWATOKEA PUANI.

Acha Jazba, Maalim Seif alikosea kujipa kazi ya Jecha kutangaza mshindi na Jecha nae alikosea kufuta matokeo. Sasa makosa yameshatokea, njia nzuri isiyo na matatizo ni kurudia uchaguzi. Wapiga kura wale wale wapo, uoga wa nini na kutaka ushindi wa mezani? Hii ilikua ndio fursa kwa maalim kuudhihirishia ulimwengu kwamba alishinda.
 
Soma gazeti la RAIA Tanzania ya trh 16 Feb under "Uhusiano wa Maalim na Shein". Jamaa kalamba M350 kwa kisingizio cha kwenda kutibiwa nje. Usishangae harejei mpaka uchaguzi upite. Kwa mujibu wa RAIA Tanzania anasema wafuasi na wapenzi wa CUF wanatakiwa wajue huyu ndiye Maalim

Naamini misimamo ya cuf sio ya Maalim. kuna watu ndani ya cuf wanaongozwa na jazba hawatumii akili yao halisi. Ni sawa na mechi ya mpira ikivurugika kabla mpira haujaisha, ni sharti match irudiwe. hakuna matuta wa ushindi wa mezani wa kukuaa na kujadiliana
 
Hakika zanzibar mpya inaenda kuzaliwa baada ya tar 20 machi
 
seif amewaachia mchaguane...yupo kimya mbona ninyi mnatapatapa? mkachaguane kwani lazima CUF washiriki?
 
Naamini misimamo ya cuf sio ya Maalim. kuna watu ndani ya cuf wanaongozwa na jazba hawatumii akili yao halisi. Ni sawa na mechi ya mpira ikivurugika kabla mpira haujaisha, ni sharti match irudiwe. hakuna matuta wa ushindi wa mezani wa kukuaa na kujadiliana
nikuulize wewe...kama mechi mshindi ameshapangwa kuna haja ya kushiriki hiyo mechi?
 
Amejiondoa kwenye uchaguzi, soo nyamaza hata kama akienda wap
 
Acha kukurupukia mambo usiyoyafahamu.

Nani kakwambia uchaguzi wa marudio unakupiga kampeni?

Tafakari - chukua hatua.
Unafikiri MAKADA ni watu wanaojitambua? We huoni anasema ameenda
Uingereza ikiwa ni maagizo ya fisadi Lowasa? Yaani hana kumbukumbu
kuwa Maalim ashawahi kwenda kushitaki huko kwa wahisani wakati Lowasa
akiwa ndani ya CCM!
 
HV we babarosa, unajua kweli unachokiandika humu??!
Mapendekezo uyatoayo kuwa, cuf waingie tu wapige kampeni. Nikkulize tu ndg yangu, hizo kampeni zitaanza na kuisha lini?
Hakuna MTU ataleta fyokoz, ila hakuna dhambi isiyolipwa, na dhulma ziwazo zote, zikizidi km ionekanavyo, Jehovah siyo athuman, hujibuga mchana kweupee!! Haya yatapita tu.
Jifunze kuwa, kwenye haki maana.Mungu hupendezwa na haki, siyo kusifia udhalimu tu.
Km nimekukosea unisamehe babarosa.
Mwambie tu kwa upuuzi huu iko siku wazanzibari watafuata ushauri wa makada nguli wa ccm kuwa urais haupatikani kwa ......!
 
Unafikiri MAKADA ni watu wanaojitambua? We huoni anasema ameenda
Uingereza ikiwa ni maagizo ya fisadi Lowasa? Yaani hana kumbukumbu
kuwa Maalim ashawahi kwenda kushitaki huko kwa wahisani wakati Lowasa
akiwa ndani ya CCM!
Ndugu yangu kuna fisadi mpevu nchi hii kama mkwere, ona sasa kila mjengoni na jana karudi kule, anafata nini muda wake ushaisha yeye ndo katufikisha hapa tulipo sasa huyo unayemsema wewe katufikisha wapi
 
Maalim Seif yuko Uingereza kushitaki kwa Wazungu kuhusu Unguja na Pemba hapo hapo Balozi wa Uingereza ambaye ndiye mwakilishi wa Serikali wa nchi hiyo leo katinga Ikulu kumsalimia Raisi Magufuli na kumletea salamu za pongezi ktk kwa Mkuu wa Serikali anayoiwakilisha hapa nchini, sasa Maalimu katumwa na fisadi Lowasa na wenzake huko Uingereza ni nani hata atawasikiliza?

Watu wanahangaika, mimi ningewashauri CUF wakubali tu kufanya Uchaguzi na wapige Kampeni kikweli kweli ili angalau labda wanaweza kufika mbali au nani anajua labda hata kuwemo kwenye Serikali ya Umoja na CCM lkn kususia ni kwamba CCM inachukuwa Uongozi kwa 100% na hakuna kitu CUF au fisadi Lowasa &Co. watafanya kwani kama ni Jeshi liko chini ya Raisi wa JMTZ na ameshasema uchaguzi urudiwe na atakayeleta fyoko basi atafyokolewa, na kama ni Wazungu ambao ndiyo walikuwa wanawategemea ndiyo hao tena wanakuja Ikulu kumpongeza Raisi Magufuli kwa kazi anayoifanya hii ni pamoja na uamuzi wa marudio uchaguzi wa Unguja na Pemba kesho pia mtamuona Mwakilishi wa EU anaenda Ikulu kwa Magufuli, balozi wa Ujapani, Marekani, Uchina n.k

Hivyo CUF na ukawa hakuna kitu mtafanya, kubalini tu yaishe aliyekuzidi kakuzidi tu, CCM wana Raisi hivyo wameshika mpini ndiyo hivyo tena, mkileta fyoko mtafyokolewa kama Besigye na hakuna kitu mtafanya!
Mkuu tulisha waambia hao ndugu zetu wa visiwani, kuruka kimanga haisaidii, watulie wakubaliane na wenzao wote wa visiwani.
Na wakubali kuwa kwa realpolitik tu, nchi ya Tanzania si ya watu wenye kuegemea wafadili wao uarabuni na ulaya.
Ikifika kuweka uamuzi na msimamo, basi nchi haitatawaliwa na watu wasioeleweka aina ya Maalim Seif.
Hicho hawataki kuelewa.

Wamwone mwarabu, wamwone mzungu, nchi hii itatawaliwa kwa ridhaa ya watanzania walio wengi na si vinginevyo.
 
Another thing, ambacho hujakijua, ni kuwa, hao wazungu, ni watu ambao Siku zote, akicheka nawe kwa hilo, haimzuii kukutwanga kesho take ht Mara moja. Anakutwanga tu, hawajali!!.Kule Zanzibar kwa sasa HV kwa macho ya wazungu hao, anatafutwa chief wa visiwa vile na si raid wa nchi, kwao huo uchaguzi hakuna credibility tena, hutasikia ht jirani zetu wakileta waangalizi, ndo utajua km ni uchaguzi ama uteuzi idhinisho tu.
ccm eti wananunua waangalizi kwa ahadi za kuwapa Tenda na mikataba ya biashara kuna Nchi zenye viongozi wa ajabu huenda zikapeleka waangalizi kwenye uchaguzi Haramu wa kuharalisha Utawala wa kidikiteta, wajanja akina Nape, January na wenzao tayari wamejipanga kupiga pesa nyingi kijanja kwa kisingizio cha kuzitumia kuchakachua matokeo, kila kona wao ni mwendo wa kupiga pesa Magufuli atajua kuwa Nchi hii hakuna Msafi kila mmoja hutumia fursa yake, sasa ni mda wa wajanja kupiga pesa kisha watamwachia Msala wa kimataifa ahangaike nao mwenyewe.
 
Mkuu tulisha waambia hao ndugu zetu wa visiwani, kuruka kimanga haisaidii, watulie wakubaliane na wenzao wote wa visiwani.
Na wakubali kuwa kwa realpolitik tu, nchi ya Tanzania si ya watu wenye kuegemea wafadili wao uarabuni na ulaya.
Ikifika kuweka uamuzi na msimamo, basi nchi haitatawaliwa na watu wasioeleweka aina ya Maalim Seif.
Hicho hawataki kuelewa.

Wamwone mwarabu, wamwone mzungu, nchi hii itatawaliwa kwa ridhaa ya watanzania walio wengi na si vinginevyo.
Kwa sasa Zanzibar hakuna ridhaa ya wananchi wengi bali kuna Utawala wa kidikteta tu ambao tarehe 20 match utawahadaa Dunia kwa Uchaguzi feki ambao matokeo wanayo mifukoni.
 
Back
Top Bottom