Hii Imakaaje? Maalimu Seif kaenda Uingereza!

Hii Imakaaje? Maalimu Seif kaenda Uingereza!

Akutukanae hakuchagulii tusi. H ivi umekosa adamu ya kufafanisha demokrasia ya Tanzania kuwa sawa na ya Uganda na kwa hivyo alivyofanyiwa Bisigye na maendelezo yake pia wafanyiwe wapinzani hapa Tanzania.
Tatizo wewe hujui kinachoendelea hapa duniani unakurupuka tu. Kama hujui uliza, na kwa hili hata Kisonge wanalijua pia unaweza kuwauliza. Maalim Seif ameenda Uingereza kwa ajili ya matibabu
 
Wacha tuumie lkn tutakuja kukaa sawa ni kawaida, hakuna kizuri kisicho na maumivu, hivyo wacha tuumie na kuumia tutumia sana lkn TanZania mpya na bora mwishowe itainuka!

wakati wewe unaumia wenzako wanapeta.Sasa bei ya sukari juu
 
W
aisee!!hapa ndipo huwa namshangaa Barbarossa,,sijui wewe katika maisha ya kawaida ni MTU wa namna gani jamani,,basi tuu,,lazma unafahamu ukweli juu ya dhuluma inayoendelea Zanzibar Iakini umeamua kuwatetea ccm,,huku nafsi ikipingana na unachoandka
mkuu mi huwa nashindwa kuelewa hawa watu..,.
ila ndo freewill ya mtu
 
Maalim Seif yuko Uingereza kushitaki kwa Wazungu kuhusu Unguja na Pemba hapo hapo Balozi wa Uingereza ambaye ndiye mwakilishi wa Serikali wa nchi hiyo leo katinga Ikulu kumsalimia Raisi Magufuli na kumletea salamu za pongezi ktk kwa Mkuu wa Serikali anayoiwakilisha hapa nchini, sasa Maalimu katumwa na fisadi Lowasa na wenzake huko Uingereza ni nani hata atawasikiliza?

Watu wanahangaika, mimi ningewashauri CUF wakubali tu kufanya Uchaguzi na wapige Kampeni kikweli kweli ili angalau labda wanaweza kufika mbali au nani anajua labda hata kuwemo kwenye Serikali ya Umoja na CCM lkn kususia ni kwamba CCM inachukuwa Uongozi kwa 100% na hakuna kitu CUF au fisadi Lowasa &Co. watafanya kwani kama ni Jeshi liko chini ya Raisi wa JMTZ na ameshasema uchaguzi urudiwe na atakayeleta fyoko basi atafyokolewa, na kama ni Wazungu ambao ndiyo walikuwa wanawategemea ndiyo hao tena wanakuja Ikulu kumpongeza Raisi Magufuli kwa kazi anayoifanya hii ni pamoja na uamuzi wa marudio uchaguzi wa Unguja na Pemba kesho pia mtamuona Mwakilishi wa EU anaenda Ikulu kwa Magufuli, balozi wa Ujapani, Marekani, Uchina n.k

Hivyo CUF na ukawa hakuna kitu mtafanya, kubalini tu yaishe aliyekuzidi kakuzidi tu, CCM wana Raisi hivyo wameshika mpini ndiyo hivyo tena, mkileta fyoko mtafyokolewa kama Besigye na hakuna kitu mtafanya!
Safari yenyewe kaenda kwa fedha za serikali akiwa na walinzi wa serikali ambayo haitambui kama si unafiki kwa wazanzibar ni nn?
 
Kwanza hii mada ni uongo mtupu .huyu jamaa hajui lolote kuhusu maalim seif wapi kaenda ..maalim alikwenda india kwa ajili ya kufanya cheeking ya afya .na baadae kaelekea uropa wala sio uk .hili li jamaa ni ongo la kutupa
 
Tujadili bei ya sukari hayo ya ziara huwezi kuyazungumzia maana hujui makusudio yake zaidi ya kutabiri tabiri. Magu kazuia sukari sasa watu vijijini wanaweka mananasi kwenye Maji kufanya chai, uswahilini maandazi na vitumbua bei juu. Lumumba jadilini hayo wananchi wanaumia

Wakina ZAKARIA, MOHAMED ENTERPRISES etc. wameanza kuficha sukari kwenye magodown yao sasa ili kuhujumu sera ya serikali ya kuzuia uingizaji wa sukari nchini; ni juu ya serikali kuchunguza na kuwachukulia hatua kali wanaohusika na hoarding; this is artificial shortage to push the sugar prices up!!
 
Huyu ndiye Barbarosa ambaye wakati mwingine kama si wote huandika ili mradi kuongeza idadi ya posts kwa malipo labda!
 
CCM kidedea zanzibar kw kura nyingi tu uchaguzi wa marudio!!
 
una akili sana,ila mi sijasema hivyo.
Hahaha unachonganisha watu wewe nimeishakushtukia.kwamba jamaa na AVATAR yake ni sawa n Mbwa yaani yeye ndio hiyo picha yake.


swissme
 
kulingana na taarifa ya tume ya unguja na Pemba? Ile tume iliyokosa sifa za kusimamia uchaguzi? Hamna hata moja watakalosema ZEC linaloaminika... Mfano mdogo tu ni kuwa hata wagombea wengine waliokurupuka na kukiuka msimamo wa vyama vyao mfano yule Ahmad Rashid, ashaachishwa uanachama wa chama anachokisimamia kugombea uraisi, lakini tume hiyo hiyo imeng'ang'ania ya kuwa eti huyu ana sifa za kugombea uchaguzi? Anagombea yeye kibinafsi akiwakilishwa na chama gani sasa???? CCM version II au?

Hiyo ZEC ni kitengo tu cha chama tawala. Washapoteza sifa. Kama kufuata sharia walishaivunja tangu hapo zamani na kuinyea.... Narudia, hoja yako ni kama ushuzi tu kwenye hurricane mwandishi
ZEC woote wana Njaa Kinana kawanunua hawana cha kusema mbele ya ccm, Uchaguzi wa magumashi usiokuwa na waangalizi wa kimataifa utafanyika tu kwa kupoteza pesa bure wakati mshindi anajulikana ni Dr Shein ambaye kapanga kutawala miaka 100.
 
Hahaha unachonganisha watu wewe nimeishakushtukia.kwamba jamaa na AVATAR yake ni sawa n Mbwa yaani yeye ndio hiyo picha yake.


swissme
kwamba kaitoa ukutani akaileta hapa,infact kuna watuukiwafikiria wanashangaza sana.
 
Nadhani Unafiki Wako Mleta UZI Huu UMEJIDHIHIRISHA Hadharani Hivi Sasa, Kuwa Ulikuwa Ukisema UONGO Na Mungu Uwa Hawafichi WANAFIKI!!!! Mh. Yuko Ktk Matibabu Na Pia Sio Huko Uingereza Ulikosema!!
 

Wacha tuumie lkn tutakuja kukaa sawa ni kawaida, hakuna kizuri kisicho na maumivu, hivyo wacha tuumie na kuumia tutumia sana lkn TanZania mpya na bora mwishowe itainuka!
Over bilion of years but mkiacha kuzungusha mikono na kubadili gear angan it will be here son as possibo
 
Kwani ccm wakifanya bila cuf si ndiyo vyema zaidi? Na watapata ushindi wa kishindo? Maalim atarejera tz baada ya uchaguzi wa zanzibar.
 
HV we babarosa, unajua kweli unachokiandika humu??!
Mapendekezo uyatoayo kuwa, cuf waingie tu wapige kampeni. Nikkulize tu ndg yangu, hizo kampeni zitaanza na kuisha lini?
Hakuna MTU ataleta fyokoz, ila hakuna dhambi isiyolipwa, na dhulma ziwazo zote, zikizidi km ionekanavyo, Jehovah siyo athuman, hujibuga mchana kweupee!! Haya yatapita tu.
Jifunze kuwa, kwenye haki maana.Mungu hupendezwa na haki, siyo kusifia udhalimu tu.
Km nimekukosea unisamehe babarosa.
Seif alitaka kumsafishia njia Sultan kwani hatujui ? Mapinduzi daima msituletee za kuleta tupo gado !
 
Back
Top Bottom