Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
Madhara
ya sukarim sijui unayajua?!?!? Safi sana anatuondolea maradhi!Tujadili bei ya sukari hayo ya ziara huwezi kuyazungumzia maana hujui makusudio yake zaidi ya kutabiri tabiri. Magu kazuia sukari sasa watu vijijini wanaweka mananasi kwenye Maji kufanya chai, uswahilini maandazi na vitumbua bei juu. Lumumba jadilini hayo wananchi wanaumia